Askofu Gwajima: Kawe tuna barabara za urefu wa KM 1400 sawa na Dsm - Kigoma tumepewa fedha ya km 130 tu hii haikubaliki!

Askofu Gwajima: Kawe tuna barabara za urefu wa KM 1400 sawa na Dsm - Kigoma tumepewa fedha ya km 130 tu hii haikubaliki!

Hii Nchi ni Tajiri, Na njia Ziko nyingi, lakini hakuna wenye mbinu za kuwafanya wananchi wawe Matajiri
Zitaje mzee. Pengine kuna mwanafunzi wa Public Economy utampa majibu akikutana na hilo swali.
 
Hivi ukiambiwa upungufu wa bajeti unaelewaje? Siyo kwamba zimejumuishwa hata hizo fedha za ndani unazoongelea hapa?

Why are you so thick?
Kupanga ni kuchagua.

Kupungua bajeti ya barabara haimaanishi fedha hakuna.
 
Wana Kawe ashawapeleka usa?? au anasubiri korona ipungu pungue kwanza kdg
Juzi juzi alitoa unabii akasema anaona wazungu wakipanga foleni kwenye balozi za Tanzania nje ya nchi kupigania nafasi ya kuja kuishi Tanzania kwani hakuna kuchanja corona wala hakuna corona. Huyu jamaa ni tapeli tu. Nenda Youtube utaona mahubiri yake.
 
Na kupeleka vijana Marekani.
Nenda Youtube uone vichekesho. Ameshageuka. Sasa hivi anasema masimamo wa Magufuli kwenye corona utafanya wamarekani wapange foleni kwenye ubalozi wa Tanzania huko kwao kwa nia ya kuomba visa za kuja kuishi Tanzania. Kwa kifupi amesema hakuna watanzania watakaokimbilia tena kwenda Ulaya na USA bali wao ndiyo watapigana vikumbo kuja kwetu.
 
Ye mwenyewe kashindwa kujijengea kanisa
Mbn wanasali chini ya banda tu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Jamani huyu mtu ni tapeli kama matapeli wengine tu. Pale hakuna cha utumishi wa Mungu wala nini. Fedha za wajinga zinamstarehesha yeye na nyumba ndogo zake. Huyu jamaa anapenda sana wanawake na huwa anawashughulikia kweli kweli.
 
Mjanjajanja tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom