Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Bora angetulia kimyaaa maana watu walianza kusahau.

Hapo ndo ame activate profile yake.!
 
Uyo jamaa facial expression yake tu ni tapeli wanaomskilizaga wote anawaweza
 
Leo hii anadai aliwasaidia waislam.
Ras
hid muongo sana kaishatoa ahad nyingi. Mara nitawapeleka vijana USA.
Ataropoka yote mwaka huu, walimsomesha akiwa mdogo halafu alivyokuwa mkubwa akawageuka kwa kusema angekuwa na uwezo angebadilisha misikiti yote iwe Sunday School.
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈ
 

Wewe na Bashite kuna tafauti gani?
 
Sasa akikosa Ubunge ile misukule yake pale ubungo itaendelea kumuamini?
 
Chidy bwayi katika ubora wake...na mimi nina jina la babu yangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…