Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Huku jengo la kanisa likiwa nimemshinda kujenga anatangatanga. Lakini angeanza na kuboresha miundombinu ya shule ingefaa kuliko hayo magari.
Huyu jamaa mzimu wa Lowassa unamyumbisha mno--
 
PhD za mambo ya kawaida Ali soma wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ambulance za nini wakati anao uwezo wa kufufua waliokufa, kuponya vilema.

Si bora angesema atakuwa anawaombea hao wagonjwa waponee majumbani kwao.
hili ndilo jibu sahihi ambulance za nini kwake hakuna kuumwa
 
Sina majibu ya swali lako comrade. Ila anaenda kununua ambulance kwenye kila kata kwa ajili yetu wakazi wa kawe.

Unajua jimbo kawe lina kata ngapi?

kwanza anunue la kanisani kwake
 
Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.

Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua.

Mambo mengine mengi mazuri yatafuatia ikiwemo maboti ya uvuvi kwa ndugu zetu kule ufukweni mwa bahari.

Source: East Africa Radio.

Maendeleo hayana vyama!

=========

"Mwaka jana nilitembelea kule Marekani, ndiyo maana nakuawambia usifikiri unaongea na kilaza kwa taarifa yako mimi naongea Kijapan nimeandika vitabau vitano vya Kijapan ukienda Amazon unakuta vinauzwa"- Josephat Gwajima.

"Nikichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe nitaweka Ambulance kwenye kila Kata, watu wangu watakimbizwa hospitalini kwa haraka na jambo hili ni jepesi halihitaji Manispaa wala halihitaji Serikali"- Josephat Gwajima.
gwajima.PNG
 
😂😂😂hyo Amazon anakosema kuna vitabu vyake... ni ipo maan sijawai viona
 
Ambulance ina umuhimu, tena sana, lkn kwa mtu anayejitambua, acha hawa lumpen proletariats, class unconscious people, huwezi kumshawishi akupe kura kwa vile utaleta ambulance KAWE! Kwa Dar na foleni zake na poln ya Kawe, si kitu chenye ushawishi mkubwa kumgeuza mtu IMANI akupe kura!. Siyo mjini kama Kawe! Do you see my point!?
Yes you have a point, lakini, Gwaji Boy, hajaahidi ambulance tuu, kwanini umekomalia kwenye ahadi ya ambulance tuu?.

P
 
"Mwaka jana nilitembelea kule Marekani, ndiyo maana nakuawambia usifikiri unaongea na kilaza kwa taarifa yako mimi naongea Kijapan nimeandika vitabau vitano vya Kijapan ukienda Amazon unakuta vinauzwa"
Kama kutembelea Marekani , kuzungumza Kijapan na kuandika vitabu vitano kwa Kijapan vilivyopo Amazon ndo kigezo cha kutokuwa kilaza, hapa Mtumishi anajaribu kutuambia nini kuhusu Magu ambae hajaenda Marekani, hajaandika vitabu vitano sio tu kwa Kijapan na kuviuza huko Amazon bali hajaandika hata kwa lugha ya Kisukuma let alone kwa Kiswahili na hatimae kuviuza angalau kwenye meza za magazeti kama afanyavyo Shigongo?!
 
Nimeona sehemu wazungu au mabeberu kama wajulikanavyo kule Lumumba wakimsifia Gwaji boy jinsi aliweza kujenga majumba huko Sala sala na kuwagawia wasiojiweza daaah kumbe hili ni jambazi kabisa sio tapeli tu
 
Kama kutembelea Marekani , kuzungumza Kijapan na kuandika vitabu vitano kwa Kijapan vilivyopo Amazon ndo kigezo cha kutokuwa kilaza, hapa Mtumishi anajaribu kutuambia nini kuhusu Magu ambae hajaenda Marekani, hajaandika vitabu vitano sio tu kwa Kijapan na kuviuza huko Amazon bali hajaandika hata kwa lugha ya Kisukuma let alone kwa Kiswahili na hatimae kuviuza angalau kwenye meza za magazeti kama afanyavyo Shigongo?!
Hapo anamaanisha Magu ni kilaza ila yeye aliyeishia darasa la nne c ndo msomi
 
Back
Top Bottom