nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Mbona wewe hujapukutika?Hivi Corona ipo au haipo kwa upande wa Tanzania?
Sasa hivi tunashuhudia chanjo! Wakati mwanzo Tanzania ilisema inafanya tafiti!
Majibu ya hiyo tafiti bado tu? Au kuna mengine nyuma ya pazia!
Na kama tafiti bado, kwanini Tanzania ikimbilie kwenye chanjo.
Kama Corona ipo siitangazwe tujue moja!
Kuliko kuficha ficha huku Watanzania wengi wakiendelea kupukutika.
Kule Amerika wameshachanjwa zaidi ya 100,000,000. India wameshachanjwa karibia 160,000,000. Ulaya wamechanjwa kwa mamilioni vilevile. Sasa hivi karibu kila mtu, yaani taifa zima, kule Israel amechanjwa. Hao ni wajinga au Gwajima ndiye mjinga kwa kutojua anachoongea? Elimu ya covid na vaccine ni mbali mno na upeo wa akina Gwajima. Wawe na unyenyekevu wa kutambua hilo na kunyamazaJamaa amebaki kuwa a real member of parliament,
Kma yanabadilika ina maana madhara ya Yellow card na Radiotherapy ama ARVs yatakoma ghafla?Namshukuru Mungu amenipa mibaraka mingi nikiwa hapa hapa, ima iwe ni ushamba, lkn iwe iwavyo, sichanjwi na simshauli mwingine aige Imani yangu!!
Nilichotaka kusema, Gwajima ametahadharisha kuhusu kamati iliyopewa kufanya utafiti wa hizi dawa na Corona, niliyemu quote alimshambulia Kwamba, mbona Chanjo za magonjwa mengine mengi tuluchanjwa, na Kwa nini sasa iwe ni kuhoji kuhusu ubora wa dawa hizi ilihali hatuna uwezo wa kujitengenezea?
Nikasema, mambo hubadirika, na hatuwezi kuishi kama tupo nyuma ya miaka Elfu iliyopita
Kama Mwendazake angeendelea kuwa hai mpaka leo basi angeweza kusikia alichosema Gwajima leoMbona wakati mwendazake alikuwepo hakupanua Domo lake?
Nafikiri wafanye tafiti ya chanjo yetu hapa nchini,hata hivyo haitakubaliwa na WHO kwa sababu gonjwa hili ni la kimkakati zaidi ,lazima tufyonzwehivi watalaamu wetu wa ndani wana capacity ya kujua ubora, udhaifu, madhara, faida ya cnanjo zilizopo kwa sasa na years to come?
Unajua limitation walizosema kuhusu hayo majaribio?Hapana. Tatizo ni kuwa Watanzania hatusomi! Tumebaki kulalamika kuwa hatuijui chanjo. Watu wote hadi Rais aliyetangulia mnasema hamjui! Data za majaribio ya chanjo zote zilikuwa zinatolewa mwaka mzima mwaka jana, na ripoti zote za phase ya mwisho ya majaribio, Phase 3 zilielezwa vizuri sana na kuchambuliwa na wataalamu huru kuanzia Desemba 2021. Sasa tuko Phase 4 ya monitoring, halafu asiyesoma anasema tusubiri wataalamu wetu waseme. Sijui hawa wataalamu watarudi Phase ya kwanza? Watu huko duniani wanatikisa vichwa tu jinsi tulivyoachwa maili maelfu. Jebu someni New England Journal of Medicine moate hizo ripoti za Pfizer, Moderna, Astrozeneca na J&J. Sisi wengine sasa hivi tunamalizia kusoma za Urusi, China, India (nazo zinatumika), na Soberana ya Cuba.
Wataalamu wetu wafanye utafiti na kuja na chanjo otherwise tunaenda kugeuzwa soko tu.Nafikiri wafanye tafiti ya chanjo yetu hapa nchini,hata hivyo haitakubaliwa na WHO kwa sababu gonjwa hili ni la kimkakati zaidi ,lazima tufyonzwe
Na hii ndio lengo hasa , Magufuli alichomolewa kwa sababu alikuwa anawaamsha wengi Afrika na dunia ,wakaona isiwe tabu ,ila kupitia korona tunarudishwa nyuma sana badala ya kufanya maendeleo ,unatumua fedha unazokopeshwa kujitibuWataalamu wetu wafanye utafiti na kuja na chanjo otherwise tunaenda kugeuzwa soko tu.
Watu laki 5 kwa miaka 70 (tokea chanjo ya YF ianze kutumika) na diniani in watu billioni 7, unajikuta vifo vya homa ya majano kidogo sana. Sasa unaweza kukadiria kama chanjo ya Corona inaweza kuuwa watu wangapi katika miaka 70 ijayo? Jibu ni gumu kwasababu hatujuwi madhara ambayo hizi chanjo za dharula yatazilita kwenye miaka ya usoni.Kwanza tukubaliane homa ya manjano pia chanjo yake ina side effects nyingi na nimekueleza kwa takwimu za WHO watu zaidi ya laki 5 wamekufa kwa chanjo-related cases!! Kwahyo nachohoji kwanini hampigi marufuku na ile? Au ni double standard
2. China wametengeneza chanjo yao na juzi tu hapa WHO wameipa endorsement kuwa ipo effective. Kwanini sisi hatutengenezi yetu tumekalia kulaumu wazungu na chanjo zao? Mbona Russia au China hawalii lii juu ya mabeberu conceding chanjo?
3. Side effects zipo kwa dawa na cjanjo zote duniani hakuna dawa hata moja haina side effects kutokana na variation kwa hali za miili ya watu. So sio chanjo ya covid tu ndio yenye madhara..... Ndio maana nimetoa mfano wa Radiotherapy pale ocean road ile tiba ukiitumia inakumaliza kabisa baadhi ya viungo lakini haipigwi marufuku coz hakuna namna nyingine ila humu huwezi sikia mkijadili mnaaminishwa ni chanjo tu yenye side effects ila ARVs cjui Yellow fever vaccine na Radiotherapy aaah ni sawa tu!!
Good question [emoji848]Kwa nini tusifast track majaribio ya chanjo ya ukimwi pale Muhimbili?
Ana miaka zaidi ya 65Naomba Mbowe aitwe bungeni ili aeleze faida ya hiyo chanjo. Nasikia alichanjwa huko majuu .
Kama wapo si wangekuwa wametengeneza chanjo, si rahisi kukosoa kazi ya mtu ambaye hujui amefikiaje mafanikio vinginevyo nawe uwe na ujuzi wa kufanya mbadala wake,Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".
Tuanza na kenya,Uganda, Rwanda, wezentu wameishapata chanjo vipi ni madhara yapi wamepata mpaka mda huu, alafu why tunaogopa Sana chanjo ya c 19 ali Hali hepatitis vaccine tunadungwa kila siku ,Busara itumike chanjo zije anaetaka achanje asietaka Basi,Hivi Corona ipo au haipo kwa upande wa Tanzania?
Sasa hivi tunashuhudia chanjo! Wakati mwanzo Tanzania ilisema inafanya tafiti!
Majibu ya hiyo tafiti bado tu? Au kuna mengine nyuma ya pazia!
Na kama tafiti bado, kwanini Tanzania ikimbilie kwenye chanjo.
Kama Corona ipo siitangazwe tujue moja!
Kuliko kuficha ficha huku Watanzania wengi wakiendelea kupukutika.
Kwa nini tusifast track majaribio ya chanjo ya ukimwi pale Muhimbili?