Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Iroiro ossewani narimashita, atigatou gozaimasu, sensei dewa arimaseni.
 
Ni mbaguzi wa dini hatumtski huku kawe. Yy aende akafufue wenzake.
 
Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.

Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua.

Mambo mengine mengi mazuri yatafuatia ikiwemo maboti ya uvuvi kwa ndugu zetu kule ufukweni mwa bahari.

Source: East Africa Radio.

Maendeleo hayana vyama!

=========

"Mwaka jana nilitembelea kule Marekani, ndiyo maana nakuawambia usifikiri unaongea na kilaza kwa taarifa yako mimi naongea Kijapan nimeandika vitabau vitano vya Kijapan ukienda Amazon unakuta vinauzwa"- Josephat Gwajima.

"Nikichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe nitaweka Ambulance kwenye kila Kata, watu wangu watakimbizwa hospitalini kwa haraka na jambo hili ni jepesi halihitaji Manispaa wala halihitaji Serikali"- Josephat Gwajima.
Kawe twahitaji miundo mbinu, huduma za serikali ziletwe badala ya sisi kukimbilia mjini, masoko kuboreshwa na wachuuzi kuhimizwa kuja masoko mapya hasa bunjub soko jipya, na ulinzi na usalama
 
Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.

Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua.

Mambo mengine mengi mazuri yatafuatia ikiwemo maboti ya uvuvi kwa ndugu zetu kule ufukweni mwa bahari.

Source: East Africa Radio.

Maendeleo hayana vyama!

=========

"Mwaka jana nilitembelea kule Marekani, ndiyo maana nakuawambia usifikiri unaongea na kilaza kwa taarifa yako mimi naongea Kijapan nimeandika vitabau vitano vya Kijapan ukienda Amazon unakuta vinauzwa"- Josephat Gwajima.

"Nikichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe nitaweka Ambulance kwenye kila Kata, watu wangu watakimbizwa hospitalini kwa haraka na jambo hili ni jepesi halihitaji Manispaa wala halihitaji Serikali"- Josephat Gwajima.
Watu waliandikia BIBLIA itakuwa huto tuvitabu [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom