Askofu Gwajima: Mitume tumekuwa wengi Mungu amenituma sasa nikatumikie nchi na baadaye Dunia, sitarudi nyuma

Askofu Gwajima: Mitume tumekuwa wengi Mungu amenituma sasa nikatumikie nchi na baadaye Dunia, sitarudi nyuma

Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia.

Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani kwake.

Maendeleo hayana vyama

cc: Pascal Mayalla
Mmmhhhh

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia.

Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani kwake.

Maendeleo hayana vyama

cc: Pascal Mayalla
Ni lini Gwajima amekuwa mgombea?
 
Thubutu waliandika lini mkuu? Madai yalikuwa nini?

[emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona waliandika KKKT, Roman Catholic, wachungaji binafsi mfano yule wa Rulenge,
Kuna Yule wa Kigoma , kuna Bagonza n.k

Hao wote wamekuwa wakitoa nyaraka mbalimbali @ Ritz

Kumbe ulikuwa hujajua?!
 
emoji3.png

Unakumbuka waraka wa Jumuiya la Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
 
Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia
Ni Bora Angesema ameamua; Mungu Siku izi anaongea kwenye Scripture, hawezi kujipinga; Ni Bora angesema kwamba ameamua Kwenda kwenye Siasa ingetosha sana, kuliko kuleta hoja za Mungu amemtuma; Ni Unafiki na Uongo and Offcourse Against Scripture.
 
Back
Top Bottom