Sio kwa uwekezaji kama huu katika elimuhivi watalaamu wetu wa ndani wana capacity ya kujua ubora, udhaifu, madhara, faida ya cnanjo zilizopo kwa sasa na years to come?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa uwekezaji kama huu katika elimuhivi watalaamu wetu wa ndani wana capacity ya kujua ubora, udhaifu, madhara, faida ya cnanjo zilizopo kwa sasa na years to come?
Utajuaje athari zake wakati hata huna takwimu za wagonjwa wa corona ? Tulikataa kufuata maelekezo ya kutest na kueka data za wagonjwa. Ukiwa huna takwimu za wagonjwa wangapi wameathirika, wamerecover na wangapi wamerafiriki utaweza vipi kufanya hata maamuzi kama taifa ?Ukiambiwa utupe japo athar mbil za corona tanzania tofaut na kiuchumi unazo?..ebu nambie huitaj mwingine wa chanjo Tanzania tofaut na wanao taka kwa ajili ya kusafir uko nje.
Hapo kwenye takwimu za corona, ningeomba kuuliza hivi kunatofautishwa vifo vya watu vilivyo sababishwa na corona na vifo visivyosababishwa na corona ila marehemu alikuwa au amekutwa na virusi vya corona? Mfano mtu alikuwa anaumwa zake malaria akawa anajiuguza zake ndani ila mara ghafla hali ikawa mbaya na kupelekwa hospitali ila bahati mbaya akafariki ila kuchukuliwa vipimo vikaonesha alikuwa na malaria na virusi vya corona, je hiki kifo pia kinaingia kwenye takwimu kuwa ni kifo cha corona?Utajuaje athari zake wakati hata huna takwimu za wagonjwa wa corona ? Tulikataa kufuata maelekezo ya kutest na kueka data za wagonjwa. Ukiwa huna takwimu za wagonjwa wangapi wameathirika, wamerecover na wangapi wamerafiriki utaweza vipi kufanya hata maamuzi kama taifa ?
Nikuambie takwimu zinaonesha, waathirika wa covid-vaccines kama side effects leading to death ni wachache mno. Ukitazama uwezekano wa kuathirika na kupata permanent health damage kwa mtu mwenye afya yake ni 1 / 10. Hii ni sababu ya msingi na tosha kukubali vacine.
Kupiga vacine ya kuepuka covid sio kwa ajili ya kusafiri kama unavyotaka tuamini. Ni sababu za kiafya kukimbia kupata maradhi yenyewe. Ukiacha vacine unachukua risk ya 1 / 10 ya kuathirika au kuwa mchovu kwa kipindi kirefu (miezi kadhaa). Hapa tunazungumza uchovu wa kiasi ya kijana mbichi kushindwa hata kupanda ngazi!
Miaka mitano imepita sasa toka tumeachana na yellow fever vaccination ya kila miaka 10. Kwa sasa unachomwa mara moja tu katika maisha yako yoteNadhani chanjo huwa haijalishi ugonjwa upo au hamna.... Ni kama homa ya manjano tu huwa tunapigwa chanjo kila miaka 10 whether ugonjwa upo ama lah.
That said issue hapa ni kuomba patent tutengeneze za kwetu kukosoa tu na kejeli za bungeni kwa chanjo za mabeberu ni kujidhalilisha tu.
Kama hawaziamini ni rahisi tu tuombe leseni tutengeneze za kwetu maana tumeshindwa kubuni yetu. Tuache kujificha kwenye madhaifu ya chanjo za wenzetu
Chukulia mfano huu labda, mgonjwa alikuwa na maradhi ya moyo, sukari, mapafu n.k (maradhi yoyote au hata bila maradhi mtu yuko na afya njema kabisa). Anaishi siku zote bila ya taabu, mara kazidiwa ghafla kupelekwa spitali safari ya mauti imemfikia. Mgonjwa huyu akipimwa na kugundulika ana virusi vya covid-19, basi kitakwimu huyu amefariki na covid-19 na sio hayo maradhi mengine.Hapo kwenye takwimu za corona, ningeomba kuuliza hivi kunatofautishwa vifo vya watu vilivyo sababishwa na corona na vifo visivyosababishwa na corona ila marehemu alikuwa au amekutwa na virusi vya corona? Mfano mtu alikuwa anaumwa zake malaria akawa anajiuguza zake ndani ila mara ghafla hali ikawa mbaya na kupelekwa hospitali ila bahati mbaya akafariki ila kuchukuliwa vipimo vikaonesha alikuwa na malaria na virusi vya corona, je hiki kifo pia kinaingia kwenye takwimu kuwa ni kifo cha corona?
Wamechanjwa below 20% subiri hizo chanjo zote billion 2 zimalizike tuone hizi kejeli zako zitakua na faida gani!!Hivi India hawakuchanjwa?.. wao si ndo wanazalusha chanjo karibia zote kwenda UK, sasa umekuaje leo wao ndo wanaongoza kufariki?
Sio jambo jema sana kwa dunia ya leo kuapply chanjo nzuto kama hiyo kwa kukurupuka kabisa
Kwanini hawataki kuachia patent iliyotumika kama kweli wana nia nzuri na sisi??
Chanjo ni muhimu.. lakini tusijekurupuka tukajuta baadae
Sasa mkuu hauoni kwa mfumo huo ni kwamba hata mtu aliyepata ajali labda ya gari na kwenda kufia hospitali pia atahesabiwa ni kifo cha covid-19 kwa sababu alipimwa na kukutwa na hivyo virusi vya corona?Chukulia mfano huu labda, mgonjwa alikuwa na maradhi ya moyo, sukari, mapafu n.k (maradhi yoyote au hata bila maradhi mtu yuko na afya njema kabisa). Anaishi siku zote bila ya taabu, mara kazidiwa ghafla kupelekwa spitali safari ya mauti imemfikia. Mgonjwa huyu akipimwa na kugundulika ana virusi vya covid-19, basi kitakwimu huyu amefariki na covid-19 na sio hayo maradhi mengine.
Mie si daktari lakini logic, hayo maradhi mengine hayajamuondosha duniani bali tunasema kwa lugha ya kiengereza "cause of death is complications from covid-19"
Hebu mkuu nisaidie hivi kuna tofauti ya kufa kwa corona na kufa ukiwa na corona? Yani mtu kufa kwa maradhi mengine ila alikuwa na virusi vya corona au kila mwenye virusi vya corona akifariki huhesabika ni kifo cha corona tu?Wamechanjwa below 20% subiri hizo chanjo zote billion 2 zimalizike tuone hizi kejeli zako zitakua na faida gani!!
Btw wanaokufa india ni chini ya 1% ya wote waliougua mfano juzi watu waliogundulika ni laki 360 ila waliofariki ni elfu moja na kitu.
Watu wana raia zaidi ya billion moja ndio maana 1% yao ni kubwa kuliko yetu ila kma wangekua ni ncho yenye watu million 50 kma sisi of course ungeona namba ni ndogo tu.
Afrika nzima tunalingana na population ya india pekee sasa kwenye situation hiyo watu buku ni mshtuko?
Kinachoangaliwa ni symptoms zilizopelekea kifo cha mtu but kuna wale hawaonyeshi dalili ingawa covid inawatafuna ndani kwa ndani so inakua ngumu kupata directly waliokufa na covid.Hebu mkuu nisaidie hivi kuna tofauti ya kufa kwa corona na kufa ukiwa na corona? Yani mtu kufa kwa maradhi mengine ila alikuwa na virusi vya corona au kila mwenye virusi vya corona akifariki huhesabika ni kifo cha corona tu?
Maana najiuliza mfano huko India pia kuna vifo vya watu vyenye kusababishwa na magonjwa mengine kama ilivyokuwa kama kabla ya corona au hivyo vifo havipo tena na corona ndio imechukua ya hivyo vifo?
Sioni mkuu, naona ni sawia kabisa ukusanyaji umenikalia vyema tuu. Ulitaka 100 % accurate statistics ? Pole sana katika sayansi ya takwimu kuna margin of error/accuracy etc. Huyo mtu mmoja ambae data zilikuwa na hitilafu hawezi haribu picha nzima ya takwimu.Sasa mkuu hauoni kwa mfumo huo ni kwamba hata mtu aliyepata ajali labda ya gari na kwenda kufia hospitali pia atahesabiwa ni kifo cha covid-19 kwa sababu alipimwa na kukutwa na hivyo virusi vya corona?
Namuunga mikono yote miwili na miguu yote miwili. Hawa wataalam wa kukopi na kubandika kwa kujali matumbo yao ni hatari kwa Taifa.Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa na Waziri Dorothy Gwajima.
Amefafanua, "Mimi sipo kinyume na Chanjo za Corona wala Chanjo yoyote. Mtu asininukuu napinga Chanjo, hapana! Tanzania tulishachanjwa Chanjo ya Kifua Kikuu, Surua, Kifaduro na Polio".
Amesema ni kweli Tanzania ikikataa Chanjo inaweza kuwekewa zuio la kwenda Ulaya. Ameeleza, "Tunakabiliwa na uchaguzi mbaya sana, tuchanjwe kitu tusichokijua sawa sawa au tusichanjwe tuzuiwe kwenda Ulaya".
Ameiomba Wizara ya Afya kuangalia suala la Chanjo kwa umakini, akisema waangalie madhara ya sasa, ya siku zijazo na ya Taifa. Ameongeza kuwa, tatizo lililopo ni kufikiri kila kinachotoka Ulaya kinafaa.
Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".
Kwani kabla ya corona takwimu za vifo zikoje mfano huko India kwa watu wenye magonjwa kama ya moyo,kansa,presha,kisukari n.k na baada ya kuingi corona hali ya uangali na kutibiwa kwa watu wenye matatizo kama hayo ikoje? Maana nakumbuka pale muhimbili wagonjwa kama wa moyo walikuwa hawaendi clinic zao kuogopa kupata corona huko hospitali, kitu ambacho kilikuwa kina hatarisha maisha yao.Kinachoangaliwa ni symptoms zilizopelekea kifo cha mtu but kuna wale hawaonyeshi dalili ingawa covid inawatafuna ndani kwa ndani so inakua ngumu kupata directly waliokufa na covid.
So inachofanyika wanaangalia je kifo chake kilikua na viashiria vya symptoms za corona kma breathing problems ama mapafu kupata mgandamizo n.k mwisho wa siku ndio wana conclude alikufa kwa Covid 19-related complications whether ilikua direct ama lah.
Najua hoja yako hapa ni kwamba wana covid ila sio iliyowauwa. But basically wengi huko india walikua na symptoms za covid kabisa ndio maana mitungi ikapata demand kubwa. So obvious vifo vikiwa vingi kutokana na breathing complications obvious utaconclude hyo ndio primary cause of death irrespective of underlying chronic infections.
Sizungumzii hitilafu, nachozungumzia ni hali ya kuhesabu kifo cha corona kwa sababu tu marehemu alipimwa na kukutwa na hivyo virusi lakini hata kama amefariki na ugonjwa wa moyo au kansa maadamu alikuwa postive basi kunakuwa na hitimisho na marehemu kafa corona na kuingia kwenye takwimu.Sioni mkuu, naona ni sawia kabisa ukusanyaji umenikalia vyema tuu. Ulitaka 100 % accurate statistics ? Pole sana katika sayansi ya takwimu kuna margin of error/accuracy etc. Huyo mtu mmoja ambae data zilikuwa na hitilafu hawezi haribu picha nzima ya takwimu.
Tazameni sasa Samia anataka kufanya maamuzi juu ya covid-19. Anakosa takwimu kama nilivyoeleza awali. Matokeo yake maamuzi yatakayofanyika msimlaumu, acheni tufe tuu kama kuku au mbuzi.
Takwimu zinatoa dira katika kufanya maamuzi ambayo yatasave maisha ya watu kibao. Bila ya takwimu ni sawa na kipofu anaetaka kuvuka barabara.
Hiyo Corona ulimpa weweSizungumzii hitilafu, nachozungumzia ni hali ya kuhesabu kifo cha corona kwa sababu tu marehemu alipimwa na kukutwa na hivyo virusi lakini hata kama amefariki na ugonjwa wa moyo au kansa maadamu alikuwa postive basi kunakuwa na hitimisho na marehemu kafa corona na kuingia kwenye takwimu.
Real ??Jamaa amebaki kuwa a real member of parliament,
Nani tena unamkusudia?Hiyo Corona ulimpa wewe
InafikirishaHebu mkuu nisaidie hivi kuna tofauti ya kufa kwa corona na kufa ukiwa na corona? Yani mtu kufa kwa maradhi mengine ila alikuwa na virusi vya corona au kila mwenye virusi vya corona akifariki huhesabika ni kifo cha corona tu?
Maana najiuliza mfano huko India pia kuna vifo vya watu vyenye kusababishwa na magonjwa mengine kama ilivyokuwa kama kabla ya corona au hivyo vifo havipo tena na corona ndio imechukua ya hivyo vifo?
Hivi India hawakuchanjwa?.. wao si ndo wanazalusha chanjo karibia zote kwenda UK, sasa umekuaje leo wao ndo wanaongoza kufariki?
Sio jambo jema sana kwa dunia ya leo kuapply chanjo nzuto kama hiyo kwa kukurupuka kabisa
Kwanini hawataki kuachia patent iliyotumika kama kweli wana nia nzuri na sisi??
Chanjo ni muhimu.. lakini tusijekurupuka tukajuta baadae
Tofautisha magonjwa ya kuambukizana tena ya mlipuko. Ndio maana Ukimwi or covid unapewa coverage coz kila mtu ni potential kuupata.Kwani kabla ya corona takwimu za vifo zikoje mfano huko India kwa watu wenye magonjwa kama ya moyo,kansa,presha,kisukari n.k na baada ya kuingi corona hali ya uangali na kutibiwa kwa watu wenye matatizo kama hayo ikoje? Maana nakumbuka pale muhimbili wagonjwa kama wa moyo walikuwa hawaendi clinic zao kuogopa kupata corona huko hospitali, kitu ambacho kilikuwa kina hatarisha maisha yao.