bosi ilani ya CCM kwako ni mwiba sio?Ilani ya CCM sio mbovu kila Raisi akija kuna tabia ya kuchomekea yake ambayo hayamo kwenye ilani iliyotumika kumnadi ambayo huandikwa vizuri mno na wataalamu wabobezi kwenye mambo ya
Kivipibosi ilani ya CCM kwako ni mwiba sio?
Mkuu hili ni tatizo jingine, kwa nini apewe nafasi ya "kuchomekea" ya kwake! mwisho huwa wanaishia kutoa ahadi nyiingi zisizotekelezeka, kumbuka hayati Mkapa!Ilani ya CCM sio mbovu kila Raisi akija kuna tabia ya kuchomekea yake ambayo hayamo kwenye ilani iliyotumika kumnadi ambayo huandikwa vizuri mno na wataalamu wabobezi kwenye mambo ya
Bishop ana hoja, tatizo viongozi wetu wengi ni vilaza na wachumia matumbo. Nchi ikikosa maono, haiwezi kuendelea kwa chochote. Ni upuuzi mtupu, nchi yenye kila kitu kuanza kutembeza bakuli huko duniani halafu unajisifu kupewa misaada ambayo mingi ni consumables sio. Nchi ikiwa na maono, lazima kuna control itakuwepo hivyo viongozi majizi na machumia tumbo hayatakuwepo. Hoja za huyu mzee mapunguani mengi sana lazima yaipinge lakini dawa chungu ndio iponyayo.Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo
Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.
CCM kila baada ya miaka 5 wanakuja na ilani mpya mfano awamu ya 4 ilikuja na Hari mpya Kasi mpya, Maisha Bora kwa kila MtanzaniaHivi kwanini hawa marais wanaoongozwa na ilani ya chama chao lakini bado kila mmoja wao huja na lake na kuacha la mwenzake?
Ina maana hawaifuati ilani ya chama chao?
Kama jibu ni ndio, basi ile kauli ya Kinana kwamba CCM ndio wanaiagiza serikali na sio serikali kuiagiza CCM itakuwa ni batili.
Hiyo ni slogan sio ilaniCCM kila baada ya miaka 5 wanakuja na ilani mpya mfano awamu ya 4 ilikuja na Hari mpya Kasi mpya, Maisha Bora kwa kila Mtanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
IPO ktk sheria zao kimataifa kama sehemu ya makubaliano... kuna asilimia za fedha lazima zije kwa nchi masikini na nchi zenye uhitaji ni nyingi... pata muda wa kujifunza vipya mkuuBishop ana hoja, tatizo viongozi wetu wengi ni vilaza na wachumia matumbo. Nchi ikikosa maono, haiwezi kuendelea kwa chochote. Ni upuuzi mtupu, nchi yenye kila kitu kuanza kutembeza bakuli huko duniani halafu unajisifu kupewa misaada ambayo mingi ni consumables sio. Nchi ikiwa na maono, lazima kuna control itakuwepo hivyo viongozi majizi na machumia tumbo hayatakuwepo. Hoja za huyu mzee mapunguani mengi sana lazima yaipinge lakini dawa chungu ndio iponyayo.
Yeye aliingia madarakankwa maono ya wizi wa kuraAskofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo
Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.
Anaemuona alifanya vyema (mwendazake) alifanya hovvo kabisa!
wizi
ukatili
ukanda
ukabila
unyanganyi
mauaji
I fully agree with you. Tatizo la vichaa wetu ni level ya ukichaa kufuata uchumiaji tumbo! We need leaders who are consistent and who would constantly be there for broad interest of the nation. Tusiwe watumwa wa matumbo yetu!Akili sio static hata kichaa kuna siku aweza toa hoja .Si vizuri kuwa mtumwa wa historia
Hapo ni moja kwa moja jamaa kashindwa tu kumtaja Samia ila ujumbe umefika!Inshort Gwajima anasema Samia amekosa maono 😂
Bora huyu kuliko yule jike dume lililonunuliwa kuingia bungeni kiharamu...Huyu hakupaswa kuwa bungeni kabisa angeendelea na kazi yake ya kuchunga kondo za bwana, ila jpm kwa sabb za ukabila na ukanda kaleta wakina Tom and Jerry
Kwani ile vision 2025 maana yake ni nini kwa nchi?Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo
Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.
Mzee wa fursa. JPM alipoacha ya watangulizi wake wakampamba kwa mapambio kua anayoosha nchi. Sasa hivi kwa kua aliyepo sio chaguo lao ndio wanakumbuka maono ya nchi. Tupa kule
Kwani ile vision 2025 maana yake ni nini k
Ni bahati mbaya wengi hamjamuelewa Gwajima, kwanza kaongea mambo sensible sana. Hapa kuna point moja wengi hamjamuelewa, alichosema ni lazima huo mpango utungiwe sheria yake kama mnavyofanya kwenye budget ya kila mwaka. Gwajima anapiga spana kwamba lazima kuwepo na inforcement ya huo mpango/Dira ili atayekuja atakwe kufanya hivyo.The past does not equal the future !! Nchi isiendeshwe kwa kusema mbona aliyepita alifanya hata kama ilikuwa haistahili kufanywa vile !! Mbunge Gwajima alitakiwa afafanue kwamba hayo maono yanatakiwa yaandikwe wapi ili Rais alazimike kuyafuata !! Na pia itakuwaje kama akikataa kuyafuata !! Mhe Mbunge hajafafanua !!