Mkuu hapa tunazungumzia Gwajiboy Vs Mdee, wewe unaleta chadema, kwani CCM Vs Chadema?Unawashauri nini chadema nao kuhusu kujenga jengo la ofisi ili wahame kwenye servant quarter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapa tunazungumzia Gwajiboy Vs Mdee, wewe unaleta chadema, kwani CCM Vs Chadema?Unawashauri nini chadema nao kuhusu kujenga jengo la ofisi ili wahame kwenye servant quarter
Mimi ni mkazi wa Mbezi Beach toka mwaka 2008. Changamoto kubwa za jimbo la Kawe ni miundombinu ya barabara tu, pengine kidogo kwa huduma za maji ya uhakika kwa maeneo yaliyoendelezwa hivi karibuni kama kule Goba.
Ahadi kama hizi peleka huko ulikotokea, pengine labda ungekuja ahadi za kuweka barabara za lami ktk maeneo ambayo tushefanya uwekezaji mkubwa na hata kutoa ajira za uhakika ktk sekta binafsi, na pia tunalipa kwa kodi na maduhuli ya serikali kwa "recognizable extent".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juzi akasema kuwa Gwajima anaenda kupanua huduma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani umemchanganya na askofu Gamanywa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni huyo Bwashee alisema uaskofu ni zaidi ya Rais na Mbunge, "Gwajima hawezi kugombea urais, kufanya hivyo anajishusha"
Ukizungumzia kanisa unazungumzia "Glory of Christ Tanzania Church (GCTC)" na sio Gwajima kama Gwajima. Umeshindwa kumtenga Gwajima na kanisa afu unaniambia nimtenge Mdee (lesbian) na servant quarter ya chadema.Mkuu hapa tunazungumzia Gwajiboy Vs Mdee, wewe unaleta chadema, kwani Fisemu Vs Chadema? Ficha upumbavu wako basi
Ili azifanye madrasa za kusoma watoto wetu kuwa sunday schools makanisa?Uwezo anao, tumpe kura
Kiwanja chake, alikinunua kutoka Hunters Club, hati ya kiwanja ina jina lake, akaunti za benki zina jina lake, signatory ni yeye na familia yake, ndege ina usajiri wa jina lake.Ukizungumzia kanisa unazungumzia "Glory of Christ Tanzania Church (GCTC)" na sio Gwajima kama Gwajima. Umeshindwa kumtenga Gwajima na kanisa afu unaniambia nimtenge Mdee (lesbian) na servant quarter ya chadema.
Hivyo vitabu vinahusu Nini? Na kwanini awaandikie wajapan badala ya waswahili?Kabisa mkuu!
Kama alinunua Helkopta atashindwa kununua ambulance?
Punguza hasira,Halima ameshashindwa. Alishachimba visima na kufanya mengi makubwa. Angenunua wakati Halima ni mbunge mngeleta majungu. Ambulance ni ishu ndogo sana kwa Gwajima.Alinunua helicopter kwa matumizi yake na sio ya umma. Hizo ambulance Ni kwa ajili yake? Kama anaweza kununu ambulance kilimshinda nini kununua kabla ya kuwa mbunge, au wagonjwa wataanza baada ya yeye kuwa mbunge?
Punguza hasira,Halima ameshashindwa. Alishachimba visima na kufanya mengi makubwa. Angenunua wakati Halima ni mbunge mngeleta majungu. Ambulance ni ishu ndogo sana kwa Gwajima.
Shida ww hujui maono yao,pale wapo tu kwa mda kuna mji wa mwanakondoo huko ndiko wanajenga kanisa la kisasa.
Tena ni arena kabisa
Hayo ya Bakhressa yanaingia vipi? Hoja ni kununua ambulance na Gwajima atazinunua akiwa mbunge. Kuchimba visima ni mfano tosha kuwa atatekeleza.Bakhressa kafanya mangapi ya kijamii, ni wapi umeona watu wakilalamika? Kama umeanza kusikia usingizi Kalale maana hata kesho ni siku.
Kusalia pale nje sio hoja kwamba hawezi kujenga kanisa.Naomba picha mkuu ya ujenzi wa kanisa