Kuna jamaa mmoja amewahi kunisimulia kisa cha Askofu Gwajima na kaka yake jamaa. Alisema Gwajima aliletwa na kaka ake hapa mjini wakiwa watatu, kisha kasema kaka yake alikuwa mfanyabiashara mkubwa tu nchini Zambia, akimiliki hotels na biashara asizozijua. Akasema kaka yake huyo hakutaka kabisa kuwashirikisha ndugu zake kwenye biashara yake ili na wao wajikwamue kiuchumi.
Akazidi kusimulia kuwa wakati kaka ake akiumwa, alirudi hapa na kuuguziwa Tanzania na Askofu Gwajima mpaka mauti ilipomkuta. mali alizoziacha kaka yake ni pamoja na Gari mpya aina ya Hummer ambayo anadai ndio iliyobeba mwili wa marehemu kaka yake kuupeleka mazikoni Koromije. Anadai ASKOFU amepiga mali nyingi za kaka yake ikiwa ni pamoja na lile li Hummer.
Anasema kaka yake aliacha mtoto wa kiume ambapo Askofu Gwajima, mbele ya familia aliomba kumlea yule mtoto ambacho jamaa anadai Askofu alikuwa anahalalisha mipango yako kupitia ulezi huo.
Mwisho wa siku ni kuwa, mmoja wa marafiki wa kaka yao ndio alimtobolea siri hiyo kuwa kaka yao ana mali nyingi ambazo wao hawazijui na kuna mtu ana-plan kuzipiga. Jamaa anadai alifika mpaka Zambia kufatilia, akafikishwa mpaka kwenye moja ya Hotel alizomiliki kaka yake. Huko ndipo alipoenda kutobolewa Siri kaka yake ni mmoja wa genge la wauza unga (Dawa za kulevya) Zambia chini ya Mwiya Bale Malumo.
Mwaka 2015 Gwajima alikuwa anahaha kwenye uchaguzi sababu alikuwa hamjui yoyote kwenye system baaada ya kutoswa kwa Lowassa CCM.
Ndipo alipo asisi Nsumba Ntale (Sukuma Gang). Na Magufuli alimpokea Gwajima kutoka kwa Marehemu Mfugale wa Tanroad ambaye alikuwa rafiki Na Gwajima kipindi kile.