Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Kawe sio eneo la wagonjwa mahututi kwenye kila kata kwamba muda wote ambulance zinahitajika kuwawahisha hospital
Unachopinga ni nini? Kwenye comment nyingine unasema Gwajima hawezi kununua ambulance kwa sababu ambulance sio tax. Hapa unapinga mahitaji na matumizi ya ambulance.
 
Unachopinga ni nini? Kwenye comment nyingine unasema Gwajima hawezi kununua ambulance kwa sababu ambulance sio tax. Hapa unapinga mahitaji na matumizi ya ambulance.
Sidhani kama unajua kwa hakika tofauti ya ya tax na ambulance...nina mashaka mengi juu ya uelewa wako huu Tax ni gari ya abiria na kazi yake ni kubeba abiria wasiopendelea usafiri wa jumuia...ni gari ya kukodi ambayo hukufikisha mpaka sehemu unayokwenda...inaweza kuwa ofisini, nyumbani sehemu za starehe, sokoni ,hospitali na huegesha popote penye maegesho ya jumuiya nknk.

Ambulance ni gari MAALUM la kubebea WAGONJWA MAHUTUTI au wa dharura kuwatoa eneo walipo kama kituo cha afya, nyumbani ama eneo la ajali na kuwapeleka kwenye hospital mgonjwa anapoweza kupata tiba itakayookoa maisha yake. Hivyo basi TAX haiwezi kuwa AMBULANCE hata siku moja
 
Lazima kuwe na proportional kwenye kila kitu...hizo ambulance kwa kila kata zitakuwa zinapeleka wapi hao wagonjwa ...
Kabla ya kufikiria ambulance lazima kufikiria haya kwanza
Elimu ya afya kwa watu wa eneo husika
Vituo vya afya vyenye wahudumu qualified
Vituo vya afya vyenye vifaa tiba vya kutosha
Kumbuka ambulance sio taxi na gari maalum za kubeba wagonjwa wa dharura hivyo inatakiwa kuwa na mahitaji yote maalum pamoja na wahudumu wenye ujuzi husika
Sasa kila kata ambulance zitakuwa zinapaki wapi kwa usimamizi wa nani? Zitakuwa zinahudumiwa na nani?
Ambulance sio vinq'ora na maandishi makubwa ubavuni ile ni EMERGENCY LIFE SAVER TOOL...Sio tax kuwa unaweza kupaki hata kona bar
Watumishi makini wapo kila kituo cha afya, kilichobakia nikuongeza wengineee.

Ila tutamuomba mbunge GWAJIMA afikilie pia na nyuba za watumishi wa afya iliwasiwe wanaishi mbaliiiii na vituo vyao, najua hilo analiweza.
 
Watumishi makini wapo kila kituo cha afya, kilichobakia nikuongeza wengineee.

Ila tutamuomba mbunge GWAJIMA afikilie pia na nyuba za watumishi wa afya iliwasiwe wanaishi mbaliiiii na vituo vyao, najua hilo analiweza.
Sio kila mtumishi wa afya ni qualified ku handle dharura za ambulance...lakini kila kata kuwa na ambulance maana yake kutakuwa na kituo cha afya chenye hadhi ya kuwa na ambulance lakini muda wote kikiwa na wagonjwa mahututi ama kukiwa na ajali
Hivi kata ina wakazi wangapi watakaohitaji ambulance kama kipaumbele cha ahadi za mgombea?
 
Anachoweza Gwajima aka GwajiPORNSTAR ni kucheza filamu za ngono na kuwabandua waumini wake. Siasa anabahatisha tu!
JamiiForums1315415046.jpg
 
Wewe jilishe matango pori kwani huzijui siasa za Kawe; kwani 2015 Kippi Warioba hakuteuliwa na ccm? Kilichompata Kippi ndio kinachomgoja Gwajima!


Aaah wapi ?!
Nyakati zinabadilika !
Watu ambao walimpa kura Halima awamu zilizopita sasa hivi hawana hamu naye badala yake safari hii watampa Gwajima.

Halima amechokwa hata yeye mwenyewe deep inside of her soul atakuwa analijua hilo.

Mbunge gani anayeonekana kwa wananchi wakati wa campaign za uchaguzi tu baada ya hapo anafanya kama kumtupa jongoo na mti wake?!

Alifanya hivyo kwenye ile miaka 5 ya kwanza na akaja kufanya tena miaka 5 iloisha!

Hata Huyu Gwajima akitutelekeza akarudi wakati wa campaign ajue ataishia Miaka 5 tu basi!

Mbunge lazima utembelee wananchi wako upate mrejesho, ujue kero zao, ukashirikiane na serikali kuzitatua na siyo kutelekeza jimbo kama Halima!
 
Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.

Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua.

Mambo mengine mengi mazuri yatafuatia ikiwemo maboti ya uvuvi kwa ndugu zetu kule ufukweni mwa bahari.

Source: East Africa Radio.

Maendeleo hayana vyama!

=========

"Mwaka jana nilitembelea kule Marekani, ndiyo maana nakuawambia usifikiri unaongea na kilaza kwa taarifa yako mimi naongea Kijapan nimeandika vitabau vitano vya Kijapan ukienda Amazon unakuta vinauzwa"- Josephat Gwajima.

"Nikichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe nitaweka Ambulance kwenye kila Kata, watu wangu watakimbizwa hospitalini kwa haraka na jambo hili ni jepesi halihitaji Manispaa wala halihitaji Serikali"- Josephat Gwajima.
aende akatapeli kijijini kwake huko Kolomije siyo Kawe.

angalia hizi hapa chini ni results za search ya Gwajima kwenye site ya Amazon.

IMG_20200914_064453.jpg
IMG_20200914_064457.jpg
IMG_20200914_064502.jpg
 
Chadema uchaguzi ujao labda walete mtu mwingine kugombea lakini Halima hapana!

Halima muwekeni huko kwenye viti maalum kama mtajaliwa kuwa na sifa ya kupata kuwa kambi kuu ya upinzani.
 
Sidhani kama unajua kwa hakika tofauti ya ya tax na ambulance...nina mashaka mengi juu ya uelewa wako huu Tax ni gari ya abiria na kazi yake ni kubeba abiria wasiopendelea usafiri wa jumuia...ni gari ya kukodi ambayo hukufikisha mpaka sehemu unayokwenda...
Sasa wakati unasema ambulance ni tax ulikua unamaanisha nini comrade? Wewe ndio uliosema ambulance ni tax sio mimi. Ni maneno yako mwenyewe.
 
Sasa wakati unasema ambulance ni tax ulikua unamaanisha nini comrade? Wewe ndio uliosema ambulance ni tax sio mimi. Ni maneno yako mwenyewe.
Mungu wangu nioneshe niliposema hivyo na nitaomba radhi hapa hapa kwa kupotoka ama kupotosha..NIONESHE TAFADHALI
 
Mkuu Mstaafu, The Retired, kwanza its good to know, kuwa wewe ni mwana Kawe mwenzangu na ni kweli Kawe ina changamoto nyingi na uhitaji wa ambulance sii miongoni mwa changamoto za Kawe. Ungelisaidia sana jukwaa hili kama ungezitaja hizo changamoto ambazo Gwajima hataweza kuzitatua.

Mimi nilikuwepo pale Bunju, hiyo ya ambulance ni moja tuu kati ya mengi, Gwajima amezungumzia changamoto nyingi ikiwemo ya barabara, ajira kwa vijana, mikopo kwa vikundi vya vijana, kinamama na walemavu, amezungumzia kufungua chuo cha veta cha ufundi. Amezungumzia mambo mengi, makubwa mazuri

Kwa faida ya wengi, huyu hapa Gwajima msikilizeni


Kwa kumalizia, maadam wewe ni mwana Kawe na unazijua changamoto za Kawe, sasa kwa vile kuna mtu amekaa miaka 10 Kawe na anataka kuendelea, hebu utueleza amefanya nini Kawe kwa miaka yake yote 10 ili kustahili kuongezewa?.
Uchaguzi 2020 - Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

Ujumbe kwa wana Kawe, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Kawe tumefanya sana makosa kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita, tarehe 28 October, tujitokeze kwa wingi kufanya kweli na kamwe tusirudie makosa!.

P

Wanakawe hatuwezi peleka mbunge mdini bungeni, anaweza kuwa nahoja lkn kwa vile nimbaguzi basi hoja zake hazina msingi.
 
Jifunze kuelewa hoja, cdm wanaahidi kufanya hayo iwapo watapewa dola na sio kwa fedha zao. Gwajima yeye anasema akipewa ubunge atanunua kwa fedha zake. Usiwe kilaza wa hoja za wazi kama hizi.
Kwani ruzuku mnazopata ni pesa za maruhani?
 
Ni kweli umenena vyema kabisa!
Hata huduma ya ambulance kuna wananchi wengi sana wanazihitaji kwa sana tu!..
Samahani sana Mkuu, kutokana na ujirani mimi niikafikiria ya kwamba hata Goba nayo ni sehemu ya jimbo la uchaguzi la Kawe. Ila ni lazima abadilike Gwajima na kujipanga upya ili apate timu nzuri ya kampeni, yenye kumshauri hoja zenye kuakisi matatizo halisi ya wana Kawe.

Hizi mbwembwe za misafara ya pikipiki, magari na kukodisha mabasi ili kubeba wafuasi wako wapate kuhudhuria mikutano ya kampeni hayana maana hata kidogo. Watu wengi wa jimbo hili ijapokuwa huwa hawaudhurii mikutano ya wazi ya kampeni za uchaguzi, bali hufuatilia yale yote yaliyojili ktk mikutano hiyo.

Wapigakura wengi hufanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii, magazeti na luninga zenye kuaminika na pia kupitia ktk mazungumzo yaliyopo ktk "social networking" zao. Kwa basi ni vyema Gwajima akafanya kampeni za kisayansi kama vile mpinzani wake anavyofanya.
 
Tumheshimu Bi Kidude (RIP), tusiwape watu wa ajabu ajabu majina ya mashujaa wetu!.
Tufanye kampeni za heshima na kistaarabu, Halima Mdee ni Mhe. Tumuite Mhe. Halima Mdee ila tumuulize
Uchaguzi 2020 - Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi
P
Watu wa ajabu ajabu msiwape majina ya mashujaa wetu?. Mtu wa ajabu ajabu aliepewa jina la mashujaa wetu ni nani?

Nachofahamu nikuwa Gwajima nimoja ya mtu ajabu ajabu anaetubagawa waislam kisa dini zetu, anaehamasisha tumchague viongozi kisa ukabila na asili zetu.
 
Mdee anatosha kupambana bungeni.
Gwajima mropokaji na mdini
Utakuq aibu kawe kumchagua mtu ambaye hata ccm wenyewe alimkataa
 
Unajua kule Kanisani huwa hatuulizani maswali tunaishi kwa imani ndio sababu wale Sabato masalia walipiga kambi uwanja wa ndege kusubiri muujiza wa kwenda Ulaya.

Askofu Gwajima amesema akichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Kawe wananchi wote wa Kawe watakwenda Marekani.
Gwajima amesema ana rafiki yake ambaye ni gavana wa jimbo la Birminigham nchini Marekani ambaye wamekubaliana kubadilishana wananchi.

Sina hakika kama ahadi hii ya askofu Gwajima ni ya kweli mbele zake Mungu kwa sababu hata hili jimbo labda Nyani Ngabu atusaidie kama lipo kweli na gavana anamjua.

Mpeni Kaisari yaliyo yake kaisari na Mungu yaliyo yake Mungu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom