Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ni bora huyu mcheza porn kuliko yule sauti ya Zege, hana jipya.Kama unaona uzinzi,umalaya na uasherati ni sifa yakujivunia basi una shida yakufikiri ndugu.
Unachokifanya gizani ni wewe na hukumu ya Mungu inayokusubiri sisi wa jimbo la kawe hilo halituhusu.