The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Tapeli mkubwa huyu..... CCM wakimpa huyu jamaa,nitaamini kabisa kuwa hawamjali Mtanzania bali matumbo yao.Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dr Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia.
Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani kwake.
Maendeleo hayana vyama
cc: Pascal Mayalla