Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon


Bora mchezaji porn kuliko Mdee anayeshinda Twitter akitukanana na watu.
 
Ahadi za kitapeli hizi
Hatuhitaji mbunge wa kuahidi vitu vya kutoka mfukoni mwake ambavyo hatuwezi kumdai,tuhahitaji mtu wa kuisimamia serikali ilete maendeleo ya halali kutokana na kodi zetu
 
Waumini wake wanasali kwenye matope pale viwanja vya Mkanada Tegeta. Kwa miaka 20 ameshindwa kujenga kanisa kama Kakobe.

Halafu alinunua Chopa imezungushiwa utepe pale Airport yani haijwahi kutoka pale!
 
Ambulance za nini wakati anao uwezo wa kufufua waliokufa, kuponya vilema.

Si bora angesema atakuwa anawaombea hao wagonjwa waponee majumbani kwao.
Ndio ujue utapeli wa huyu jamaa ulipojificha
 
Lowatha alihudhubia maelfu ya watu wa Iringa mjini mwaka 2015 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Haya MATAGA furahini ukweli mnaoutaka kuusikiaπŸ˜…
 
Ameshindwa kuwasaidia waumini wake, ataweza kuwasaidia wanakawe? Kanisa lenyewe limemshinda.
 
Ambulance za nini wakati anao uwezo wa kufufua waliokufa, kuponya vilema.

Si bora angesema atakuwa anawaombea hao wagonjwa waponee majumbani kwao.
Umeniwahi mkuu[emoji3]

Nashangaa anahangaika na ambulance ya nini wakati uwezo wa kuombea wagonjwa na wafu hadi wapone anao.
 
Ambulance kila kata? Hivi huyu ana makanisa mangapi aliyojenga kwa Dar es Salaam tu?
 
Aache uongo na utapeli.


Anataka kuifuta misikiti na madrassa zetu tumkatae huyu shetani


Hiyo ni Mihemko ya watoa mawaidha wala siyo mambo ya kuchukulia siliasi!
Kuna maustadhi wengi wanaongeaga maneno zaidi ya hayo lakini watu wa dini nyingine wala hawachukulii maananani wanaendelea na shughuli zao !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…