Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Kama unaona uzinzi,umalaya na uasherati ni sifa yakujivunia basi una shida yakufikiri ndugu.
Ni bora huyu mcheza porn kuliko yule sauti ya Zege, hana jipya.

Unachokifanya gizani ni wewe na hukumu ya Mungu inayokusubiri sisi wa jimbo la kawe hilo halituhusu.
 
Tunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?

Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.

Tujitafakari.
 
Ameaibisha sana walokole.

Marekani kaenda ila POMPEO lazima atampiga ban huyu jamaa kama tu makonda. Kwenda Marekani si kuletea jimbo maendeleo, kwanza nyie si mnaita wazungu mabeberu, sasa unawalamba makalio ya nini?

Jiwe si amesema tunajitosheleza kwa kila kitu, hao mabeberu unataka kuwapeleka huko vijana wa kawe wakafanywe nini kama wewe ulivyomfanya yule mshirika wako yule dada mweupe uliyekojoa ndani ya sekunde 40?
 
Kama haihitaji serikali wala manispaa sasa alikua wapi miaka yote kuleta hizo ambulance kama kweli anawapenda wakazi wa kawe
 
Tunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?

Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.

Tujitafakari.
Kujipersonify kuwa wewe ni CDM haikusaidii kumfanyia kampeni Gwajima
 
Tunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?

Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.

Tujitafakari.
Msiba wa kujitakia hauna kilio
 
kama Kamanda Lissu kila siku anashambulia mgombea mwenzake "personal" kwanini na nyie msifanye hivyo? ndio sera ya chama hiyo mkuu!
 
Tunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?

Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.

Tujitafakari.
shukuru Mungu umejua mapema
 
Tena isingekua sheria kukaba kale ka clip ka mkono wa baunsa ilibidi kaoneshwe kila mkutano
 
Back
Top Bottom