Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Unawashauri nini chadema nao kuhusu kujenga jengo la ofisi ili wahame kwenye servant quarter
Mkuu hapa tunazungumzia Gwajiboy Vs Mdee, wewe unaleta chadema, kwani CCM Vs Chadema?
 
Mimi ni mkazi wa Mbezi Beach toka mwaka 2008. Changamoto kubwa za jimbo la Kawe ni miundombinu ya barabara tu, pengine kidogo kwa huduma za maji ya uhakika kwa maeneo yaliyoendelezwa hivi karibuni kama kule Goba.

Ahadi kama hizi peleka huko ulikotokea, pengine labda ungekuja ahadi za kuweka barabara za lami ktk maeneo ambayo tushefanya uwekezaji mkubwa na hata kutoa ajira za uhakika ktk sekta binafsi, na pia tunalipa kwa kodi na maduhuli ya serikali kwa "recognizable extent".

Ni kweli umenena vyema kabisa!
Hata huduma ya ambulance kuna wananchi wengi sana wanazihitaji kwa sana tu!
Hayo yote atayafanyia kazi atakuwa anafanya mikutano ya hadhara jimboni kuchukua kero za wananchi na kushirikiana na serikali kuziondoa!

Hatakuwa kama bidada Halima ambaye yeye akishachaguliwa anatupa jongoo na mti wake!

Kero zipo nyingi sana sana hata maeneo ya nje ya mji magwepande na viunga vyake n.k

Goba nazani iko jimbo la Ubungo kama sijakosea!
 
Alikua wapi siku zote kufanya hayo?

Kama ye ni mtumishi wa mungu na yuko na uwezo kifedha, halafu jamii inayomzunguka kuna changamoto kama hizo ambazo anaweza kuzitatua bila assit ya serikali, kwanini hakuzi solve mpaka asubirie kipindi cha kampeni?

Kawe kama kuna watu wajinga wajinga basi huyu msela atapita....ila kama wako watu intellectual atapata kura kutoka kwenye familia yake tu
 
Ni huyo Bwashee alisema uaskofu ni zaidi ya Rais na Mbunge, "Gwajima hawezi kugombea urais, kufanya hivyo anajishusha"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Still kuna watu wanajifanya wamesahau, ila jana CDM walifurahisha sana,mana walikuwa wananukuu kauli zake
 
Mkuu hapa tunazungumzia Gwajiboy Vs Mdee, wewe unaleta chadema, kwani Fisemu Vs Chadema? Ficha upumbavu wako basi
Ukizungumzia kanisa unazungumzia "Glory of Christ Tanzania Church (GCTC)" na sio Gwajima kama Gwajima. Umeshindwa kumtenga Gwajima na kanisa afu unaniambia nimtenge Mdee (lesbian) na servant quarter ya chadema.
 
Ambulances za nini wakati kanisa lake Ni la ufufuo na uzima .
Au hiyo kauli mbiu yake Ni ya kitapeli kwamba kila mwana Jimbo atakuwa mzima na akifa atamfufua hakuna haja ya ambulance.
La sivyo lijamaa Ni litapeli tu
 
Ukizungumzia kanisa unazungumzia "Glory of Christ Tanzania Church (GCTC)" na sio Gwajima kama Gwajima. Umeshindwa kumtenga Gwajima na kanisa afu unaniambia nimtenge Mdee (lesbian) na servant quarter ya chadema.
Kiwanja chake, alikinunua kutoka Hunters Club, hati ya kiwanja ina jina lake, akaunti za benki zina jina lake, signatory ni yeye na familia yake, ndege ina usajiri wa jina lake.

Utamtengaje gwajima na gctc
 
Kabisa mkuu!
Hivyo vitabu vinahusu Nini? Na kwanini awaandikie wajapan badala ya waswahili?

Na kwanini agawe magari ya wagonjwa badala ya kuziendeleza hospitali za kata ili ziwe na uwezo wa kuwalaza hao anaowaombea magonjwa?

Halafu unaunga mkono as if kaahidi mahitaji ya wanakawe! Huyu hapati kura za wanakawe kwani kashindwa kuwanunulia mabasi ya kiwabeba waumini wake!
 
Kama alinunua Helkopta atashindwa kununua ambulance?

Alinunua helicopter kwa matumizi yake na sio ya umma. Hizo ambulance Ni kwa ajili yake? Kama anaweza kununu ambulance kilimshinda nini kununua kabla ya kuwa mbunge, au wagonjwa wataanza baada ya yeye kuwa mbunge?
 
Punguza hasira,Halima ameshashindwa. Alishachimba visima na kufanya mengi makubwa. Angenunua wakati Halima ni mbunge mngeleta majungu. Ambulance ni ishu ndogo sana kwa Gwajima.
 
Punguza hasira,Halima ameshashindwa. Alishachimba visima na kufanya mengi makubwa. Angenunua wakati Halima ni mbunge mngeleta majungu. Ambulance ni ishu ndogo sana kwa Gwajima.

Bakhressa kafanya mangapi ya kijamii, ni wapi umeona watu wakilalamika? Kama umeanza kusikia usingizi Kalale maana hata kesho ni siku.
 
Shida ww hujui maono yao,pale wapo tu kwa mda kuna mji wa mwanakondoo huko ndiko wanajenga kanisa la kisasa.
Tena ni arena kabisa

Naomba picha mkuu ya ujenzi wa kanisa
 
Bakhressa kafanya mangapi ya kijamii, ni wapi umeona watu wakilalamika? Kama umeanza kusikia usingizi Kalale maana hata kesho ni siku.
Hayo ya Bakhressa yanaingia vipi? Hoja ni kununua ambulance na Gwajima atazinunua akiwa mbunge. Kuchimba visima ni mfano tosha kuwa atatekeleza.
 
Back
Top Bottom