Nikichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe nitaweka Ambulance kwenye kila Kata, watu wangu watakimbizwa hospitalini kwa haraka na jambo hili ni jepesi halihitaji Manispaa wala halihitaji Serikali"- Josephat Gwajima.Jamaa ana akili copywright kama Bashite na kama kuna tofauti basi ni ndogo ndogo sana lakini naamini ukipima DNA zao nafikiri zitakuwa chain moja
Ambulance ina umuhimu, tena sana, lkn kwa mtu anayejitambua, acha hawa lumpen proletariats, class unconscious people, huwezi kumshawishi akupe kura kwa vile utaleta ambulance KAWE! Kwa Dar na foleni zake na poln ya Kawe, si kitu chenye ushawishi mkubwa kumgeuza mtu IMANI akupe kura!Mkuu Mstaafu, The Retired, kwanza its good to know, kuwa wewe ni mwana Kawe mwenzangu na ni kweli Kawe ina changamoto nyingi na uhitaji wa ambulance sii miongoni mwa changamoto za Kawe...
P
Kinachompa ushindi Gwajima ni ahadi zake kwa sisi wakazi wa kawe ikiwemo ambulance comrade
Anajua wazi kuwa huduma za afya ni hafifu wananchi wanasumbuliwa na maradhi kwani kila siku wanafurika kwa manabii ili waponywe, hivyo usimlaumu kwa kufichua chama chake kimeshindwa kuboresha huduma za afya badala yake kinajenga majengo ya zahanati na kudhani ndiyo suluhu ya tiba.Unajidanganya, Kawe hatuhitaji ambulance. Kwanza ambulance zinatupeleka wapi na zitabeba wangapi kwa popln ya Kawe? Kila mgonjwa wa Kawe akiugua ataipata wapi? and by the way wanaugua wangapi a day in Kawe kuwa kipaumbele chao ziwe ambulance?...
Naona umepata kichaka cha kujificha. Sawa mkuu nitafanya ivyoNi kweli kabisa, akishinda ubunge muombe akununulie madaftari ili uende elimu ya jioni ukajifunze kuandika kwa usahihi, huku ukijikita zaidi kwenye somo la matumizi ya koma na nukta.
Lazima kuwe na proportional kwenye kila kitu...hizo ambulance kwa kila kata zitakuwa zinapeleka wapi hao wagonjwa. Kabla ya kufikiria ambulance lazima kufikiria haya kwanza Elimu ya afya kwa watu wa eneo husika. Vituo vya afya vyenye wahudumu qualified. Vituo vya afya vyenye vifaa tiba vya kutosha.Ambulance ina umuhimu, tena sana, lkn kwa mtu anayejitambua, acha hawa lumpen proletariats, class unconscious people, huwezi kumshawishi akupe kura kwa vile utaleta ambulance KAWE! Kwa Dar na foleni zake na poln ya Kawe, si kitu chenye ushawishi mkubwa kumgeuza mtu IMANI akupe kura! I can imagine unapeleka ambulance Kalebezo ambako kwenda hospitali ya wilaya Ukerewe kwa mgonjwa mahututi/mja mzito it can have an impact kwa mazingira ya vijijini kutoka kwenye dispensary! Siyo mjini kama Kawe! Do you see my point!?
Naona umepata kichaka cha kujificha. Sawa mkuu nitafanya ivyo
Tumheshimu Bi Kidude (RIP), tusiwape watu wa ajabu ajabu majina ya mashujaa wetu!.BIBI KIDUDE ALISHAWAHI PELEKA ATA BAJAJI KWENYE KATA IPI NDANI YA UTAWALA WAKE WA MIAKA KUMI?
MWAMBIENI BIBI KIDUDE ATUACHIE JIMBO HARAKA SAANAA.
Lakini katika hali ya kawaida kabisa je inawezekana kweli kuweka ambulance kwenye kila kata? Hizi sio tax tukumbukeAnajua wazi kuwa huduma za afya ni hafifu wananchi wanasumbuliwa na maradhi kwani kila siku wanafurika kwa manabii ili waponywe, hivyo usimlaumu kwa kufichua chama chake kimeshindwa kuboresha huduma za afya badala yake kinajenga majengo ya zahanati na kudhani ndiyo suluhu ya tiba.
Hapana hagombei kuwa mganga mkuu wa hospital. Anagombea nafasi ya ubunge ambayo mpaka sasa njia ni nyeupe ya kushinda.
Nafikiri yeye kama mkazi wa Kawe ametambua umuhimu wa Ambulance na mahitaji yake. Kusema kwamba atanunua Ambulance ni jambo jema ili kukabiliana na mahitaji ya watu wa Kawe. Kwamba ananunua kwa pesa zake hilo sio tatizo maana ni kuchangia maendeleo,maana sio kila kitu kinachotakiwa kufanywa na serikali lazima serikali iachiwe hayo majukumu. Hofu iliyokukumba ni baada ya kujua Halima hatashinda Kawe,habari za kubambikiwa kesi ni hearsays tu. Mahakama ndio chombo cha mwisho kutoa majibu juu ya hiloKununua ambulance ni wajibu wa serikali na sio wa mbunge kwa pesa zake za mfukoni. Kama Gwajima anataka kununua ambulance kutokana na umasikini uliopo kawe, sio lazima apewe ubunge ndio afanye hilo. Huko kijijini anakotokea Gwajima kuna hali mbaya sana kuliko kawe, angewasaidia huko. Mlimbambikia kesi Halima ili ikifika wakati wa uchaguzi mseme alikuwa ni mzee wa mahakama? Bado mnaamini kuwa watu wamelala hivyo kiasi hawajui lolote?
Subiri uone. Usikimbie I'dWewe jilishe matango pori kwani huzijui siasa za Kawe; kwani 2015 Kippi Warioba hakuteuliwa na ccm? Kilichompata Kippi ndio kinachomgoja Gwajima!
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli kabisa, akishinda ubunge muombe akununulie madaftari ili uende elimu ya jioni ukajifunze kuandika kwa usahihi, huku ukijikita zaidi kwenye somo la matumizi ya koma na nukta.
Ambulance kwa kila kata hivi tunadhani ambulance ni tax!?Kinachompa ushindi Gwajima ni ahadi zake kwa sisi wakazi wa kawe ikiwemo ambulance comrade
Wewe umeona wapi ambulance ni tax? Comrade mbona unauliza maswali ya kijinga?Ambulance kwa kila kata hivi tunadhani ambulance ni tax!?
Yeye mia yake ni kufikisha ujumbe kuwa serikali ya CCM ameshindwa kuboresha huduma za afya kiasi wananchi wanasumbuliwa na maradhi, kumbuka huyu ni nabii wa uponyaji anayajua mafuriko ya watu walioshindwa kupata bima ya afya badala yake wanajaa kanisani kwake awaponye.Lakini katika hali ya kawaida kabisa je inawezekana kweli kuweka ambulance kwenye kila kata? Hizi sio tax tukumbuke
Wewe umeona wapi ambulance ni tax? Comrade mbona unauliza maswali ya kijinga?
Mzugaji tu huyu nusu ya wagonjwa wake ni psychological problems kutokana na ugumu na changamoto za maisha na matango pori waliyolishwa na matangazo na wafuasi wake kuwa jamaa ni booonge la mponyaji.Yeye mia yake ni kufikisha ujumbe kuwa serikali ya CCM ameshindwa kuboresha huduma za afya kiasi wananchi wanasumbuliwa na maradhi, kumbuka huyu ni nabii wa uponyaji anayajua mafuriko ya watu walioshindwa kupata bima ya afya badala yake wanajaa kanisani kwake awaponye.
Mimi nayajua yote hayo uliyoandika hakuna kipya. Unajua jimbo la kawe lina kata ngapi?Naomba nikueleshe kwa weledi upate ufahamu utakaokusaidia mbeleni Ambulance ni chombo cha kuokoa uhai kwa dharura hivyo sio gari ya mchezo kama gwajima anavyodhani Ni gari inayohitajika kuwa na vifaa vingi ndani yake vya kuokoa maisha..SIO MALI..
Kawe sio eneo la wagonjwa mahututi kwenye kila kata kwamba muda wote ambulance zinahitajika kuwawahisha hospitalMimi nayajua yote hayo uliyoandika hakuna kipya. Unajua jimbo la kawe lina kata ngapi?