pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kwa mustakabali wa chama,usitetee ujinga. Polisi walishughulikia hili suala na ikaonekana kuna watu wanataka kumchafua. Halitatusaidia tumia akili kamanda.Akitaka aachwe kusemwa, aje tena mbele ya vyombo vya habari na kukubali ya kwamba ile clip ya ngono ni ya kwake! Na atuambie ni kwa nini jitu zima kama yeye, likaamua kujirekodi likifanya mambo ya faragha.
Haiwezekani Mchungaji/Askofu mzima anakua muongo! Alitukatalia mbele ya waandishi wa habari na mke wake akiwa pembeni yake, akisema hiyo clip ili editiwa! Na wakati ni yeye mwenyewe kabisa!! Yaani anatufanya Watanzania wote hatuna macho!!
Kwani ruzuku mnazopata ni pesa za maruhani?
kwanini anasuburi mpaka awe mbunge kama ana uwezo ? Kama ana nia ya kusaidia kwanini hajafanya hivyo siku za nyuma! Mbona Mengi alikuwa anasaidia shule bila kuwa mbunge!
Kwa kuwa wao sio wananchi hao waumini!!
Shida kubwa na Huyu Mh Dr Askofu Gwajima- ni uongo! Hivyo vitabu vitano anavyodai ameandika na viko Amazon HAVIPO! Sasa Askofu anapodanganya ni lazima tujiulize mara mbili, kwa nini afanye hivyo! Ni ughilibu? I hate wanasiasa uchwara!Sawa, nafikiri hili nalo tutamwambie mbunge wetu gwajima aweze kulishugulikia pia. Ili watumishi hao wapelekwe mafunzo ya mda mfupi ili wawewabobezi zaidi. Mh Dr. Asikofu gwajima huyu ndo mwalobaini wa kero zetu za hapa kawe.
Sisi tunakero za miundombinu ya hapa kawe, wewe endelea kufuatilia huko amazon.Shida kubwa na Huyu Mh Dr Askofu Gwajima- ni uongo! Hivyo vitabu vitano anavyodai ameandika na viko Amazon HAVIPO! Sasa Askofu anapodanganya ni lazima tujiulize mara mbili, kwa nini afanye hivyo! Ni ughilibu? I hate wanasiasa uchwara!
Pesa mnapata kakibanda kila siku vilevile.....onyesheni mfano kabla hamjapewa nchi.......hio ruzuku kwani inaingia kwa wengine nyie hampati? Hio si ndo ya mfukoni mwenu na nyieHoja yako ni nini kwenye fedha za ruzuku?
Ruzuku ni kwa ajili ya maendeleo ya kata na vijiji?Kwani ruzuku mnazopata ni pesa za maruhani?
Maendeleo ya lile banda la kuku la ufipaRuzuku ni kwa ajili ya maendeleo ya kata na vijiji?
Kwa tume hii unaweza kuwa uko sahihi mana kuna ile kauli ya "Ole wako mpinzani ashinde na umtangaze". Nadhani hapo umepata picha,sema safari hii wadau hawamwachii Mungu kama siku zoteHuyu huyu na utapeli na sinema zake atakwenda mjengoni Dodoma.
Yule sauti ya zege muda wa kufungasha virago umewadia.
Wanatumia haki yao ya kidemokrasia. Huyo Mdee miaka aliyokuwa mbunge imetosha.Kwa tume hii unaweza kuwa uko sahihi mana kuna ile kauli ya "Ole wako mpinzani ashinde na umtangaze". Nadhani hapo umepata picha,sema safari hii wadau hawamwachii Mungu kama siku zote
Wewe mataga huna jipya rudi korido za lumumba kuombaomba za kahawaMimi binafsi sipendi upuuzi huo.
Huyu jamaa ni professional muongo. Marekani hakuna Jimbo la Birmingham