Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Hayo ya Bakhressa yanaingia vipi? Hoja ni kununua ambulance na Gwajima atazinunua akiwa mbunge. Kuchimba visima ni mfano tosha kuwa atatekeleza.

Hoja ya Bakhressa imeingia baada ya wa kusema Gwajima angenunua ambulance kungekuwa na kelele. Kinamshinda nini kununua bila kuwa mbunge? Tulishatoka kwenye dunia ya viongozi kukaa madarakani, kisha kuhadaa umma na vijimsaada uchwara. Angeweza kufanikiwa hilo kama zingekuwa ni ahadi za huko majimbo ya maporini, sio hapa mjini.
 
Hoja ya Bakhressa imeingia baada ya wa kusema Gwajima angenunua ambulance kungekuwa na kelele. Kinamshinda nini kununua bila kuwa mbunge? Tulishatoka kwenye dunia ya viongozi kukaa madarakani, kisha kuhadaa umma na vijimsaada uchwara. Angeweza kufanikiwa hilo kama zingekuwa ni ahadi za huko majimbo ya maporini, sio hapa mjini.
Hayo unayasema wewe ambae unauhakika wa maisha. Kawe kuna masikini wengi sana ambao wanahitaji mbunge kama Gwajima. Halima aligeuka akawa mzee wa mahakama hawafai tena.
 
Vitabu vya kijapan vinapatikana Amazon vinahusikaje na jimbo la Kawe 😂😂😂😂😂
huyu anatoweka upesi kwenye ramani
 
p

Hana huo uwezo anawadanganya mu mpe kura halafu hamtamuona tena; ushahidi wa utapeli wake ni pale alipowadanganya waumini wake kuwa angewajengea hekalu kubwa , lakini mpaka Leo wanasali kwenye pango!

Gwajama ni msanii tapeli msimuamini!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hivyo vitabu vinahusu Nini? Na kwanini awaandikie wajapan badala ya waswahili?
Na kwanini agawe magari ya wagonjwa badala ya kuziendeleza hospitali za kata ili ziwe na uwezo wa kuwalaza hao anaowaombea magonjwa? Halafu unaunga mkono as if kaahidi mahitaji ya wanakawe! Huyu hapati kura za wanakawe kwani kashindwa kuwanunulia mabasi ya kiwabeba waumini wake!
Hoja yako haina mashiko hata angesema anaenda kuziendeleza hospitali za kawe ungekuja kuhoji kwanini asinunue ambulance.
Cha msingi kila mtu anakipaumbele chake na kipaumbele cha Gwajima ni kununua ambulance
 
Alinunua helicopter kwa matumizi yake na sio ya umma. Hizo ambulance Ni kwa ajili yake? Kama anaweza kununu ambulance kilimshinda nini kununua kabla ya kuwa mbunge, au wagonjwa wataanza baada ya yeye kuwa mbunge?
Angekuwa amenunua ambulance kabla ya kugombea ubunge halafu safari hii akasema atajenga hospital bila shaka ungekuja kuuliza kwanini hakujenga hospital kabla kuwa mbunge. Gwajima hazuiliki
 
Hivi huyu anaamini watu wote ni wajinga kama wale anaowadanganya kanisani kwake? Kila mara amesema mara nitanunua treni, mara nitajenga barabara kwa hela yangu, lakini hakuna hata kimoja alichofanya. Kanisa lake lenyewe ni banda halafu bado anatarajia kuwa kuna watu wataamini hizo hadithi zake?
 
Wajinga ndio waliwao, waumini wake wanasalia kwenye jua, ameshindwa kuwajali ndio ataweza kununua ambulance? Hivi anadhani wananchi wa kawe ni kama hao waumini wake wanaosadiki porojo zake? Mbona hizo ahadi za kitapeli ni za enzi za watu wakiwa na ufahamu mdogo, au na yeye kaamua kuja na swagga za kuifanya Tanzania kama ulaya na Kigoma kuwa Dubai?
Chadema inavowapa ahadi kemkem wananchi huku ruzuku wakipata kale ka ofisi ka ufipa hawakakumbuki nao ni akina Gwajima tu, una ahidi makubwaa wakati kibanda chako kinakutoa jasho
 
Huyo Askofu tapeli gwajima mpigeni chini fasta.

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
Hivi kweli Vitabu vitano Kwa Lugha ya Kijapan vimeandikwa na Gwajima vikauzwe Amazon? Huyu Askofu ana Swagga sijapata kuona. Vimeandikwa nini Kwa Kijapan mbona hasemi? Kawe wanahitaji Vitabu Kwa Kijapan au huduma za Jamii? Gwajima anakujua Malolo?
 
Sijaongelea chama, Mimi ni CCM siko upinzani. Ila sitaki unafiki
Sawa twende sawa ccm mwenzangu, niambie ujenzi wa kanisa la Gwajima unahusika vipi na maendeleo ya kawe? Au unaathiri vipi utendaji wa Gwajima kama mbunge wa kawe. Nasema ni mbunge maana ipo wazi Gwajima kashashinda tayari.
 
Sawa twende sawa ccm mwenzangu, niambie ujenzi wa kanisa la Gwajima unahusika vipi na maendeleo ya kawe? Au unaathiri vipi utendaji wa Gwajima kama mbunge wa kawe. Nasema ni mbunge maana ipo wazi Gwajima kashashinda tayari.
Charity begins at home, tuanze kanisani then twende huko mtaani
 
Angewaambia tu wananchi wa Kawe hizo pesa za kuwanunulia Ambulance kila kata atazitoa wapi ikiwa yeye binafsi hana biashara yoyote zaidi ya kazi ya kanisani kwake?

Yote kwa yote, kuna uhusiano gani kati ya kuwa mbunge na kutoa msaada?

Hivi ni lazima uwe mbunge ndio utoe msaada?

Kwanini asijikite tu sasa kutoa huo msaada na kuachana na kugombea ubunge?
 
Vitabu vya hovyo vipo vingi tu. Kama ni vitabu vya maana atuambie ameuza kopi ngapi. Huyu ni tapeli tu.
 
"Mwaka jana nilitembelea kule Marekani, ndiyo maana nakuawambia usifikiri unaongea na kilaza kwa taarifa yako mimi naongea Kijapan nimeandika vitabau vitano vya Kijapan ukienda Amazon unakuta vinauzwa"- Josephat Gwajima.
Aisee, kumbe ukilaza unapimwa kwa kigezo hicho cha kutokijua Kijapani! Basi atuombee mdahalo kwa wale wa ile nafasi ya juu
 
Back
Top Bottom