Askofu Gwajima: Mitume tumekuwa wengi Mungu amenituma sasa nikatumikie nchi na baadaye Dunia, sitarudi nyuma

Tapeli mkubwa huyu..... CCM wakimpa huyu jamaa,nitaamini kabisa kuwa hawamjali Mtanzania bali matumbo yao.
 
CCM Mkimpitisha Mcheza porno nitaona watu wa ajabu sana! Gwajima ana ushawishi kwa mandondocha/misukule yake tu ambao sio wapiga kura!!
 
Asitufanye sisi wasahaulifu kama waumini wake.
Pepo ni muongo, Leo pepo unalikemea ukilihoji linakuambia hivi, the same demon kesho litakuambia tofauti
 

Attachments

  • 2445530_Mwambie_Gwajima_Ukiwa_muongo_jitaidi_uwe_na_kumbukumbu.._rolling_on_the_floor_laughing...mp4
    694.2 KB
Katika wahuni huyu nae yumo
 
Kauli yake inaonesha kama kaahidiwa mambo ya nje
 
Eti mtume 😂😂😂😂😂😂

Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

 
Anaitumikiaje Nchi? Kwamba atakuwa anaomba nafasi kwa muheshimiwa Speaker Bungeni apige Injiri kidogo? Huyu hana lolote.
 
Unaacha kazi ya Mungu unatafuta yakukupa pesa na umaarufu!! Hatar sana. Watu hawaoni haya kudanganya wametumwa na Mungu!! Bora angesema Magu japo amekataza
 
Huyu bwana Gwajima anatudharau sana watu wa jimbo la Kawe. Amecheza filamu za ngono na waumini wake, haijamtosha. Sasa anapanua uwanja awapate wa jimbo zima!!

Gwajima asimjaribu Mungu wa kweli. Labda kama ametumwa na miungu wa misukule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu kakosa wa kumtuma?.

Anyway...najua maadili ya Kiaskofu hayaruhusu kutoa rushwa hivyo sidhani kama atapita kwenye chujio.
 
Anataka afate nyayo za chikwera rais wa Malawi..usishangae huyu akawa presidaa wa 2025..hi ndo tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…