Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi unaelewa kweli ulichoandika? Kwa hiyo hoja uliyoandika inapingana na mawazo ya Gwajima?Huwezi kuwa na hoja katika eneo usilokuwa na ujuzi nalo. Kwamba wewe umeona hoja ya "microbaolojia na virusi" tokea kwa Gwajima asiyekuwa na mbele wala nyuma kwenye eneo hili? Wewe una akili au matope?
Haya si ndiyo mambo ya nyungu?
Kwenye masuala hayo, tunawasikiliza hawa:
"Akizungumza na Mwananchi, Mtaalamu wa maicobaolojia na virusi kutoka Chuo kikuu cha Muhimbili (Muhas), Dk Joel Manyahi alisema aina hiyo ya kirusi kina tabia ya kujibadilisha mara kwa mara."
Wenye bahati zao.
Kina Gwajima hata kama wakikaa kimya tu, kwenye masuala haya hawana tofauti na kina msukuma au hata wale very illitrates vijijini ambao hawakwenda shule kabisa.
Aah wapi Covid imewapiga zaidi hao wazungu kuliko sisi waafrika, kwa hiyo wasitulazimishe tutumie hizo chanjo zao za majaribio. Ukilinganisha vifo vilivyotokea Afrika kwa sababu ya Covid haviwezi kufikia vifo vinavyosababishwa na Malaria.Watu mnamsifia Ngwaji mbona kaboronga tu.Wabongo inabidi mjifunze kufuatilia mambo nyie wenyewe 'most of you are too lazy to learn' toeni uvivu wasikilizeni wataalamu walosomea haya mambo ndipo mjue ukweli upi na uongo upi.
- Hakuna chanjo ya covid 19 inayobadili DNA,scientifically impossible.
-Amesema Astrazenical side effects yake ya kwanza ni blood clot & death, upuuzi! Blood clot ni rare sasa yeye sijui kapata wapi maelezo yake.nenda website ys NHS uk ndio wana jukumu la kutoa chanjo jisomee mwenyewe.
Uk zaid ya watu million 42 wamepata chanjo,hii ni karibu ya nusu ya watu wote nchini na bado wanaendelea kutoa chanjo mpaka wote wapate.nchi zote ulimwenguni zimewapa wananchi wake chanjo lakini wabongo mnafikiri mnawindwa nyie.Wakati nyie mnajadiri ubaya wa chanjo wao wanajitayarisha kurudisha maisha kama zamani,msipotumia akili vizuri "corona will be a desease of the poor".
Kaendelee kutoa 10%Nlisali Kwake akiwa pale ubungo maji nkatafakari sana mahubiri yake hayakuniingia nliona ni walewale wapanga madeal na waumini wao ili wajinga waamini miujiza stakagi kuskia porojo zake.....alishindwa kuzuia kifo cha jiwe atatuambia nn kipya
Si ndio lengo la mh Rais kuunda timu ya wataalamu wa kufanya utafiti wa hilo?Gwajiboy kaongea point.
Ushauri wake ufanyiwe kazi
Hatutakiwi kuchukulia issue ya chanjo kama fashion lazima tujiridhishe na hii issue iwe ni hiyari ya mtu, isiwe lazima
Tupe basi wewe hayo unayosema kwani inahitaji PhD kujua tu side effects za dawa na inavyofanya kazi?GWAJIMA ajikite kwenye Mambo yaliyondani ya UWEZO wake Sio kujifanya anaijua kila kitu huku akipotosha kisa kajikunja google kasoma publication tuwili au to tatu alafu anafika bungeni na kuanza Mambo yake kwanza ajue pia Sio site utapata information zilizo sawa up to date kila siku kila mwezi kuhusu chanjo hizi
Hawa jamaa ndo walikuwa wanalilia lockdown enzi za JPM alipofunga shule,leo hii wanampotosha mama ili wapate ajenda ya kumwangusha 2025.Maana sasa hawana pa kushika.![]()
Covid Cases Double In World's Most-Vaccinated Nation, Raising Concerns
Seychelles, which has vaccinated more of its population against Covid-19 than any other country, saw active cases more than double in the week to May 7, raising concerns that inoculation is not helping turn the tide in some places.www.ndtv.com
Mnao mcheka Gwajima na degree zenu za Harvad someni link hapo, hii ngoma ina hitaji utulivu. Joe Biden au Uhuru or Mseven wame chanjwa lakini kila siku wamevaa Barakoa, je hawaiamini chanjo?
Mtu katoa hoja, kwanini usijibu kwa hoja?Twaweza waliyaona mapema majinga kama wewe. Kwa nini kama wewe kichwani huwa unaweza kujaza uharo wa mtu udhani na wengine ni hivyo?
Tumwamini Gwajima au msukuma dhidi ya hoja husika tokea kwa wasomi wabobezi wa fani zao?
Hivi mnatuona je wapumbavu nyie!
Pia kunyeshewa na mvua, haimaanishi ujitose kwenye bwawa la mikojoYou're very smart upstairs ! That's all i can say ! Wachana na hao wajinga wanatumia BCG ,Rubella Vaccine,Polio Vaccine,TT na ARV huku wakijisahaulisha madhara yaletwayo na Anticancers na hizo Radiopharmaceuticals
Hakuna jipya kwenye hoja ya Gwajiboy!Gwajiboy kaongea point.
Ushauri wake ufanyiwe kazi
Hatutakiwi kuchukulia issue ya chanjo kama fashion lazima tujiridhishe na hii issue iwe ni hiyari ya mtu, isiwe lazima
Tutapataje hela za wafadhili!huoni tumeanza kuvaa barakoa?corona ipo wewe vp?Hivi Corona ipo au haipo kwa upande wa Tanzania?
Sasa hivi tunashuhudia chanjo! Wakati mwanzo Tanzania ilisema inafanya tafiti!
Majibu ya hiyo tafiti bado tu? Au kuna mengine nyuma ya pazia!
Na kama tafiti bado, kwanini Tanzania ikimbilie kwenye chanjo.
Kama Corona ipo siitangazwe tujue moja!
Kuliko kuficha ficha huku Watanzania wengi wakiendelea kupukutika.