Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Huyu ni tapeli hatare mno!
Anafufua watu!🤣
Anaponya viwete. vilema, viziwi.🤣
Analeta utajiri kwa kuombea 🤣
Wana Kawe kuweni makini, ccm wanawaletea tapeli si dharau kwenu hii?
 
Akitaka aachwe kusemwa, aje tena mbele ya vyombo vya habari na kukubali ya kwamba ile clip ya ngono ni ya kwake! Na atuambie ni kwa nini jitu zima kama yeye, likaamua kujirekodi likifanya mambo ya faragha.

Haiwezekani Mchungaji/Askofu mzima anakua muongo! Alitukatalia mbele ya waandishi wa habari na mke wake akiwa pembeni yake, akisema hiyo clip ili editiwa! Na wakati ni yeye mwenyewe kabisa!! Yaani anatufanya Watanzania wote hatuna macho!!
Kwa mustakabali wa chama,usitetee ujinga. Polisi walishughulikia hili suala na ikaonekana kuna watu wanataka kumchafua. Halitatusaidia tumia akili kamanda.
 
kwanini anasuburi mpaka awe mbunge kama ana uwezo ? Kama ana nia ya kusaidia kwanini hajafanya hivyo siku za nyuma! Mbona Mengi alikuwa anasaidia shule bila kuwa mbunge!

Huyo anaropka tu, anafikiri anawaamasisha washirika wake.
 
Kwa kuwa wao sio wananchi hao waumini!!

Pesa zake anakusanya kwa waumini kama ni kweli anazipatia kwa waumini wake. Hao ndio walipaswa kuona mrejesho wa sadaka zao kwanza, kabla ya wapiga kura wa kawe.
 
Sawa, nafikiri hili nalo tutamwambie mbunge wetu gwajima aweze kulishugulikia pia. Ili watumishi hao wapelekwe mafunzo ya mda mfupi ili wawewabobezi zaidi. Mh Dr. Asikofu gwajima huyu ndo mwalobaini wa kero zetu za hapa kawe.
Shida kubwa na Huyu Mh Dr Askofu Gwajima- ni uongo! Hivyo vitabu vitano anavyodai ameandika na viko Amazon HAVIPO! Sasa Askofu anapodanganya ni lazima tujiulize mara mbili, kwa nini afanye hivyo! Ni ughilibu? I hate wanasiasa uchwara!
 
Shida kubwa na Huyu Mh Dr Askofu Gwajima- ni uongo! Hivyo vitabu vitano anavyodai ameandika na viko Amazon HAVIPO! Sasa Askofu anapodanganya ni lazima tujiulize mara mbili, kwa nini afanye hivyo! Ni ughilibu? I hate wanasiasa uchwara!
Sisi tunakero za miundombinu ya hapa kawe, wewe endelea kufuatilia huko amazon.
 
GWAJIMA ANASEMA AMEANDIKA VITABU VITANO KWA LUGHA YA "KIJAPANI" ALIMWANDIKIA NANI AU WASUKUMA WANAONGEA KIJAPANI?PUMBAVU SANA HII TAKATAKA HAIFAI HATA KUSIKILIZWA
GWAJIMA NI MZINZI KAWE HATUTAKI WAZINZI!
 
Hoja yako ni nini kwenye fedha za ruzuku?
Pesa mnapata kakibanda kila siku vilevile.....onyesheni mfano kabla hamjapewa nchi.......hio ruzuku kwani inaingia kwa wengine nyie hampati? Hio si ndo ya mfukoni mwenu na nyie
 
Huyu gwajiboy naye pambaff kweli kweli ina maana wote wanaokwenda marekani ndo wajanja au wenye akili tu na wasioenda ni vilaza?
 
Ubunge ni kazi ya kuaminika; ambayo inahitaji mtu mwema, anayekubalika ktk jamii lakini baada ya kumuona Gwajina ni mgombea nimeikumbuka ile video ya Gwajima.

Ni huyu ambaye tulimuona kwenye video? Ni huyu aliyetukana viongozi wenzake wa kidini? Huyu ni mzoefu ktk matendo yasiyokubalika kwa mwenye akili timamu. Imekuwaje leo hii Gwajima, anayejiita askofu kuwa mgombea na shujaa aliyeamininwa na CCM? Naamini huyu mgombea hana akili timamu.

Kwa ujumla Kawe ni jimbo linaloonekana kupwaya maana hata Mdee sioni kama ni mtu mwenye ubora. Matendo yake mitaani na bungeni pia ni mtu wa aina hiyo hiyo ikiwa ni pamoja na kusikika kwa tabia zisizokubalika ktk jamii yetu; usgaji. Ni mtu anayetegemea uhuni na maneno ya kihuni ili kupata support mitaani. Jukwaa analitawala kwa maneno ya mitaani ambayo hayana msaada wowote ktk kuwasaidia.
 
Huyu huyu na utapeli na sinema zake atakwenda mjengoni Dodoma.

Yule sauti ya zege muda wa kufungasha virago umewadia.
Kwa tume hii unaweza kuwa uko sahihi mana kuna ile kauli ya "Ole wako mpinzani ashinde na umtangaze". Nadhani hapo umepata picha,sema safari hii wadau hawamwachii Mungu kama siku zote
 
Kwa tume hii unaweza kuwa uko sahihi mana kuna ile kauli ya "Ole wako mpinzani ashinde na umtangaze". Nadhani hapo umepata picha,sema safari hii wadau hawamwachii Mungu kama siku zote
Wanatumia haki yao ya kidemokrasia. Huyo Mdee miaka aliyokuwa mbunge imetosha.
 
nafikiri kuna masharti ya kutokujenga makanisa kwa baadhi ya watumishi akiwemo Gwajima, bilionea Shilla nk....ila magari angewanunulia kwanza waumini wake mabasi
 
Back
Top Bottom