#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

Elimu haiko limited kiasi hiko ndugu yaan swala la kwenda kusoma side effects za kitu unahitaji masters ya hiyo Sector????kama ndiyo hivyo basi hata huyo gwajima amequote madaktari maarufu waliotoa mawazo yao kuhusu hizo chanjo

Attack the message not the Messanger
 
Nilisema Jana haya mabarakoa wanayovaa kuna kitu kama si kukopa mkopo wa covid bhasi chanjo huyu mama huyu bhasi tu
Huyu mama kama ni Urais basi umemdondokea tu, lakini hafai kwenye hiyo nafasi, anapelekeshwa kama puppet , why??!!!!udhaifu kama wa Msoga!!!!!
 
Umebaki na akili za kuvukia barabara jitahidi wanao wasione ujinga wako
Hahahah, Hilo jamaa mi nalionaga kama taahira, mtu katoa hoja, yeye anamquote mtaalam alisema nini sijui, sasa sijui inahusiana nini, hahaha 😂😂😂
 
Leo ndio amejua kuna Sayansi baada ya kudanganya watu kwamba anafufua kwa muda mrefu

Angekuwa mwanasayansi wangemjibu Wanasayansi lakini huyo mwanasiasa Mchaga atasema Nini zaidi ya Porojo.


Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Sasa kwanini tu usijibu hoja zake kama zilivyo, kama alidanganya kufufua ndio na wewe unajibu hoja kwa vihoja?
 
Kwahiyo Serikali ya Tanzania [emoji1241] inafanya maamuzi kwa kufuata mkumbo na kuangalia mataifa mengine yamefanyaje ili kujikinga na COVID-19?

Mkuu, mataifa yote yamefuata mkumbo. Huenda unapaswa kufundishwa kuwa mataifa haya yana umoja unaoitwa United Nations na pamoja na mambo mengine UN wanashugulika na mambo ya afya kupitia World Health Organization - WHO. Ni hao WHO wanaotoa mkumbo! Na nchi yako ni masikini kiasi kuwa haina uwezo wa kwenda kinyume na WHO inayowapa chanjo na ushauri wa kitaalamu kuhusu malaria, surua, dengue, ukimwi, kioindupindu nk!!

Huo mkumbo hatukuanza kufuata leo. Tutaendelea mpaka pale tutakapokuwa na uwezo wa kufanya tafiti zetu wenyewe na kutengeneza madawa na chanjo zetu wenyewe!
 
Soma vizuri wewe lofa,huyo gwajima amesema hicho kirusi hakina tabia ya kujibadiliasha mara kwa mara!?.
Hilo jamaa linajibu vitu ambavyo hata havijaongelewa, anajibu as if Gwajima kasema havijibadilishi, kama taahira yaani 😂😂😂
 
It's easier to fool people than to convince them that they have been fooled.
 
Mnakataa maisha baada ya malaika wwnu, I think nendeni kwanza kupallia kaburi lenu, bullshit
 
Huyu bwana askofu wa kanisa la ufufuo na uzima ajue katukosea sana kwa kutofanya juhudi yoyote ya kumfufua mwendazake, hali akidai karama hiyo anayo.

Ana nini bado cha kutuambia sisi kuhusiana na Corona au lolote jingine huyu?
Mh Askofu Gwajima ameelekeza Bunge yale yanayojiri kwenye ulimwengu wa Wataalamu wa Tiba na Uchunguzi wa Virusi. Usiwe mvivu soma bandiko hili
 
Someni taarifa hii kuhusu COVID-19 na chanjo zake.



cc imhotep
 
Rashid akili zake zimejaa ujinga mtupu kwani hajamsikiliza Mwenyekiti wake ambaye amesema ameunda jopo la kuangalia suala zima la Corona. Malaya wa maisha huyu.
 
Huna akili mbwa wewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…