Haya jiandae kupelekwa kwa mabeberu na Gwajiboy maana ndizo ahadi zake alizotoa leo
View attachment 1568872
Hayo ya Bakhressa yanaingia vipi? Hoja ni kununua ambulance na Gwajima atazinunua akiwa mbunge. Kuchimba visima ni mfano tosha kuwa atatekeleza.
Hayo unayasema wewe ambae unauhakika wa maisha. Kawe kuna masikini wengi sana ambao wanahitaji mbunge kama Gwajima. Halima aligeuka akawa mzee wa mahakama hawafai tena.Hoja ya Bakhressa imeingia baada ya wa kusema Gwajima angenunua ambulance kungekuwa na kelele. Kinamshinda nini kununua bila kuwa mbunge? Tulishatoka kwenye dunia ya viongozi kukaa madarakani, kisha kuhadaa umma na vijimsaada uchwara. Angeweza kufanikiwa hilo kama zingekuwa ni ahadi za huko majimbo ya maporini, sio hapa mjini.
pUwezo anao, tumpe kura
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂p
Hana huo uwezo anawadanganya mu mpe kura halafu hamtamuona tena; ushahidi wa utapeli wake ni pale alipowadanganya waumini wake kuwa angewajengea hekalu kubwa , lakini mpaka Leo wanasali kwenye pango!
Gwajama ni msanii tapeli msimuamini!
Hoja yako haina mashiko hata angesema anaenda kuziendeleza hospitali za kawe ungekuja kuhoji kwanini asinunue ambulance.Hivyo vitabu vinahusu Nini? Na kwanini awaandikie wajapan badala ya waswahili?
Na kwanini agawe magari ya wagonjwa badala ya kuziendeleza hospitali za kata ili ziwe na uwezo wa kuwalaza hao anaowaombea magonjwa? Halafu unaunga mkono as if kaahidi mahitaji ya wanakawe! Huyu hapati kura za wanakawe kwani kashindwa kuwanunulia mabasi ya kiwabeba waumini wake!
Angekuwa amenunua ambulance kabla ya kugombea ubunge halafu safari hii akasema atajenga hospital bila shaka ungekuja kuuliza kwanini hakujenga hospital kabla kuwa mbunge. Gwajima hazuilikiAlinunua helicopter kwa matumizi yake na sio ya umma. Hizo ambulance Ni kwa ajili yake? Kama anaweza kununu ambulance kilimshinda nini kununua kabla ya kuwa mbunge, au wagonjwa wataanza baada ya yeye kuwa mbunge?
Wakati huo na mimi naomba picha ya ujenzi wa makao makuu ya chadema.Naomba picha mkuu ya ujenzi wa kanisa
Chadema inavowapa ahadi kemkem wananchi huku ruzuku wakipata kale ka ofisi ka ufipa hawakakumbuki nao ni akina Gwajima tu, una ahidi makubwaa wakati kibanda chako kinakutoa jashoWajinga ndio waliwao, waumini wake wanasalia kwenye jua, ameshindwa kuwajali ndio ataweza kununua ambulance? Hivi anadhani wananchi wa kawe ni kama hao waumini wake wanaosadiki porojo zake? Mbona hizo ahadi za kitapeli ni za enzi za watu wakiwa na ufahamu mdogo, au na yeye kaamua kuja na swagga za kuifanya Tanzania kama ulaya na Kigoma kuwa Dubai?
Sijaongelea chama, Mimi ni CCM siko upinzani. Ila sitaki unafikiWakati huo na mimi naomba picha ya ujenzi wa makao makuu ya chadema.
Hivi kweli Vitabu vitano Kwa Lugha ya Kijapan vimeandikwa na Gwajima vikauzwe Amazon? Huyu Askofu ana Swagga sijapata kuona. Vimeandikwa nini Kwa Kijapan mbona hasemi? Kawe wanahitaji Vitabu Kwa Kijapan au huduma za Jamii? Gwajima anakujua Malolo?Huyo Askofu tapeli gwajima mpigeni chini fasta.
Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.
Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.
Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
Sawa twende sawa ccm mwenzangu, niambie ujenzi wa kanisa la Gwajima unahusika vipi na maendeleo ya kawe? Au unaathiri vipi utendaji wa Gwajima kama mbunge wa kawe. Nasema ni mbunge maana ipo wazi Gwajima kashashinda tayari.Sijaongelea chama, Mimi ni CCM siko upinzani. Ila sitaki unafiki
Charity begins at home, tuanze kanisani then twende huko mtaaniSawa twende sawa ccm mwenzangu, niambie ujenzi wa kanisa la Gwajima unahusika vipi na maendeleo ya kawe? Au unaathiri vipi utendaji wa Gwajima kama mbunge wa kawe. Nasema ni mbunge maana ipo wazi Gwajima kashashinda tayari.
Hujajibu swali langu comrade, niambie ujenzi wa kanisa una manufaa yapi katika utendaji kazi wa mbunge?Charity begins at home, tuanze kanisani then twende huko mtaani
Aisee, kumbe ukilaza unapimwa kwa kigezo hicho cha kutokijua Kijapani! Basi atuombee mdahalo kwa wale wa ile nafasi ya juu"Mwaka jana nilitembelea kule Marekani, ndiyo maana nakuawambia usifikiri unaongea na kilaza kwa taarifa yako mimi naongea Kijapan nimeandika vitabau vitano vya Kijapan ukienda Amazon unakuta vinauzwa"- Josephat Gwajima.