johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbunge hula vya bungeni....... Muulize alhaj Bulembo!kondoo wake anaewakulaga yaani awaache hivi hivi!?
Mitume wamekuwa wengi...... Uwe unaelewa bwashee!Tamaa mbaya, kuacha madhabahu na kuingia siasani hili sio jambo jema.
Hapo alipo ana nafasi kubwa ya kutoa mchangi wake wa mawazo eg kushauri hata kukemea kupitia hiyo madhabahu yake.
Tuone mwisho wa filanu hii pendwa
Wagombea ubunge ni wengi zaidi kuliko mitume, hilo halioni?Mitume wamekuwa wengi...... Uwe unaelewa bwashee!
Mwenzio anatembelea chopa hana njaa ya " ugali maharage"Njaa ndo imemtuma baaada ya sadaka kupungua
Alianza hadi kubandua kondoo wake
Yeye katumwa na mungu hao wagombea ubunge wametumwa na nani?Wagombea ubunge ni wengi zaidi kuliko mitume, hilo halioni?
Je Imeamriwa mwisho mitume/watumishi wangapi?
Ngoja tuone kura zitasemaje!Mungu kamtuma Mungu kamtuma๐ huyu bwana Ni Conman mzuri tu..Ni vile Mungu sio binadamu. Vinginevyooo!
Mizimu ni miungu!Mungu au Mizimu?๐๐
Hata wanajeshi wanatembelea chopa, njaa ipo popote paleMwenzio anatembelea chopa hana njaa ya " ugali maharage"
Na JiweYeye katumwa na mungu hao wagombea ubunge wametumwa na nani?
Kwani wanajeshi wana njaa!Hata wanajeshi wanatembelea chopa, njaa ipo popote pale
Mdee ana wakati mgumu sana!Na Jiwe
Kwani kuna binadamu ameumbwa hana njaa?Kwani wanajeshi wana njaa!
Halima itabidi ajisalimishe!