Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Kwahiyo Serikali ya Tanzania 🇹🇿 inafanya maamuzi kwa kufuata mkumbo na kuangalia mataifa mengine yamefanyaje ili kujikinga na COVID-19?Chanjo si unajikinga tu bila kujali ugonjwa upo ama haupo!! Ni precautionary motive tu na ndio alichosema Rais kwamba hata kma Covid Haipo Tz ila wave ikija lazima ikute mmejiandaa.
Kama mwendazake hakukiri sidhani kma SSH atakiri..... Siasa zetu ni unafiki tu kutafuta popularity hakuna anayeweza kusimamia ukweli.Kwahiyo Serikali ya Tanzania 🇹🇿 inafanya maamuzi kwa kufuata mkumbo?
Kuna watu wa asikilize na kuikubali anachokisema huyu bwana....!? Si ndiye huyu huyu aliyekemea Corona akidai haitafika TanzaniaMbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa na Waziri Dorothy Gwajima.
Amefafanua, "Mimi sipo kinyume na Chanjo za Corona wala Chanjo yoyote. Mtu asininukuu napinga Chanjo, hapana! Tanzania tulishachanjwa Chanjo ya Kifua Kikuu, Surua, Kifaduro na Polio".
Amesema ni kweli Tanzania ikikataa Chanjo inaweza kuwekewa zuio la kwenda Ulaya. Ameeleza, "Tunakabiliwa na uchaguzi mbaya sana, tuchanjwe kitu tusichokijua sawa sawa au tusichanjwe tuzuiwe kwenda Ulaya".
Ameiomba Wizara ya Afya kuangalia suala la Chanjo kwa umakini, akisema waangalie madhara ya sasa, ya siku zijazo na ya Taifa. Ameongeza kuwa, tatizo lililopo ni kufikiri kila kinachotoka Ulaya kinafaa.
Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".
Hivi kweli mtu ambaye hajui mambo anayoyaongea kuna watu wa amuamini na kumpigia makogi. Nimeshangaa mpaka waziri wa Afya na Naibu wake wanagonga Meza... This is shocking.Gwajiboy kaongea point.
Ushauri wake ufanyiwe kazi
Hatutakiwi kuchukulia issue ya chanjo kama fashion lazima tujiridhishe na hii issue iwe ni hiyari ya mtu, isiwe lazima
Huwezi kujustify kuua eti kisa kuna namna nyingine ya kuua huko nyuma tuliyoikubali.. noo..Kwanza tukubaliane homa ya manjano pia chanjo yake ina side effects nyingi na nimekueleza kwa takwimu za WHO watu zaidi ya laki 5 wamekufa kwa chanjo-related cases!! Kwahyo nachohoji kwanini hampigi marufuku na ile? Au ni double standard
2. China wametengeneza chanjo yao na juzi tu hapa WHO wameipa endorsement kuwa ipo effective. Kwanini sisi hatutengenezi yetu tumekalia kulaumu wazungu na chanjo zao? Mbona Russia au China hawalii lii juu ya mabeberu conceding chanjo?
3. Side effects zipo kwa dawa na cjanjo zote duniani hakuna dawa hata moja haina side effects kutokana na variation kwa hali za miili ya watu. So sio chanjo ya covid tu ndio yenye madhara..... Ndio maana nimetoa mfano wa Radiotherapy pale ocean road ile tiba ukiitumia inakumaliza kabisa baadhi ya viungo lakini haipigwi marufuku coz hakuna namna nyingine ila humu huwezi sikia mkijadili mnaaminishwa ni chanjo tu yenye side effects ila ARVs cjui Yellow fever vaccine na Radiotherapy aaah ni sawa tu!!
Naona mzee unaongea kwa hisia, ebu jaribu kuhoji kwa kutumia akili.. hatupaswi kuwategemea wasomi hata kufikiri.. unajuaje kama wamenunuliwaUko sahihi. Viongozi wa juu kule WHO wako 21. Wote 21 wana elimu ya PhD ya magonjwa haya. Wanne (4) ni Waafrika. Wawili (2) ni Marekani na Carribean weusi. Kuna huyo mama wa Kihindi na mama mwingine wa kiarabu wa Saudia. Watu hao ni wasomi, na wengi ni wenzetu. Elimu halisi ya Gwajima ni Form IV. Anamcheka mwenziye Makonda, lakini hana ground ya kumcheka. Kusema tuache kusikiliza wataalamu unaowasema eti twende na Gwajima.....! Yule Rais aliyetangulia ameharibu akili za watu. Amewaambia wakatae elimu, warudi walivyokuwa babu zao, na watu wanamfuata hadi sasa. Zindukeni!
Nchi gani imelazimisha chanjo zake zinunuliwe? Mbona Russia na China wametengeneza za kwao na WHO imewapa endorsement?
Okay unasema vifo laki 5 kwa miaka 70 ni halali ila vifo 50 kati ya watu million zaidi ya 30 waliochanjwa kwa Astra Zeneca ndio sample nzuri ya kudiscredit chanjo?
Kingine chanjo sio tiba na hapa ndio mnakosea.... Chanjo ni kama condom tu inazuia maambukizi ila yakipenya haiwezi kukuokoa tena!! Hata ARVs kuna watu wanatumia na bado wanakufa kwa maradhi ya VVU so its not a big deal to be honest
Labda hujasoma vizuri na kuelewa. Wakati wanapokea chanjo hizo na kuanza kuzitumia, nchi zingine zilikuwa zinasitishwa kutokana na hitilafu zilizojitokeza kwenye hizo chanjo ambazo wao walizipokea.Acha kupotosha watu aliyekudanganya Kenya na Rwanda wamepata shida na chanjo ni nani. Mmemponza ndugu yenu mpaka corona imemla kichwa
Kwani nyungu imefikia wapi ndugu zangu??Huku mtaani kwetu sijui tutamvika nani maana kwa hiari ni ngumuuuu
Tena wanakuambia kabisa mbona tangu mwaka jana tunafanya kazi zetu kariakoo, tandika, ilala na hakuna mfanyabiashara aliyeumwa hiyo corona
Kamvika mtu ambaye ameshajihakikishia corona haiambukizwi kwa kutovaa barakoa uwe na sababu atakazoelewa
Soma vizuri wewe lofa,huyo gwajima amesema hicho kirusi hakina tabia ya kujibadiliasha mara kwa mara!?.Huwezi kuwa na hoja katika eneo usilokuwa na ujuzi nalo. Kwamba wewe umeona hoja ya "microbaolojia na virusi" tokea kwa Gwajima asiyekuwa na mbele wala nyuma kwenye eneo hili? Wewe una akili au matope?
Haya si ndiyo mambo ya nyungu?
Kwenye masuala hayo, tunawasikiliza hawa:
"Akizungumza na Mwananchi, Mtaalamu wa maicobaolojia na virusi kutoka Chuo kikuu cha Muhimbili (Muhas), Dk Joel Manyahi alisema aina hiyo ya kirusi kina tabia ya kujibadilisha mara kwa mara."
Wenye bahati zao.
Kina Gwajima hata kama wakikaa kimya tu, kwenye masuala haya hawana tofauti na kina msukuma au hata wale very illitrates vijijini ambao hawakwenda shule kabisa.
Hilo unaongea wewe hata mimi sijawahi kutamka wazi wala kiishara kuonesha kuwa siamini corona, tatizo ni kwamba kuna mambo mengi yenye utata kwenye corona sasa inapotokea wengine kuhoji au kupinga ndipo tunaonekana hatuamini kuwepo corona.Mkuu ww hujawahi kuamini Covid 19 ipo..... Nili conclude kwamba utaamini siku Ikimpata ndugu yako wa karibu akafia mikononi mwako ICU bila kupewa chance ya kumuaga ndio utakiri kuwa it's real.
Nenda kachanjwe Kama amekukoseaHuyu bwana askofu wa kanisa la ufufuo na uzima ajue katukosea sana kwa kutofanya juhudi yoyote ya kumfufua mwendazake, hali akidai karama hiyo anayo.
Ana nini bado cha kutuambia sisi kuhusiana na Corona au lolote jingine huyu?
It's easier to fool people than to convince them that they have been fooled.Tz au Afrika mashariki ni lini tumewai tengeneza chanjo, kati ya chanjo tunazopata kila siku ? WATU Kama GWAJIMA ni wapotoshaji tu wanafikili kila kitu ni Siasa,CDC inakwambia tiyari chanjo bora ipo ( ( mRNA ) WATU wanaleta mchezo kwenye Maisha ya WATU,serikali nyie tuletee sie tudunge achana na wakina GWAJIMA ,wanaoamini kwamba tz tuna centre iliyojuu technology,vifaa,na wataalam Kama CDC wakati daily mwakimbilia kenya kwa magonjwa yakawaida hata covid yenyewe mwakimbilia huko mkipata, chanjo ya nyungu ilishafeli,
Akikujibu Gwajima nistuehivi watalaamu wetu wa ndani wana capacity ya kujua ubora, udhaifu, madhara, faida ya cnanjo zilizopo kwa sasa na years to come?
GWAJIMA ajikite kwenye Mambo yaliyondani ya UWEZO wake Sio kujifanya anaijua kila kitu huku akipotosha kisa kajikunja google kasoma publication tuwili au to tatu alafu anafika bungeni na kuanza Mambo yake kwanza ajue pia Sio site utapata information zilizo sawa up to date kila siku kila mwezi kuhusu chanjo hiziRais usisikilize vilaza wanauunga mkono chanjo chukua ushauri wa Gwanjima.
Bwege limeshindwa kumfufua mwendazake linatuzengua tu....Huyu bwana askofu wa kanisa la ufufuo na uzima ajue katukosea sana kwa kutofanya juhudi yoyote ya kumfufua mwendazake, hali akidai karama hiyo anayo.
Ana nini bado cha kutuambia sisi kuhusiana na Corona au lolote jingine huyu?
Kwani nyungu imefikia wapi ndugu zangu??