Haki na maendeleo
Senior Member
- Jun 15, 2021
- 123
- 262
Sio kila mwenye dini katoka kwa Mungu, hata shetani anatajwa kama Mungu wa dunia hii!! Hivyo usifikirie kila kiongozi wa dini ni wa Mungu wa kweli, wengine ni wafuasi wa shetani nduguHuoni aibu kahisa kutumia maandiko ya dini iliyeletwa na haohao walioleta chanjo
HawezweawWell educated than your entire family. Nenda telegram ka join group linaitwa LA QUINTA COLUMNA utapata information kibao kuhusiana na hizo chanjo...na sio group la waswahili ni hao hao wazungu mnao waamini na kuwaabudu.
Mimi nitaendelea kutumia hiyo nafasi ya hiari kadri itakavyokuwa mkuu, hadi hiyo miaka mitano ifike tutakuwa tushapata mwanga kidogo kuhusiana na haya majaribio ya hizi chanjo.Una kiwango gani cha elimu ? . ukipewa kazi ya kutathimi kwa wewe ambaye hutachanjwa ndani ya miaka 5 Ijayo utakuwa katika sehemu gani ya kukubalika au kukataliwa kupata huduma yeyote ndani ya Tanzania au nje ya Tanzania. Mfano mdogo tu kusajili kadi ya simu bila kitambulisho cha Taifa au kusafiri bila kadi ya manjano?
umeshaambiwa chanjo ni hiari.sasa hapo shida iko wapi.Soma machapisho huko amerika.utakuta watu wako huru kuhamasisha kukataa chanzo hizo.wewe tu unaona tabu watu wakitoa elimu huru.
Namjua sana shetani, kazi yake ni kuiba, kuchinja, na kuharibu!! Wewe kachanjwe hizo chanjo ndo utamjua vzr huyo shetaniUnamjua shetani au umepokea mapokeo ya maandiko bila kujua wewe asili yako ni wapi?
MIGA ni nini? Unaweza kutueleza japo kidogo?Mbona Lissu bado anasikilizwa hadi leo pamoja na kusema kwamba tutashtakiwa ila haikuwa hivyo? wengine walituambia tutaokota maiti barabarani ila haikuwa hivyo.
Unatumiaje akili kuukana ukweli na kutumia akili kuamini uongo? . Asilimia 70 ya wanaotumia neno kuamini mungu kwa jambo watakuwa walipata mabadiliko ya mfumo wa ufahamuKujua mema na mabaya na kuacha mabaya na kutenda mema, hiyo tu ni akili ya mtu anayemjua Mungu, ni mtu asiye na akili ndo anaamini kwenye barakoa na chanjo!!
Wewe ndio mwenye uvivu wa kufikiri. Tangu lini Mbowe amesema kuilazimisha serikali ifanye kitu isichotaka? Ingekuwa hivyo saa hizi wakina Kaijage wa NEC wasingekuwa na kazi. Leo watu ambao mnawatia ndani wakitaka tu kukutana na mnawaitia polisi wawashughulikie wakivaa sare zao ndio mnataka kutuaminisha kuwa wanawalizimisha kuchanja watanzania kwa lazima! Hawa ambao mliwatukana matusi na kuwasakama bungeni kwa kuwaasa watanzania wavae barakoa? Laiti wangekuwa na nguvu hizo unazosema wanazo ndugu zetu wangepona na wengi wao wangekuwa bungeni kuendelea kututetea.Wahenga walisema kupenda upofu. Rudia kusikiliza alichosema Mbowe kuwa serikali iwachanje watu kwa lazima, pia huyo Lissu wenu naye amerudia hicho hicho kuwa serikali ilazimishe watu kuchanja. Ulaghai mtawalaghai wale wavivu wa kufikiri.
Wakati nyinyi mnasema serikali ilazimishe chanjo sisi tunasema serikali ilazimishe kila mtu aishi kwa amani na sio kuleta vurugu.
CHADEMA ni janga kwa taifa hili la Tanzania.
Una tathimi yeyote uliyofanya ili kutetea hiyo well educated yako. Jamii inayokuzunguka imenufaika nini kwa wewe kuwepo duniani.Well educated than your entire family. Nenda telegram ka join group linaitwa LA QUINTA COLUMNA utapata information kibao kuhusiana na hizo chanjo...na sio group la waswahili ni hao hao wazungu mnao waamini na kuwaabudu.
??????Umeona nina shida?
Ninachoongelea mimi ni kuwa wizara ya afya wanajipanga kutoa elimu sahihi ili wasiokuwa na uelewa waelimishwe tunusurike na huu ugonjwa.
Upotoshaji wa huyu bwana wewe hu uoni?
Kumbuka mada si kuhusiana na chanjo. Chanjo ni hiari lakini kupotosha masuala la chanjo si hiari.
Hayo sasa ni mawazo yako!! Wewe kachome sindano na familia yako, sisi wengine tunaendelea kudunda ndani ya Yesu!! Wala hatufikiri hayo machanjo yenu wala mabarakoa yenu hayoUnatumiaje akili kuukana ukweli na kutumia akili kuamini uongo? . Asilimia 70 ya wanaotumia neno kuamini mungu kwa jambo watakuwa walipata mabadiliko ya mfumo wa ufahamu
Taarifa zilizokuwa zinatolewa na serikali ya awamu iliyopita kuhusu ugonjwa huu wa CORONA zimechangia kwa kiasi kikubwa jamii ya tz kuwa wajinga, kuwa na uelewa mbaya kuhusu chanjo na njia sa kujikinga. Serikali inatakiwa kuchukuwa hatua kali na madhubuti kudhibiti hali hii vinginevyo huko mbeleni tutalia kama taifa.
Aisee! Mbona unamsaidia Gwajima kujibu? Hizi chanjo hazizuii baadhi ya Variant na unaweza kuumwa na kufa, sasa unachanjwa ili iweje?Corona inabadilika kila siku vipi kikija kirusi ambacho waliochanjwa wanapona na ambao wamechanjwa wanakufa??
Utaficha wapi uso wako Mtumishi wa Bwana
Eti wanabonyeza......???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aliyesema ELIMU ELIMU ELIMU naanza kumuelewa vizuri! wazungu wakitaka kucheka wanabonyeza +255