Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Sio mziki tu,kavamia mtubwi na mziki wa vibwengo vyote kwa pamoja.Mkamaria atajua hajui.Yule ponjoro usikubari yahishe kumbuka ya bashite .sasa kama unataka mziki wa misomisondo tulia na unamakashabraka yako kwa gwajima.
leo kakuweka kiporo.
kumbe majina kama chura,kasongo na leo pnjoro tumelijua ni lako.
Anasema kama mtu atakaye mchokoa kwa wiki hataitisha press mara mbili kwa wiki.
SASA WASANII KUWENI MAKINI