MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,164
- 2,500
Elimu haiko limited kiasi hiko ndugu yaan swala la kwenda kusoma side effects za kitu unahitaji masters ya hiyo Sector????kama ndiyo hivyo basi hata huyo gwajima amequote madaktari maarufu waliotoa mawazo yao kuhusu hizo chanjoHuwezi kuwa na hoja katika eneo usilokuwa na ujuzi nalo. Kwamba wewe umeona hoja ya "microbaolojia na virusi" tokea kwa Gwajima asiyekuwa na mbele wala nyuma kwenye eneo hili? Wewe una akili au matope?
Haya si ndiyo mambo ya nyungu?
Kwenye masuala hayo, tunawasikiliza hawa:
"Akizungumza na Mwananchi, Mtaalamu wa maicobaolojia na virusi kutoka Chuo kikuu cha Muhimbili (Muhas), Dk Joel Manyahi alisema aina hiyo ya kirusi kina tabia ya kujibadilisha mara kwa mara."
Wenye bahati zao.
Kina Gwajima hata kama wakikaa kimya tu, kwenye masuala haya hawana tofauti na kina msukuma au hata wale very illitrates vijijini ambao hawakwenda shule kabisa.
Attack the message not the Messanger