#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

Mimi na Bashite tunasubiria SAFARI ya kuhamia lile jimbo la Marekani.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi unaelewa kweli ulichoandika? Kwa hiyo hoja uliyoandika inapingana na mawazo ya Gwajima?
 
Aah wapi Covid imewapiga zaidi hao wazungu kuliko sisi waafrika, kwa hiyo wasitulazimishe tutumie hizo chanjo zao za majaribio. Ukilinganisha vifo vilivyotokea Afrika kwa sababu ya Covid haviwezi kufikia vifo vinavyosababishwa na Malaria.

Kwa hiyo changamoto yetu kubwa Africa bado ni Malaria siyo Covid. Wangekuwa wanatupenda wangeharakisha upatikanaji wa chanjo ya Malaria.
 
Huyu Gwajima hana sifa ya kuwa mtumishi wa Mungu, ni kigeugeu kila siku.

Sijui ni mwepesi kusahau anayoyasema au anahisi watu tunasahau anayoyasema.

Kipindi Corona inaingia Afrika akiwa madhabahuni akaiapisha na kusema haitaingia Tanzania waumini wake wanashangilia.

Mara inaingia, akageuza kibao kusema anataka akaikomeshe Corona kwa kuruhusiwa kwenda hospital kuwaombea wagonjwa waumini nao wanashangilia.

Sasa anaongea mengine asiyojulikana.
Your browser is not able to display this video.
 
Nlisali Kwake akiwa pale ubungo maji nkatafakari sana mahubiri yake hayakuniingia nliona ni walewale wapanga madeal na waumini wao ili wajinga waamini miujiza stakagi kuskia porojo zake.....alishindwa kuzuia kifo cha jiwe atatuambia nn kipya
 
Nlisali Kwake akiwa pale ubungo maji nkatafakari sana mahubiri yake hayakuniingia nliona ni walewale wapanga madeal na waumini wao ili wajinga waamini miujiza stakagi kuskia porojo zake.....alishindwa kuzuia kifo cha jiwe atatuambia nn kipya
Kaendelee kutoa 10%
 
Gwajiboy kaongea point.
Ushauri wake ufanyiwe kazi
Hatutakiwi kuchukulia issue ya chanjo kama fashion lazima tujiridhishe na hii issue iwe ni hiyari ya mtu, isiwe lazima
Si ndio lengo la mh Rais kuunda timu ya wataalamu wa kufanya utafiti wa hilo?
 
Sasa sijajua kwani lazima kwenda ulaya?

Mbona magu hakuenda na tuliishi kwa amani tu
 

Mnao mcheka Gwajima na degree zenu za Harvad someni link hapo, hii ngoma ina hitaji utulivu. Joe Biden au Uhuru or Mseven wame chanjwa lakini kila siku wamevaa Barakoa, je hawaiamini chanjo?
 
Tupe basi wewe hayo unayosema kwani inahitaji PhD kujua tu side effects za dawa na inavyofanya kazi?
 
Hawa jamaa ndo walikuwa wanalilia lockdown enzi za JPM alipofunga shule,leo hii wanampotosha mama ili wapate ajenda ya kumwangusha 2025.Maana sasa hawana pa kushika.
 
majuzi kaongea kama docta wa mambo ya chanjo.....ila duh duniani ukiweza kupiga domo na usipokuwa na soni hukosi wafuasi na majitu maboya kukufuata
 
achana na huyo mhuni hajielewi huyo, mbunge wa awamu moja tu...tena ya kimagumashi!.
 
Mtu katoa hoja, kwanini usijibu kwa hoja?
 
You're very smart upstairs ! That's all i can say ! Wachana na hao wajinga wanatumia BCG ,Rubella Vaccine,Polio Vaccine,TT na ARV huku wakijisahaulisha madhara yaletwayo na Anticancers na hizo Radiopharmaceuticals
Pia kunyeshewa na mvua, haimaanishi ujitose kwenye bwawa la mikojo
 
Gwajiboy kaongea point.
Ushauri wake ufanyiwe kazi
Hatutakiwi kuchukulia issue ya chanjo kama fashion lazima tujiridhishe na hii issue iwe ni hiyari ya mtu, isiwe lazima
Hakuna jipya kwenye hoja ya Gwajiboy!
Ni suala la maamuzi tu; whether in or out at this point of time.. Dunia yote bado haijui matokeo ya baadaye ya chanjo, so its either tuunge tuchanjwe, au tusubiri miaka ya mbeleni huko dunia ikishajua.

Kuhusu kuwa compulsory au hiari..
Kumbuka kuwa lengo kuu la kwanza la chanjo yoyote ni community prevention of infection spread na siyo individual level.. Na ili infection spread control ifikiwe ni lazima >70% ya wana jamii wachanjwe.. Ikiwa ya hiari ni nadra kufikia hii cut off and hence lengo kuu linaweza lisifikiwe!!

Maamuzi yoyote watakayochukua siyo rahisi!
 
Tutapataje hela za wafadhili!huoni tumeanza kuvaa barakoa?corona ipo wewe vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…