pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,644
- 14,813
MH gwajima kaingia King halafu ameshikilia main road hapo lazima ukubali kupanga upya.Sub namuona Mpina anapasha salaleeeeeeee
MH gwajima kaingia King halafu ameshikilia main road hapo lazima ukubali kupanga upya.Sub namuona Mpina anapasha salaleeeeeeee
Ni mtekaji kwani wewe ulikuwa hujuiYaani anataka kusema hata Samia ndio mtekaji huyu ashikwishwe adabu...
Kwamba kipindi cha Kikwete watu hawakutekwa??? Hauko serious mkuu. Lakini pia ni kosa sana kujiaminisha kuwa Rais ndio anateka... watu wametekwa kipindi cha Kikwete, JPM, na sasa maana yake Ukienda tofauti na mfumo sio hata Rais anayehangaika na wewe. Ukisikiliza story y pascal mayala utaelewa... kuna watu hapa kati ndio wanapeleka motooo. kudeal na Rais ni kupoteza muda tu... unafikiri Rais anaweza akatia mhuri mtu wa aina ya Kitima atekwe au apigwe?? Kwamba yeye hajui nguvu ya katoliki?? Hata kesho Rais akiwa Lissu kwa sababu fulani fulani watu watatekwa tu kiongozi.. dont over expect kwenye hii mifumoalipigwa mawe na kusifiwa sana, ila hoja ni kwamba, yeye hakujibu kwa kuteka, alinyamaza useme ukichoka unywe maji ukalale maisha yake yanaendelea na furaha yake. kujibizana na kushindana na watu huwa kunakuumiza wewe zaidi ya yule anayekukosea na utaishi maisha mafupi sana kwa kumaindi kila kitu hata vile vidogo ambavyo ungepotezea. kwa hali ilivyo sasa, hadi mtaani watu wanaamini nchi haiongozwi na usalama wa taifa na majeshi, wanaamini nchi inaongozwa na abdul mtoto wa mama na waziri msaidizi wa mama na baadhi ya watu wachache. kwa sabbu kwa weledi wa vyombo nilivyovitaja na namna vinavyofowasii maisha, sidhani kama hali ingekuwa ya kijinga namna hii. hapo lazima kuna mtu ambaye sio professional ameshika rungu. hatumtaki huyo mtu kwanza anaaibisha vyombo vyetu vya usalama.
Mbona ameshajitokeza juzi kwenye mkutano mkuu wa CCM, sema zipigwe hadi arudi nchini kwao atuachie Tanganyika yetu.Kisu kimegusa mfupa.
"Tuendelee kupiga makombora mpaka muhusika mwenyewe anaeteka watu atoke hadharani."-: Bishop Gwajima
naona zikiwekwa mbalimbali unaumia kweli kweli, ni kama unaona mnapigwa za uso nyingi kumbe ni kitu kilekile.Ushauri, hizi updates za gwajima weka kwenye uzi mmoja ili hata tunavyochangia tutoe michango inayochoma kweli kweli kwaajili ya tanzania yetu ya kesho.
Wakati Ukifika Umefika tuMuda sio mrefu tutahitaji VPN kuingia YouTube 🤔
Ashikishwe adabu anayemtaja mtekaji, au mtekaji ndio aadabishwe?Yaani anataka kusema hata Samia ndio mtekaji huyu ashikwishwe adabu...
Kina wa ngara umebadili jina kumbe🤣Nahitaji niwe nasali kanisani Kwa Gwajima
😂😅😂Eee saiv nipo na hiliKina wa ngara umebadili jina kumbe🤣
Karibu Sana ila hatafungui biblia .NI poronjoooo la kariakoo na mtekaji ndo habari ya kanisa.Nahitaji niwe nasali kanisani Kwa Gwajima
Anadhani watanzania wote ni wajinga kama hao wafuasi wake anaowaminisha kuwa huwa anafufua binadamu.Kwa nini tena
Hahaha naona master😂😅😂Eee saiv nipo na hili
Wewe utakuwa unaishi Marekani au ulaya , yaani wakati wa Kikwete si walitekwa akina Ulimboka ?? wakati wa Magufuli ndio ulipamba moto utekaji , huku Zanzibar walitekwa akina Mansur wakalazimishwa Maalim waingie katika serikali ya umoja wa kitaifa , kuna mgombea wa CCM mpaka leo hajaonekana tenaalipigwa mawe na kusifiwa sana, ila hoja ni kwamba, yeye hakujibu kwa kuteka, alinyamaza useme ukichoka unywe maji ukalale maisha yake yanaendelea na furaha yake. kujibizana na kushindana na watu huwa kunakuumiza wewe zaidi ya yule anayekukosea na utaishi maisha mafupi sana kwa kumaindi kila kitu hata vile vidogo ambavyo ungepotezea. kwa hali ilivyo sasa, hadi mtaani watu wanaamini nchi haiongozwi na usalama wa taifa na majeshi, wanaamini nchi inaongozwa na abdul mtoto wa mama na waziri msaidizi wa mama na baadhi ya watu wachache. kwa sabbu kwa weledi wa vyombo nilivyovitaja na namna vinavyofowasii maisha, sidhani kama hali ingekuwa ya kijinga namna hii. hapo lazima kuna mtu ambaye sio professional ameshika rungu. hatumtaki huyo mtu kwanza anaaibisha vyombo vyetu vya usalama.
Tumia jina halisi ndio utajua hujui ,kwa nini unifiche kwa majina bandia ?Unawashwawashwa kunako nini unhitaj kisuguliwe