Askofu Gwajima: Mitume tumekuwa wengi Mungu amenituma sasa nikatumikie nchi na baadaye Dunia, sitarudi nyuma

Kitendo tu cha kuacha madhabahu ni anguko tayari.

Aibu kubwa iko njiani kumjilia.
 
19 Julai 2020
Je Gwajima ameshafeli vigezo, masharti , kanuni, mazoea ya CCM Mpya na makatazo kwa watia nia CCM 2020 kuanza kampeni mapema kinamna? Kwako johnthebaptist, Polepole, Dr. Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM na mkurugenzi wa uchaguzi CCM Mpya

GWAJIMA AWAJIBU WANAOSEMA KAKIMBILIA SIASA ASEMA “HARUDI NYUMA, AMETOKA KUPIGANA VITA AWATAKA WAUMINI WAPANUE MIPAKA"
Gwajima anasema anapanua huduma nyingine ili apate nafasi Bungeni atunge sheria, huduma za maji, kuleta barabara n.k

Anachomaanisha mitume wamekuwa wengi hivyo sadaka zimepungua, now anataka zile posho za bungeni.

Gwajima is lost, na ndio maana maandiko yanasema kipofu hawezi kuwaongoza vipofu wenzie wote watatumbukia shimoni.

Kwa kifupi alichosema Gwajima ni sawa na kusema Mungu amemruhusu akamtumikie shetani kwa sababu Mungu ana wafuasi wa kutosha, that guy is insane, huyu ni mtumishi wa shetani miaka yake yote, ndio maana ana scandal za hovyo.
 
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dr Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia.

Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani kwake.

Maendeleo hayana vyama

cc: Pascal Mayalla
atachaguliwa na CCM lakin sio wananchi
 
Kipangaspecial
Umenikumbusha kuna siku aliigiza hawezi kutembea, akaingia kanisani kwake na wheelchair, baada ya muda mfupi akaanza kusema najiskia kutembea...najiskia kutembea... waumini wake wakaanza kushangilia jamaa akasimama igizo lake likaishia hapo, but wapo waliomuamini!.
 
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dr Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia.

Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani kwake.

Maendeleo hayana vyama

cc: Pascal Mayalla
Huyu jamaa lazima kalaaniwa....
Toka ile video ivuje hajawahi kuwa sawa....pole sana Gwajima....pamoja na yote tumeaswa tusihukumu ili tusije hukumiwa...Mungu tu ndio anajua
 
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dr Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia.

Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani kwake.

Maendeleo hayana vyama

cc: Pascal Mayalla
Baada ya kuona kondoo wanapungua sio?
Sadaka imeshuka sana hata yule wa upako analialia kila siku
 
Siku ya mwisho kuna watu wataingia motoni live bila chenga
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dr Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia.

Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani kwake.

Maendeleo hayana vyama

cc: Pascal Mayalla
 
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dr Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia.

Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani kwake.

Maendeleo hayana vyama

cc: Pascal Mayalla
Huna lolote mzee hakuna cha kutumwa ssdaka zimepungua
 
Dhambi hii ni mbaya sana
Kitendo tu cha kuacha madhabahu ni anguko tayari.

Aibu kubwa iko njiani kumjilia.
Dhambi hii ni mbaya machoni pa madhabahu iliyonena ukuu upitao ubunge na uraisi. Leo anasujudu ubunge ?
 
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dr Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia.

Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani kwake.

Maendeleo hayana vyama

cc: Pascal Mayalla
Clown
 
Gwajima????????

Yaani,the most dishonest porn star of all time in this republic!
Halafu ana ushamba fulani, yaani akila mtoto wa dsm anajirekodi kabisa akajiangalie tena mbele ya safari.. ana bahati sn, kijiwe chake cha kanisa kimemtimizia ndoto zake!.
 
Umenikumbusha kuna siku aliigiza hawezi kutembea, akaingia kanisani kwake na wheelchair, baada ya muda mfupi akaanza kusema najiskia kutembea...najiskia kutembea... waumini wake wakaanza kushangilia jamaa akasimama igizo lake likaishia hapo, but wapo viazi waliomuamini!.
22 Otober 2016
KILIO CHA ASKOFU GWAJIMA HADHARANI KWENYE WHEELCHAIR Ep. 3/5 | Bonyeza
Huyu hapa Mtumishi Askofu katika wheelchair akiomba mjadala wa Askofu Polycarp Pengo ufungwe. Pia mama wa yule binti aliyefufuka afike madhabauni..
 
Halafu ana ushamba fulani, yaani akila mtoto wa dsm anajirekodi kabisa akajiangalie tena mbele ya safari.. ana bahati sn, kijiwe chake cha kanisa kimemtimizia ndoto zake!.
Mkuu ubunge hapati...hawezi katiza mbele ya Mdee!

Zee nafiki sana lile!
 
Hapa nilipo naomba Mungu ili CCM wamteme vibaya kwenye kinyang'anyiro cha ubunge ili aabike kwa tamaa zake.

Popote mlipo wanaCCM wa Kawe, chonde chonde msituangushe. Mpigeni chini Gwajima kama takataka.
 
Dhambi hii ni mbaya sana

Dhambi hii ni mbaya machoni pa madhabahu iliyonena ukuu upitao ubunge na uraisi. Leo anasujudu ubunge ?
Kuna baadhi ya vi-clip vyake sometimes nilikuwa nikivifuatilia, Ila kwa sasa sina hamu navyo.

Najiuliza inawezekana vile vijivideo vya ngono vilikuwa ni vya kweli?
 
Back
Top Bottom