Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ingia google halafu andika Birmingham Alabama utapata taarifa zote.Huyu jamaa ni professional muongo. Marekani hakuna Jimbo la Birmingham
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia google halafu andika Birmingham Alabama utapata taarifa zote.Huyu jamaa ni professional muongo. Marekani hakuna Jimbo la Birmingham
Huyu jamaa mzimu wa Lowassa unamyumbisha mno--Huku jengo la kanisa likiwa nimemshinda kujenga anatangatanga. Lakini angeanza na kuboresha miundombinu ya shule ingefaa kuliko hayo magari.
hili ndilo jibu sahihi ambulance za nini kwake hakuna kuumwaAmbulance za nini wakati anao uwezo wa kufufua waliokufa, kuponya vilema.
Si bora angesema atakuwa anawaombea hao wagonjwa waponee majumbani kwao.
Kanisa la waumini wake amemaliza kujenga?Uwezo anao, tumpe kura
Sina majibu ya swali lako comrade. Ila anaenda kununua ambulance kwenye kila kata kwa ajili yetu wakazi wa kawe.
Unajua jimbo kawe lina kata ngapi?
Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.
Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua.
Mambo mengine mengi mazuri yatafuatia ikiwemo maboti ya uvuvi kwa ndugu zetu kule ufukweni mwa bahari.
Source: East Africa Radio.
Maendeleo hayana vyama!
=========
"Mwaka jana nilitembelea kule Marekani, ndiyo maana nakuawambia usifikiri unaongea na kilaza kwa taarifa yako mimi naongea Kijapan nimeandika vitabau vitano vya Kijapan ukienda Amazon unakuta vinauzwa"- Josephat Gwajima.
"Nikichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe nitaweka Ambulance kwenye kila Kata, watu wangu watakimbizwa hospitalini kwa haraka na jambo hili ni jepesi halihitaji Manispaa wala halihitaji Serikali"- Josephat Gwajima.
Hapana.
😂😂😂hyo Amazon anakosema kuna vitabu vyake... ni ipo maan sijawai viona
Yes you have a point, lakini, Gwaji Boy, hajaahidi ambulance tuu, kwanini umekomalia kwenye ahadi ya ambulance tuu?.Ambulance ina umuhimu, tena sana, lkn kwa mtu anayejitambua, acha hawa lumpen proletariats, class unconscious people, huwezi kumshawishi akupe kura kwa vile utaleta ambulance KAWE! Kwa Dar na foleni zake na poln ya Kawe, si kitu chenye ushawishi mkubwa kumgeuza mtu IMANI akupe kura!. Siyo mjini kama Kawe! Do you see my point!?
Yes you have a point, lakini, Gwaji Boy, hajaahidi ambulance tuu, kwanini umekomalia kwenye ahadi ya ambulance tuu?.
P
Mimi kuwa na msimamo thabiti ndio nimekuwa Mataga?Wewe mataga huna jipya rudi korido za lumumba kuombaomba za kahawa
😂😂😂nikajua ni kwangu tuu
mkuu Umekubali kuwa Gwajiboy hana sera...Yes you have a point, lakini, Gwaji Boy, hajaahidi ambulance tuu, kwanini umekomalia kwenye ahadi ya ambulance tuu?.
P
Kama kutembelea Marekani , kuzungumza Kijapan na kuandika vitabu vitano kwa Kijapan vilivyopo Amazon ndo kigezo cha kutokuwa kilaza, hapa Mtumishi anajaribu kutuambia nini kuhusu Magu ambae hajaenda Marekani, hajaandika vitabu vitano sio tu kwa Kijapan na kuviuza huko Amazon bali hajaandika hata kwa lugha ya Kisukuma let alone kwa Kiswahili na hatimae kuviuza angalau kwenye meza za magazeti kama afanyavyo Shigongo?!"Mwaka jana nilitembelea kule Marekani, ndiyo maana nakuawambia usifikiri unaongea na kilaza kwa taarifa yako mimi naongea Kijapan nimeandika vitabau vitano vya Kijapan ukienda Amazon unakuta vinauzwa"
Hapo anamaanisha Magu ni kilaza ila yeye aliyeishia darasa la nne c ndo msomiKama kutembelea Marekani , kuzungumza Kijapan na kuandika vitabu vitano kwa Kijapan vilivyopo Amazon ndo kigezo cha kutokuwa kilaza, hapa Mtumishi anajaribu kutuambia nini kuhusu Magu ambae hajaenda Marekani, hajaandika vitabu vitano sio tu kwa Kijapan na kuviuza huko Amazon bali hajaandika hata kwa lugha ya Kisukuma let alone kwa Kiswahili na hatimae kuviuza angalau kwenye meza za magazeti kama afanyavyo Shigongo?!