Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Kweli hili jamaa kwa utapeli limekubuhu! kamwe asiaminike! kama anataka kuaminika tujue ni kweli basi afufue kwanza marehemu wiwili tunaowajua walikufa kweli na kuponya vilema 2 tunaowajua ni vilema kweli!
 
Kuna stori moja pengine ushawahi kuisikia.

Jambazi alivamia nyumba moja akawakuta wanandoa wapo sebuleni baada ya kuiba na kutaka kuondoka akamuuliza mke;

Jambazi: Unaitwa nani?

Mke: Naitwa Asha.

Jambazi: Una bahati una jina kama la mama yangu wewe siwezi kukuua.

Akamgeukia mume.

Jambazi: Unaitwa nani?

Mume: Naitwa Athman ila kazini wamezoea kuniita Asha kama jina la mama yako.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa ni fiksi hatari
 
"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sera gani wewe unataka?
Ni kwa bahati mbaya sana bora hata Chadema wangeleta mtu mwingine lakini siyo Halima!

Halima hana jipya!

Hata Campaigns zake Safari hii zimepwaya sana !

Faraja yake imebaki kwenye mtandao wa JF walau akisoma michango yenu ya kumsakama Gwajima yamkini anafarijika lakini sasa haisaidii kitu.
 
IMG-20201020-WA0226.jpg
 
Back
Top Bottom