matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Sasa Vitabu vya kijapani vinasaidiaje waswahili wa Kawe wasiokifahamu.
So angegombea huko huko okinawa
So angegombea huko huko okinawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni chiziSijui amekula maharage ya wapi?
Mkuu hizo pesa atazitoa pornhub au.. maan kama alishindwa kujenga kanisa ataweza kwelGwajima ana zaidi ya sera, has the capacity ya kupanga na kutekeleza kwa fedha yake mwenyewe ya mfukoni, bila kutegemea fedha za serikali.
P
😂😂nimeviona vipo Amazon river vimelowana
Kawe twahitaji miundo mbinu, huduma za serikali ziletwe badala ya sisi kukimbilia mjini, masoko kuboreshwa na wachuuzi kuhimizwa kuja masoko mapya hasa bunjub soko jipya, na ulinzi na usalamaAkiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.
Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua.
Mambo mengine mengi mazuri yatafuatia ikiwemo maboti ya uvuvi kwa ndugu zetu kule ufukweni mwa bahari.
Source: East Africa Radio.
Maendeleo hayana vyama!
=========
"Mwaka jana nilitembelea kule Marekani, ndiyo maana nakuawambia usifikiri unaongea na kilaza kwa taarifa yako mimi naongea Kijapan nimeandika vitabau vitano vya Kijapan ukienda Amazon unakuta vinauzwa"- Josephat Gwajima.
"Nikichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe nitaweka Ambulance kwenye kila Kata, watu wangu watakimbizwa hospitalini kwa haraka na jambo hili ni jepesi halihitaji Manispaa wala halihitaji Serikali"- Josephat Gwajima.
Watu waliandikia BIBLIA itakuwa huto tuvitabu [emoji1787][emoji1787]Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.
Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua.
Mambo mengine mengi mazuri yatafuatia ikiwemo maboti ya uvuvi kwa ndugu zetu kule ufukweni mwa bahari.
Source: East Africa Radio.
Maendeleo hayana vyama!
=========
"Mwaka jana nilitembelea kule Marekani, ndiyo maana nakuawambia usifikiri unaongea na kilaza kwa taarifa yako mimi naongea Kijapan nimeandika vitabau vitano vya Kijapan ukienda Amazon unakuta vinauzwa"- Josephat Gwajima.
"Nikichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe nitaweka Ambulance kwenye kila Kata, watu wangu watakimbizwa hospitalini kwa haraka na jambo hili ni jepesi halihitaji Manispaa wala halihitaji Serikali"- Josephat Gwajima.
Ipo bwashee!Hivi Marekani kuna Birmingham?
Ni swali la kawaida usipanic brazaaa..... Kakutukania nani?Povu la nini bwana mdogo?. Mchezo hauhitaji hasira.