johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia.
Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani kwake.
Maendeleo hayana vyama
cc: Pascal Mayalla
Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani kwake.
Maendeleo hayana vyama
cc: Pascal Mayalla