muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
mavi yakiwa mabichi husumbua.[emoji90]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani hana Mungu?Gwajima ana Mungu lazima ashinde na hata akiamua kuwa waziri mkuu au raisi anaweza
atakuwa sahihi...ni mtu makini yuleNani hana Mungu?
Gwajima alisema Catholic ni dini ya mpinga kristo.
Ataropoka yote mwaka huu, walimsomesha akiwa mdogo halafu alivyokuwa mkubwa akawageuka kwa kusema angekuwa na uwezo angebadilisha misikiti yote iwe Sunday School.
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima.
Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali.
Kutokana na suala hilo Gwajima amesema alipata sababu ya kuusaidia uislamu hata alipokwenda Dar aliwasaidia kujenga visima vya maji.
Gwajima aliyasema hayo alipokuwa kwenye Mahafali ya darasa la saba ya shule ya Al Irshaad.
Hii kauli itamtafuna sana.Ataropoka yote mwaka huu, walimsomesha akiwa mdogo halafu alivyokuwa mkubwa akawageuka kwa kusema angekuwa na uwezo angebadilisha misikiti yote iwe Sunday School.
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima.
Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali.
Kutokana na suala hilo Gwajima amesema alipata sababu ya kuusaidia uislamu hata alipokwenda Dar aliwasaidia kujenga visima vya maji.
Gwajima aliyasema hayo alipokuwa kwenye Mahafali ya darasa la saba ya shule ya Al Irshaad.
Wewe na Bashite kuna tafauti gani?Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima.