akishauriwa alikuwa anaacha. na ni visa vichache sana trust me.Wewe utakuwa unaishi Marekani au ulaya , yaani wakati wa Kikwete si walitekwa akina Ulimboka ?? wakati wa Magufuli ndio ulipamba moto utekaji , huku Zanzibar walitekwa akina Mansur wakalazimishwa Maalim waingie katika serikali ya umoja wa kitaifa , kuna mgombea wa CCM mpaka leo hajaonekana tena
Mgerasi tulia leo ni siku Kuu ya kupaa kwa BWANA WETU YESU KRISTONoma
Tunaiomba hiyo siku tokea 1964 na wamepotea wengi walioomba hivyo tokea enzi za Laanatullahi NyerereMbona ameshajitokeza juzi kwenye mkutano mkuu wa CCM, sema zipigwe hadi arudi nchini kwao atuachie Tanganyika yetu.
Nadhan amechukua hatua zote kulinda usalamaNashauri Askofu awe makini na brand za maji anayopendelea na maeneo anakoyanunua,
View attachment 3352734
Tuliambiwa na Mstaafu hali ilivyo sasa chamani mwetu hatuwezi kuachiana maji mezani
Sawq bwasheeMgerasi tulia leo ni siku Kuu ya kupaa kwa BWANA WETU YESU KRISTO
Tuko pamojaHahaha naona master
Komboeni tu hiyo energy mimi sina bwasheeTuko pamoja
Wacha kwanza tukomboe Tanganyika yetu.
Rashidi ni bonge la entertainer
Bado upo Dodoma kwenye uzinduzi wa jengo la Chama?Komboeni tu hiyo energy mimi sina bwashee
Jinsi nilivyo mlafi wa pesa wakinikabidhi hilo chama watakuta hazina kuna 3000 tu.π πBado upo Dodoma kwenye uzinduzi wa jengo la Chama?
ππ π Pesa kula ruksa, tatizo ni kula pesa na kuamua kuteka, kuuwa na kupoteza Kenge wa TanganyikaJinsi nilivyo mlafi wa pesa wakinikabidhi hilo chama watakuta hazina kuna 3000 tu.π π
A son of a bitch at his very best ,using a fake ID do not make you a hero ,it potrays you as a mere COWARD nothing else.NYUMBUThats umekuwa keyboard warrior maana huna uwezo huo, huna udhubutu wowote. Huna uwezo hata wa kujibu hoja
So stay down bit*ch
Ila siamini kuwa wanaoteka ni viongozi , naona kama ni chawa tu na kutokana wanafanya uchawa kuna namna kuna kuwa na kaaibu fulani kuchukua maamuzi,ila nimewaza tu π€ππ π Pesa kula ruksa, tatizo ni kula pesa na kuamua kuteka, kuuwa na kupoteza Kenge wa Tanganyika
si wamo kwenye maombi na wao . kwa mbali naona hapa kuna tamthiliaAu wasiojulikana washavamia kanisa?π€π€
Ponjoro wa Kino, hajakijua kichwa cha Gwajima.
View: https://www.youtube.com/watch?v=NhpB9Zh2_6Y
Askofu Gwajima ameanza kwa kuwaambia waumini wasimame na kuimba wimbo wa 'Tanzania Tanzania', na kuongeza japokuwa tuna makabila tofauti tofauti lakini Tanzania ni yetu sote.
--
Gwajima anawaelezea waumini kuhusu mkutano wa waandishi wa habari aliofanya kuhusu suala la utekaji nchini lakini pamoja na mapendekezo aliyotoa kuhusu uteuzi wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Anasema baada ya kuongea, Sheikh Jabiri huko Zanzibar alitekwa juzi tarehe 28 na mwili wake kupatikana ukiwa umetelekezwa. Watekaji wanateka MwanaCCM na watu wengine.
Chama cha Mapinduzi hakikubali utekaji, na mimi ni mwanachama wa CCM, hivyo naungana na waasisi na waliowahi kutangulia uongozi kuwa hatukubaliani na hili. Anayeteka watu ni kwa malengo yake mwenyewe. Yeyote anayepingana na mimi wenyewe mtajua mtamuitaje.
Gwajima ameongezea mifano ya watoto wa viongozi (Mwinyi, Kikwete, Majiliwa, Magufuli) ikiwa watatekwa na kung'olewa macho wazazi wao watajisikiaje?
Baada ya kukemea mauaji na utekaji, imezaliwa terminology ya Gwajimanization. "Sasa nilipoona Gwajimanization nikataka niitafasiri, hii Gwajimanization maana yake nini?" aliuliza Gwajima kabla ya kufafanua.
"Gwajimanization ama Gwajimanizing ni ujasiri usioteteleka wa kusema kweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani, ni dhamiri thabiti ya kutetea maslahi ya taifa kuliko maslahi ya mtu binafsi na kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba, kiasi cha kusababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhulma katika nchi."
Kwenye hili suala la utekaji sitayumba, nitahakikisha kila aliyetekwa anajulikana yuko wapi na anafanya nini. Vaeni silaha kamili za Bwana ili kushindana na pepo wabaya na tutashinda.
Kwa CCM, Gwajima ni hazina yenu, mnaye mtu ambaye hamjamjua bado. Ni mtu wa Mungu wa watu wote. Natetea waislam waliotekwa, Wakristo waliotekwa bila kujali chama. Kama mtu amekosea si apelekwe mahakamani. Vyombo vya ulinzi na usalama hawateki, bila shaka kunaweza kuwa na kakikundi ka utekaji na ndiko nakatumia ujumbe.
Ponjoro wa Kinondoni anachezesha kamari ambazo hata Mungu hapendi, mimi nilitaja watoto wa watu wengi ila Ponjoro kasikitika kisa mtoto mmoja niliyemtolea mfano. Nampa onyo, nikimuamkia atabaki vipande vipande na atanuka kinyesi maana mimi ni Jasusi la Mbinguni.
Naishia hapo, ila mtu akinichokoa chokoa, nitaitisha press. Na nikiitisha ya pili moshi utafuka hutoweza kufumbua macho.
Tutashusha maombi, ili damu ya mtu anayetekwa imrudie yule anayeteka.
Wewe umegundua jambo.Hii michezo ya Gwajima na mwenyekiti wake kuna watani zangu wa NRNE itawatoa kwenye reli!! Ujamaa uliharibu sana akili ya Mtanzania!
Raisi Gwajima hiyo nchi labda muongozwe nyinyi watanganyika mtuachie nchi yetu ZanzibarUkweli ni kwamba Gwajima anafaa kuwa Rais ,tofauti na Saa100.