Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ni bora huyu mcheza porn kuliko yule sauti ya Zege, hana jipya.Kama unaona uzinzi,umalaya na uasherati ni sifa yakujivunia basi una shida yakufikiri ndugu.
Amalizie kwanza kanisa lake na kuwajengea uwezo waumini wake kabla ya kutaka makuu... ikiwa shati linampwaya vipi iwe kwa joho?Uwezo anao, tumpe kura
Haya jiandae kupelekwa kwa mabeberu na Gwajiboy maana ndizo ahadi zake alizotoa leo.
View attachment 1568872
Huwezi kuelewa ila kwa kifupi ikiwa ASKOFU GWAJIMA SHATI LINAMPWAYA VIPI MNATAKA KUMVIKA JOHO?Sijui unaongelea nini comrade.
Asipoewa uwaziri wa afya nitashangaa sanaAmbulance za nini wakati anao uwezo wa kufufua waliokufa, kuponya vilema.
Si bora angesema atakuwa anawaombea hao wagonjwa waponee majumbani kwao.
lugha za mafumbo na vijembe hupendelewa kutumiwa na wanawake. nashindwa kukuelewa comrade.Huwezi kuelewa ila kwa kifupi ikiwa ASKOFU GWAJIMA SHATI LINAMPWAYA VIPI MNATAKA KUMVIKA JOHO?
Kujipersonify kuwa wewe ni CDM haikusaidii kumfanyia kampeni GwajimaTunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?
Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.
Tujitafakari.
Ubishi ni ugonjwa, ishu ya porn itatutoa?Kujipersonify kuwa wewe ni CDM haikusaidii kumfanyia kampeni Gwajiporn,
Msiba wa kujitakia hauna kilioTunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?
Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.
Tujitafakari.
Fanyeni ubishi, oktoba itakuwa aibu.Unajiona umebuuumba mtego
shukuru Mungu umejua mapemaTunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?
Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.
Tujitafakari.
Mimi binafsi sipendi upuuzi huo.kama Kamanda Lissu kila siku anashambulia mgombea mwenzake "personal" kwanini na nyie msifanye hivyo? ndio sere ya chama hiyo mkuu!
Tena isingekua sheria kukaba kale ka clip ka mkono wa baunsa ilibidi kaoneshwe kila mkutanoTunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?
Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.
Tujitafakari.
Hapo umenenaTunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?
Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.
Tujitafakari.