#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

Chanjo ya korona si kama Simu mpya kwamba wa kwanza kutumia anapata sifa
 
Ukiambiwa utupe japo athar mbil za corona tanzania tofaut na kiuchumi unazo?..ebu nambie huitaj mwingine wa chanjo Tanzania tofaut na wanao taka kwa ajili ya kusafir uko nje.
Utajuaje athari zake wakati hata huna takwimu za wagonjwa wa corona ? Tulikataa kufuata maelekezo ya kutest na kueka data za wagonjwa. Ukiwa huna takwimu za wagonjwa wangapi wameathirika, wamerecover na wangapi wamerafiriki utaweza vipi kufanya hata maamuzi kama taifa ?

Nikuambie takwimu zinaonesha, waathirika wa covid-vaccines kama side effects leading to death ni wachache mno. Ukitazama uwezekano wa kuathirika na kupata permanent health damage kwa mtu mwenye afya yake ni 1 / 10. Hii ni sababu ya msingi na tosha kukubali vacine.

Kupiga vacine ya kuepuka covid sio kwa ajili ya kusafiri kama unavyotaka tuamini. Ni sababu za kiafya kukimbia kupata maradhi yenyewe. Ukiacha vacine unachukua risk ya 1 / 10 ya kuathirika au kuwa mchovu kwa kipindi kirefu (miezi kadhaa). Hapa tunazungumza uchovu wa kiasi ya kijana mbichi kushindwa hata kupanda ngazi!
 
Hapo kwenye takwimu za corona, ningeomba kuuliza hivi kunatofautishwa vifo vya watu vilivyo sababishwa na corona na vifo visivyosababishwa na corona ila marehemu alikuwa au amekutwa na virusi vya corona? Mfano mtu alikuwa anaumwa zake malaria akawa anajiuguza zake ndani ila mara ghafla hali ikawa mbaya na kupelekwa hospitali ila bahati mbaya akafariki ila kuchukuliwa vipimo vikaonesha alikuwa na malaria na virusi vya corona, je hiki kifo pia kinaingia kwenye takwimu kuwa ni kifo cha corona?
 
Nadhani chanjo huwa haijalishi ugonjwa upo au hamna.... Ni kama homa ya manjano tu huwa tunapigwa chanjo kila miaka 10 whether ugonjwa upo ama lah.

That said issue hapa ni kuomba patent tutengeneze za kwetu kukosoa tu na kejeli za bungeni kwa chanjo za mabeberu ni kujidhalilisha tu.

Kama hawaziamini ni rahisi tu tuombe leseni tutengeneze za kwetu maana tumeshindwa kubuni yetu. Tuache kujificha kwenye madhaifu ya chanjo za wenzetu
Miaka mitano imepita sasa toka tumeachana na yellow fever vaccination ya kila miaka 10. Kwa sasa unachomwa mara moja tu katika maisha yako yote
 
Hapo kwenye takwimu za corona, ningeomba kuuliza hivi kunatofautishwa vifo vya watu vilivyo sababishwa na corona na vifo visivyosababishwa na corona ila marehemu alikuwa au amekutwa na virusi vya corona? Mfano mtu alikuwa anaumwa zake malaria akawa anajiuguza zake ndani ila mara ghafla hali ikawa mbaya na kupelekwa hospitali ila bahati mbaya akafariki ila kuchukuliwa vipimo vikaonesha alikuwa na malaria na virusi vya corona, je hiki kifo pia kinaingia kwenye takwimu kuwa ni kifo cha corona?
Chukulia mfano huu labda, mgonjwa alikuwa na maradhi ya moyo, sukari, mapafu n.k (maradhi yoyote au hata bila maradhi mtu yuko na afya njema kabisa). Anaishi siku zote bila ya taabu, mara kazidiwa ghafla kupelekwa spitali safari ya mauti imemfikia. Mgonjwa huyu akipimwa na kugundulika ana virusi vya covid-19, basi kitakwimu huyu amefariki na covid-19 na sio hayo maradhi mengine.

Mie si daktari lakini logic, hayo maradhi mengine hayajamuondosha duniani bali tunasema kwa lugha ya kiengereza "cause of death is complications from covid-19"
 
Hivi India hawakuchanjwa?.. wao si ndo wanazalusha chanjo karibia zote kwenda UK, sasa umekuaje leo wao ndo wanaongoza kufariki?

Sio jambo jema sana kwa dunia ya leo kuapply chanjo nzuto kama hiyo kwa kukurupuka kabisa

Kwanini hawataki kuachia patent iliyotumika kama kweli wana nia nzuri na sisi??

Chanjo ni muhimu.. lakini tusijekurupuka tukajuta baadae
Wamechanjwa below 20% subiri hizo chanjo zote billion 2 zimalizike tuone hizi kejeli zako zitakua na faida gani!!

Btw wanaokufa india ni chini ya 1% ya wote waliougua mfano juzi watu waliogundulika ni laki 360 ila waliofariki ni elfu moja na kitu.

Watu wana raia zaidi ya billion moja ndio maana 1% yao ni kubwa kuliko yetu ila kma wangekua ni ncho yenye watu million 50 kma sisi of course ungeona namba ni ndogo tu.

Afrika nzima tunalingana na population ya india pekee sasa kwenye situation hiyo watu buku ni mshtuko?
 
Sasa mkuu hauoni kwa mfumo huo ni kwamba hata mtu aliyepata ajali labda ya gari na kwenda kufia hospitali pia atahesabiwa ni kifo cha covid-19 kwa sababu alipimwa na kukutwa na hivyo virusi vya corona?
 
Hebu mkuu nisaidie hivi kuna tofauti ya kufa kwa corona na kufa ukiwa na corona? Yani mtu kufa kwa maradhi mengine ila alikuwa na virusi vya corona au kila mwenye virusi vya corona akifariki huhesabika ni kifo cha corona tu?

Maana najiuliza mfano huko India pia kuna vifo vya watu vyenye kusababishwa na magonjwa mengine kama ilivyokuwa kama kabla ya corona au hivyo vifo havipo tena na corona ndio imechukua ya hivyo vifo?
 
Kinachoangaliwa ni symptoms zilizopelekea kifo cha mtu but kuna wale hawaonyeshi dalili ingawa covid inawatafuna ndani kwa ndani so inakua ngumu kupata directly waliokufa na covid.

So inachofanyika wanaangalia je kifo chake kilikua na viashiria vya symptoms za corona kma breathing problems ama mapafu kupata mgandamizo n.k mwisho wa siku ndio wana conclude alikufa kwa Covid 19-related complications whether ilikua direct ama lah.

Najua hoja yako hapa ni kwamba wana covid ila sio iliyowauwa. But basically wengi huko india walikua na symptoms za covid kabisa ndio maana mitungi ikapata demand kubwa. So obvious vifo vikiwa vingi kutokana na breathing complications obvious utaconclude hyo ndio primary cause of death irrespective of underlying chronic infections.
 
Sioni mkuu, naona ni sawia kabisa ukusanyaji umenikalia vyema tuu. Ulitaka 100 % accurate statistics ? Pole sana katika sayansi ya takwimu kuna margin of error/accuracy etc. Huyo mtu mmoja ambae data zilikuwa na hitilafu hawezi haribu picha nzima ya takwimu.

Tazameni sasa Samia anataka kufanya maamuzi juu ya covid-19. Anakosa takwimu kama nilivyoeleza awali. Matokeo yake maamuzi yatakayofanyika msimlaumu, acheni tufe tuu kama kuku au mbuzi.

Takwimu zinatoa dira katika kufanya maamuzi ambayo yatasave maisha ya watu kibao. Bila ya takwimu ni sawa na kipofu anaetaka kuvuka barabara.
 
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa na Waziri Dorothy Gwajima.

Amefafanua, "Mimi sipo kinyume na Chanjo za Corona wala Chanjo yoyote. Mtu asininukuu napinga Chanjo, hapana! Tanzania tulishachanjwa Chanjo ya Kifua Kikuu, Surua, Kifaduro na Polio".

Amesema ni kweli Tanzania ikikataa Chanjo inaweza kuwekewa zuio la kwenda Ulaya. Ameeleza, "Tunakabiliwa na uchaguzi mbaya sana, tuchanjwe kitu tusichokijua sawa sawa au tusichanjwe tuzuiwe kwenda Ulaya".

Ameiomba Wizara ya Afya kuangalia suala la Chanjo kwa umakini, akisema waangalie madhara ya sasa, ya siku zijazo na ya Taifa. Ameongeza kuwa, tatizo lililopo ni kufikiri kila kinachotoka Ulaya kinafaa.

Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".
Namuunga mikono yote miwili na miguu yote miwili. Hawa wataalam wa kukopi na kubandika kwa kujali matumbo yao ni hatari kwa Taifa.
 
Kinachoangaliwa ni symptoms zilizopelekea kifo cha mtu but kuna wale hawaonyeshi dalili ingawa covid inawatafuna ndani kwa ndani so inakua ngumu kupata directly waliokufa na covid.

So inachofanyika wanaangalia je kifo chake kilikua na viashiria vya symptoms za corona kma breathing problems ama mapafu kupata mgandamizo n.k mwisho wa siku ndio wana conclude alikufa kwa Covid 19-related complications whether ilikua direct ama lah.

Najua hoja yako hapa ni kwamba wana covid ila sio iliyowauwa. But basically wengi huko india walikua na symptoms za covid kabisa ndio maana mitungi ikapata demand kubwa. So obvious vifo vikiwa vingi kutokana na breathing complications obvious utaconclude hyo ndio primary cause of death irrespective of underlying chronic infections.
Kwani kabla ya corona takwimu za vifo zikoje mfano huko India kwa watu wenye magonjwa kama ya moyo,kansa,presha,kisukari n.k na baada ya kuingi corona hali ya uangali na kutibiwa kwa watu wenye matatizo kama hayo ikoje? Maana nakumbuka pale muhimbili wagonjwa kama wa moyo walikuwa hawaendi clinic zao kuogopa kupata corona huko hospitali, kitu ambacho kilikuwa kina hatarisha maisha yao.
 
Sioni mkuu, naona ni sawia kabisa ukusanyaji umenikalia vyema tuu. Ulitaka 100 % accurate statistics ? Pole sana katika sayansi ya takwimu kuna margin of error/accuracy etc. Huyo mtu mmoja ambae data zilikuwa na hitilafu hawezi haribu picha nzima ya takwimu.

Tazameni sasa Samia anataka kufanya maamuzi juu ya covid-19. Anakosa takwimu kama nilivyoeleza awali. Matokeo yake maamuzi yatakayofanyika msimlaumu, acheni tufe tuu kama kuku au mbuzi.

Takwimu zinatoa dira katika kufanya maamuzi ambayo yatasave maisha ya watu kibao. Bila ya takwimu ni sawa na kipofu anaetaka kuvuka barabara.
Sizungumzii hitilafu, nachozungumzia ni hali ya kuhesabu kifo cha corona kwa sababu tu marehemu alipimwa na kukutwa na hivyo virusi lakini hata kama amefariki na ugonjwa wa moyo au kansa maadamu alikuwa postive basi kunakuwa na hitimisho na marehemu kafa corona na kuingia kwenye takwimu.
 
Hiyo Corona ulimpa wewe
 
Hebu mkuu nisaidie hivi kuna tofauti ya kufa kwa corona na kufa ukiwa na corona? Yani mtu kufa kwa maradhi mengine ila alikuwa na virusi vya corona au kila mwenye virusi vya corona akifariki huhesabika ni kifo cha corona tu?

Maana najiuliza mfano huko India pia kuna vifo vya watu vyenye kusababishwa na magonjwa mengine kama ilivyokuwa kama kabla ya corona au hivyo vifo havipo tena na corona ndio imechukua ya hivyo vifo?
Inafikirisha
 
Hivi India hawakuchanjwa?.. wao si ndo wanazalusha chanjo karibia zote kwenda UK, sasa umekuaje leo wao ndo wanaongoza kufariki?

Sio jambo jema sana kwa dunia ya leo kuapply chanjo nzuto kama hiyo kwa kukurupuka kabisa

Kwanini hawataki kuachia patent iliyotumika kama kweli wana nia nzuri na sisi??

Chanjo ni muhimu.. lakini tusijekurupuka tukajuta baadae

Mkuu inabidi ujue patent right ni nini ili uitenganishe na mada. Yaani unataka mtu awekeze kwenye mamilioni ya dola kwenye R&D halafu aliyewekeza sifuri aje atelezee tu? Unajua zaidi ya 50% ya bei ya bidhaa imetokana na gharama za R&D?? Katika kutunza patent rights zao - wanaficha hata ingredients za chanjo pamoja na formula! Hata wao hawakushirikiana na ndio maana lia utendaji (efficacy) ya chanjo hizo ni tofauti!!

Ukweli ni huu!! Usingefahamishwa hayo madhara na wao wenyewe - usingejua hata zina madhara na wasiwasi wetu huenda hata usingekuwepo. Tungetaka chanjo hizi hizi! Chanjo ya covid-19 haitakuja kubadilika na kutotumia rDNA na nikutoka na kisifa cha virus mwenyewe. Hata ukimwi utakuja kupata chanjo ya namna hii hii.

Tutasubiri sana lakini mwisho wake tutapata chanzo na mfumo huu huu labda zikiwa madhara kidogo kwa miili yetu! Tukitaka namna nyingine tufanye utafiti na ugunduzi wetu wenyewe. Nilidhani hata ungepigia debe nyungu, NIMCARF, covidol na nyingine. Unadhani kwanini Gwajima hakuzitaja kama ni dawa?? Yaani tukae tusubiri tu wengine watuletee masuluhisho huku sisi tukihofia hata chanjo ambazo tunachomwa tayari bila hata utafiti wetu wenyewe???
 
Kwani kabla ya corona takwimu za vifo zikoje mfano huko India kwa watu wenye magonjwa kama ya moyo,kansa,presha,kisukari n.k na baada ya kuingi corona hali ya uangali na kutibiwa kwa watu wenye matatizo kama hayo ikoje? Maana nakumbuka pale muhimbili wagonjwa kama wa moyo walikuwa hawaendi clinic zao kuogopa kupata corona huko hospitali, kitu ambacho kilikuwa kina hatarisha maisha yao.
Tofautisha magonjwa ya kuambukizana tena ya mlipuko. Ndio maana Ukimwi or covid unapewa coverage coz kila mtu ni potential kuupata.

Kiufupi mafua ya kawaida tu huuwa watu laki 5 kila mwaka..... Hta ya mafua ya ndege na nguruwe yaliua sana but haimasnishi ndio upotezewe eti sababu hta kabla ya covid watu bado walikufa tu!! Hyo ni mentality mbovu.

Mfano wazazi wangu wana matatizo ya moyo miaka yote ila Covid ilipowapiga wakawekwa ICU!! Ikimaanisha kuna correlation kati ya kuongezeka vifo vya wenye matatizo ya moyo na ongezeko la Covid ingawa haimaanishi kuna causal relationship.

Cc bernard10
 
Back
Top Bottom