Askofu Gwajima: Rais Sio mzalendo namba moja nchini, Mwanajeshi ndio mzalendo namba moja

Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima

Hivi kumbe na wewe ni punguani wa kiwango hiki:

Hujui kuwa hata Id Amin alikuwa ni Amiri Jeshi Mkuu? Kwa akili yako ndogo, Id Amin alikuwa mzalendo?
 
Luca amjibu na huyu sasa.
Aandae walaka
 
Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Amiri jeshi mkuu kwenye makaratasi alichoongea Gwajima ni uhalisia ulishawahi kuona nchi Gani duniani imeingia kwenye machafuko raisi akachukua bunduki kuongoza msafara?
 
Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Acha ufara wewe apa anaongea uhalisia siyo nadharia. Wakati tunapigana na Id-amin. Ulimuona nyerere popote akiwa na siraha? Zaidi ya kusema eti uwezo tunao, nia tunayo, na sababu ya kumpiga tunayo. Lakin alikaa ikulu na kula nyama choma. Au ulikuwa hujazaliwa bwege wee
 
Amiri jeshi mkuu kwenye makaratasi alichoongea Gwajima ni uhalisia ulishawahi kuona nchi Gani duniani imeingia kwenye machafuko raisi akachukua bunduki kuongoza msafara?
Inawezekana tukawa hatujui kuwa haya masuala wewe huyajui ila ikianza kuandika humu ndio tunahitimisha kuwa hujui!
 
Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
alienda kwata lini
wanajeshi hawachaguliwi
wanajitoana kuamua wawe hapo

by the way hiyo CODE kubwa alilomaanizha SAMIA SIO MZARENDO hipo hvyo
 
Ameongea kicodes anachomaanisha JESHI LIPINDUE NCHI.NI BORA TUANZE UPYA KM KANU KENYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…