Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Huyo Askofu tapeli gwajima mpigeni chini fasta.

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe

Bora mchezaji porn kuliko Mdee anayeshinda Twitter akitukanana na watu.
 
Ahadi za kitapeli hizi
Hatuhitaji mbunge wa kuahidi vitu vya kutoka mfukoni mwake ambavyo hatuwezi kumdai,tuhahitaji mtu wa kuisimamia serikali ilete maendeleo ya halali kutokana na kodi zetu
 
Gwajima hauziki hata kidogo. Hiyo ahadi ya ambulance kila kata ni ahadi fake.

Mwenye ubongo wa kuku ndiye atakeyemuelewa huyu askofu tapeli na mdhinifu wa wake za watu, lakini kwa sisi wenye uwelewa tumeshamtambua kitambo sana.

JamiiForums-2131434701_300x212.jpg
 
Waumini wake wanasali kwenye matope pale viwanja vya Mkanada Tegeta. Kwa miaka 20 ameshindwa kujenga kanisa kama Kakobe.

Halafu alinunua Chopa imezungushiwa utepe pale Airport yani haijwahi kutoka pale!
 
Ambulance za nini wakati anao uwezo wa kufufua waliokufa, kuponya vilema.

Si bora angesema atakuwa anawaombea hao wagonjwa waponee majumbani kwao.
Ndio ujue utapeli wa huyu jamaa ulipojificha
 
Lowatha alihudhubia maelfu ya watu wa Iringa mjini mwaka 2015 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
20200913_180917.jpg

Haya MATAGA furahini ukweli mnaoutaka kuusikia😅
 
Ameshindwa kuwasaidia waumini wake, ataweza kuwasaidia wanakawe? Kanisa lenyewe limemshinda.
 
Ambulance za nini wakati anao uwezo wa kufufua waliokufa, kuponya vilema.

Si bora angesema atakuwa anawaombea hao wagonjwa waponee majumbani kwao.
Umeniwahi mkuu[emoji3]

Nashangaa anahangaika na ambulance ya nini wakati uwezo wa kuombea wagonjwa na wafu hadi wapone anao.
 
Ambulance kila kata? Hivi huyu ana makanisa mangapi aliyojenga kwa Dar es Salaam tu?
 
Aache uongo na utapeli.


Anataka kuifuta misikiti na madrassa zetu tumkatae huyu shetani


Hiyo ni Mihemko ya watoa mawaidha wala siyo mambo ya kuchukulia siliasi!
Kuna maustadhi wengi wanaongeaga maneno zaidi ya hayo lakini watu wa dini nyingine wala hawachukulii maananani wanaendelea na shughuli zao !
 
Back
Top Bottom