denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Hivi mfano CCM wakimtema atarudi kwa waumini wake awaambie nini?! alivyotapeli anaweza kuwaambia Mungu alinituma wanadamu wakakataa, yaani wanadamu wanaweza kuwa na mamlaka zaidi ya Mungu!.Hapa nilipo naomba Mungu ili CCM wamteme vibaya kwenye kinyang'anyiro cha ubunge ili aabike kwa tamaa zake.
Popote mlipo wanaCCM wa Kawe, chonde chonde msituangushe. Mpigeni chini Gwajima kama takataka.