#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Huoni aibu kahisa kutumia maandiko ya dini iliyeletwa na haohao walioleta chanjo
Sio kila mwenye dini katoka kwa Mungu, hata shetani anatajwa kama Mungu wa dunia hii!! Hivyo usifikirie kila kiongozi wa dini ni wa Mungu wa kweli, wengine ni wafuasi wa shetani ndugu
 
Tunaambiwa tukachanje ila waziri mkuu, rais au makamu hawachanji tukawaona...
Tunaambiwa inakuja chanjo fulani kisha tunamuona waziri wa zamani anachanja chanjo ya urusi...
 
HaWezi kukuelewa!! Hawa wanashabikia kila jambo ,hata viwango vya ufahamu tunatofautiana, ndo maana shetani yupo na Mungu yupo!!
HawezweawWell educated than your entire family. Nenda telegram ka join group linaitwa LA QUINTA COLUMNA utapata information kibao kuhusiana na hizo chanjo...na sio group la waswahili ni hao hao wazungu mnao waamini na kuwaabudu.
 
Una kiwango gani cha elimu ? . ukipewa kazi ya kutathimi kwa wewe ambaye hutachanjwa ndani ya miaka 5 Ijayo utakuwa katika sehemu gani ya kukubalika au kukataliwa kupata huduma yeyote ndani ya Tanzania au nje ya Tanzania. Mfano mdogo tu kusajili kadi ya simu bila kitambulisho cha Taifa au kusafiri bila kadi ya manjano?
Mimi nitaendelea kutumia hiyo nafasi ya hiari kadri itakavyokuwa mkuu, hadi hiyo miaka mitano ifike tutakuwa tushapata mwanga kidogo kuhusiana na haya majaribio ya hizi chanjo.
 
umeshaambiwa chanjo ni hiari.sasa hapo shida iko wapi.Soma machapisho huko amerika.utakuta watu wako huru kuhamasisha kukataa chanzo hizo.wewe tu unaona tabu watu wakitoa elimu huru.

Umeona nina shida?

Ninachoongelea mimi ni kuwa wizara ya afya wanajipanga kutoa elimu sahihi ili wasiokuwa na uelewa waelimishwe tunusurike na huu ugonjwa.

Upotoshaji wa huyu bwana wewe huuoni?

Kumbuka mada si kuhusiana na chanjo. Chanjo ni hiari lakini kupotosha masuala ya chanjo si hiari.
 
Mbona Lissu bado anasikilizwa hadi leo pamoja na kusema kwamba tutashtakiwa ila haikuwa hivyo? wengine walituambia tutaokota maiti barabarani ila haikuwa hivyo.
MIGA ni nini? Unaweza kutueleza japo kidogo?
 
Kujua mema na mabaya na kuacha mabaya na kutenda mema, hiyo tu ni akili ya mtu anayemjua Mungu, ni mtu asiye na akili ndo anaamini kwenye barakoa na chanjo!!
Unatumiaje akili kuukana ukweli na kutumia akili kuamini uongo? . Asilimia 70 ya wanaotumia neno kuamini mungu kwa jambo watakuwa walipata mabadiliko ya mfumo wa ufahamu
 
Wahenga walisema kupenda upofu. Rudia kusikiliza alichosema Mbowe kuwa serikali iwachanje watu kwa lazima, pia huyo Lissu wenu naye amerudia hicho hicho kuwa serikali ilazimishe watu kuchanja. Ulaghai mtawalaghai wale wavivu wa kufikiri.

Wakati nyinyi mnasema serikali ilazimishe chanjo sisi tunasema serikali ilazimishe kila mtu aishi kwa amani na sio kuleta vurugu.

CHADEMA ni janga kwa taifa hili la Tanzania.
Wewe ndio mwenye uvivu wa kufikiri. Tangu lini Mbowe amesema kuilazimisha serikali ifanye kitu isichotaka? Ingekuwa hivyo saa hizi wakina Kaijage wa NEC wasingekuwa na kazi. Leo watu ambao mnawatia ndani wakitaka tu kukutana na mnawaitia polisi wawashughulikie wakivaa sare zao ndio mnataka kutuaminisha kuwa wanawalizimisha kuchanja watanzania kwa lazima! Hawa ambao mliwatukana matusi na kuwasakama bungeni kwa kuwaasa watanzania wavae barakoa? Laiti wangekuwa na nguvu hizo unazosema wanazo ndugu zetu wangepona na wengi wao wangekuwa bungeni kuendelea kututetea.

Kuna kiongozi mmoja aliwaambia msidhani watanzania ni wajinga. Alikuwa sahihi. Ubishi wenu umetusababishia vidonda vingi. Msiendelee kuvitonyesha maana bado havijapona na mnatuongezea vingine.

Amandla...
 
Well educated than your entire family. Nenda telegram ka join group linaitwa LA QUINTA COLUMNA utapata information kibao kuhusiana na hizo chanjo...na sio group la waswahili ni hao hao wazungu mnao waamini na kuwaabudu.
Una tathimi yeyote uliyofanya ili kutetea hiyo well educated yako. Jamii inayokuzunguka imenufaika nini kwa wewe kuwepo duniani.
 
Kuna jamaa mmoja amewahi kunisimulia kisa cha Askofu Gwajima na kaka yake jamaa. Alisema Gwajima aliletwa na kaka ake hapa mjini wakiwa watatu, kisha kasema kaka yake alikuwa mfanyabiashara mkubwa tu nchini Zambia, akimiliki hotels na biashara asizozijua. Akasema kaka yake huyo hakutaka kabisa kuwashirikisha ndugu zake kwenye biashara yake ili na wao wajikwamue kiuchumi.

Akazidi kusimulia kuwa wakati kaka ake akiumwa, alirudi hapa na kuuguziwa Tanzania na Askofu Gwajima mpaka mauti ilipomkuta. mali alizoziacha kaka yake ni pamoja na Gari mpya aina ya Hummer ambayo anadai ndio iliyobeba mwili wa marehemu kaka yake kuupeleka mazikoni Koromije. Anadai ASKOFU amepiga mali nyingi za kaka yake ikiwa ni pamoja na lile li Hummer.

Anasema kaka yake aliacha mtoto wa kiume ambapo Askofu Gwajima, mbele ya familia aliomba kumlea yule mtoto ambacho jamaa anadai Askofu alikuwa anahalalisha mipango yako kupitia ulezi huo.

Mwisho wa siku ni kuwa, mmoja wa marafiki wa kaka yao ndio alimtobolea siri hiyo kuwa kaka yao ana mali nyingi ambazo wao hawazijui na kuna mtu ana-plan kuzipiga. Jamaa anadai alifika mpaka Zambia kufatilia, akafikishwa mpaka kwenye moja ya Hotel alizomiliki kaka yake. Huko ndipo alipoenda kutobolewa Siri kaka yake ni mmoja wa genge la wauza unga (Dawa za kulevya) Zambia chini ya Mwiya Bale Malumo.

Mwaka 2015 Gwajima alikuwa anahaha kwenye uchaguzi sababu alikuwa hamjui yoyote kwenye system baaada ya kutoswa kwa Lowassa CCM.

Ndipo alipo asisi Nsumba Ntale (Sukuma Gang). Na Magufuli alimpokea Gwajima kutoka kwa Marehemu Mfugale wa Tanroad ambaye alikuwa rafiki Na Gwajima kipindi kile.
 
Wewe Unajuaje kama anapotosha????? Hivyi askofu gwajima sio mtanzania kama alivyo rais samia???? Au wewe ukiambiwa na waziri wa afya ndo unamwamini sana kuliko askofu gwajima!! Utofauti wao ni madaraka ndugu lakini kwenye swala la ufahamu yamkini askofu gwajima yupo mbali sana, atakayezikubali hizi chanjo ni mtu asiyeelewa tu!!! Unataka uniambie hao wote akina kigwangala walikuwa wapi wakati wa Magufuli!! Wewe huoni kuwa ni wanafiki tu!! Kutetea matumbo yap tu, wakati wa maombolezo watu wamejazana kila mahari, mpaka leo wamejazana!! Pale kigoma! Hiyo corona ipo wapi???? Msifanye wantanzania wajinga
Umeona nina shida?

Ninachoongelea mimi ni kuwa wizara ya afya wanajipanga kutoa elimu sahihi ili wasiokuwa na uelewa waelimishwe tunusurike na huu ugonjwa.

Upotoshaji wa huyu bwana wewe hu uoni?

Kumbuka mada si kuhusiana na chanjo. Chanjo ni hiari lakini kupotosha masuala la chanjo si hiari.
??????
 
Pesa pesa pesa pesa 💵💵💵💵 jibuni hoja zake si mnakuja na story za kipuuzi
 
Unatumiaje akili kuukana ukweli na kutumia akili kuamini uongo? . Asilimia 70 ya wanaotumia neno kuamini mungu kwa jambo watakuwa walipata mabadiliko ya mfumo wa ufahamu
Hayo sasa ni mawazo yako!! Wewe kachome sindano na familia yako, sisi wengine tunaendelea kudunda ndani ya Yesu!! Wala hatufikiri hayo machanjo yenu wala mabarakoa yenu hayo
 
Taarifa zilizokuwa zinatolewa na serikali ya awamu iliyopita kuhusu ugonjwa huu wa CORONA zimechangia kwa kiasi kikubwa jamii ya tz kuwa wajinga, kuwa na uelewa mbaya kuhusu chanjo na njia sa kujikinga. Serikali inatakiwa kuchukuwa hatua kali na madhubuti kudhibiti hali hii vinginevyo huko mbeleni tutalia kama taifa.

Naunga mkono hoja:


Awamu ile inatugharimu sana. Na bado wapotoshaji kama kina gwajima wanaendelea kupotosha hadharani.

Chanjo ni hiari lakini upotoshaji hauwezi kuwa ruksa, huru wala hiari.
 
Corona inabadilika kila siku vipi kikija kirusi ambacho waliochanjwa wanapona na ambao wamechanjwa wanakufa??
Utaficha wapi uso wako Mtumishi wa Bwana
Aisee! Mbona unamsaidia Gwajima kujibu? Hizi chanjo hazizuii baadhi ya Variant na unaweza kuumwa na kufa, sasa unachanjwa ili iweje?
 
Ndio umesimuliwa kipindi hiki au hukuwa na sababu ya kutuelezea hayo mwanzoni?
 
Back
Top Bottom