Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima ana Mungu lazima ashinde na hata akiamua kuwa waziri mkuu au raisi anawezaMwambieni hatoboi
hajakana mzee!! issue ya kukaa msikitini na kuwajengea waislamu visima alishawahi kuiongelea muda mrefu tu kabla ya kugombea ubungeNdio maana sisi wengine tunawadharau sana wanaoenda kusali kwenye vijiwe vinavyoitwa makanisa ya watu binafsi mjinga kama huyo angekuwa mtumishi wa RC or Kkkt angeondelewa mapema sana...Unafikia
kukana Imani ili uchaguliwe kuwa mBunge SHAME
sio shida ilimradi hatumii nguvu kuwalazimisha yeye anapiga maombi tuAtaropoka yote mwaka huu, walimsomesha akiwa mdogo halafu alivyokuwa mkubwa akawageuka kwa kusema angekuwa na uwezo angebadilisha misikiti yote iwe Sunday School.
Gwajima ana Mungu lazima ashinde hilo halina mjadalaMimi ni mwana CCM damu, hapa nasema tena nasisitiza, Halima Mdee akimshinda Gwajima, nitafanya karamu Kawe, nitatoa ng'ombe wawili junia na mchele tena wa basmati, gharama ya mapishi. Yote hayo kwa furaha ya huyu mchawi na mshirikina akipigwa chini. Nina washawishi watanzania wote wa Kawe wampigie kura Halima au mbunge yoyote mwengine isipokuwa Gwajima, nazidi kushauri apigiwe Halima kwa sababu kura zikitawanyika Gwajima anaweza shinda.
We ni muongo sana ndio maana unadaiwa ada!
kwani analazimisha misikiti kuwa Sunday school? yeye anapiga maombi tu.ingekuwa anawatishia waislamu wabadili dini hapo sawaAhache unafiki wake, uyu nguruwe pori kaahidi kuigeuza misikiti yetu mitukufu kuwa sunday school.
Kwa wakristo wanaopenda amani kwa vyovyote wamechukizwa na mpango wake huo na watamnyima kura ila kwa mwislam atakayempigia kura Naamini Laaaana ya Allah lazima imfike yeye na uzao wake inshallah.
alikutapeli nini?Gwajima Ni tapeli pure
Ccm yote haifai. Dawa ni kuipiga chini hiyo October 28Na Mimi ni Mwana Ccm tena Mkazi wa Kawe kanisani, katika Mambo yatayonihuzunisha kwa kweli ni Sisi kupata ushindi kwny Jimbo hili!
Kamati kuu ya Ccm imetudharau sana watu wa Kawe kutuletea hiki Kinyago
Mgombea Ubunge Jimb la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima.
Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali.
Kutokana na suala hilo Gwajima amesema alipata sababu ya kuusaidia uislamu hata alipokwenda Dar aliwasaidia kujenga visima vya maji.
Gwajima aliyasema hayo alipokuwa kwenye Mahafali ya darasa la saba ya shule ya Al Irshaad.
Mgombea Ubunge Jimb la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima...