PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Askofu gwajima asema CCM si chama cha utekaji, na kinapinga kwa nguvu zote kama yeye anavyofanya. Asema utekaji si sera ya CCM, ataendelea kuipenda CCM lakini kwenye utekaji atakataa milele.

Asema ukiona anaongelea utekaji na watu wanampinga basi wapo watu wanajua hiyo itakuwa inamaanisha nini.

Kenge hatuhitaji D2 kuelewa si ndio?🌚

Ponjoro wa kinondoni akae kwa kutulia asije akavurugwa vipande vipande ,akimchokoza Gwajiboy ataliamsha Dude.
 
very big mistake walifanya kumjibu. siku zote tunawashauri hawa watu wasiishi kama bado wapo karne ya kina hitler ila ya ubabe,wao wanaamua kutumia nguvu badala ya akili. kikwete alitawala kwa furaha na hadi leo ni kama kijana kwa sababu alitawala kwa akili, hakutawala kwa nguvu. gajima ilitakiwa wamuache tu, warekebishe palipo na ufa maisha yaendelee. magufuli alichokuwa anafanya, ukimsema anafoka ila anajirekebisha kimya kimya. waliomzunguka mama kwa karibi naamini hawamshauri vizuri na hawamtakii mema.

watu wanaotumia nguvu badala ya akili (hekima na busara na kupima mizani) huwa nawalinganisha na wanawake wanaoringia makalio badala ya akili. yaani ukiondoa makalio, ni bure kabisa hata ukisafiri usifikiri umeacha mtu nyumbani, ni kama umeacha makalio fulani nyumbani, hadi watoto watamzidi akili.
 
Lazima Gwaji ana back up! Kuna walio nyuma yake.
Nachojiuliza wale aliosema wanaogopa kushughulikia Wauaji na Watekaji kwa hofu ya kupoteza kazi au kuhamishiwa ubarozi mbona hawatoi Tamko la Kukanusha press ya Gwaji?
 
very big mistake walifanya kumjibu. siku zote tunawashauri hawa watu wasiishi kama bado wapo karne ya kina hitler ila ya ubabe,wao wanaamua kutumia nguvu badala ya akili. kikwete alitawala kwa furaha na hadi leo ni kama kijana kwa sababu alitawala kwa akili, hakutawala kwa nguvu. gajima ilitakiwa wamuache tu, warekebishe palipo na ufa maisha yaendelee. magufuli alichokuwa anafanya, ukimsema anafoka ila anajirekebisha kimya kimya. waliomzunguka mama kwa karibi naamini hawamshauri vizuri na hawamtakii mema.
Hata huyu tutamsifu sana akishastaafu, si ndio watanzania tulivyo??? Kwani kikwete alisifiwa??? Si alipigwa mawee enzi za utawala wake?? JPM je waliomkandia kipindi kile saizi ndio chawa wake wakubwa??? Akishaondoka na huyu tutasema bora SSH
 
alipigwa mawe na kusifiwa sana, ila hoja ni kwamba, yeye hakujibu kwa kuteka, alinyamaza useme ukichoka unywe maji ukalale maisha yake yanaendelea na furaha yake. kujibizana na kushindana na watu huwa kunakuumiza wewe zaidi ya yule anayekukosea na utaishi maisha mafupi sana kwa kumaindi kila kitu hata vile vidogo ambavyo ungepotezea. kwa hali ilivyo sasa, hadi mtaani watu wanaamini nchi haiongozwi na usalama wa taifa na majeshi, wanaamini nchi inaongozwa na abdul mtoto wa mama na waziri msaidizi wa mama na baadhi ya watu wachache. kwa sabbu kwa weledi wa vyombo nilivyovitaja na namna vinavyofowasii maisha, sidhani kama hali ingekuwa ya kijinga namna hii. hapo lazima kuna mtu ambaye sio professional ameshika rungu. hatumtaki huyo mtu kwanza anaaibisha vyombo vyetu vya usalama.
 
Ningekuwa na uwezo aisee huyu Gwajima ningempiga risasi hadharani
Thats umekuwa keyboard warrior maana huna uwezo huo, huna udhubutu wowote. Huna uwezo hata wa kujibu hoja

So stay down bit*ch
 
Nashauri Askofu awe makini na brand za maji anayopendelea na maeneo anakoyanunua,
SmartSelect_20250601_135152_Samsung Internet.jpg

Tuliambiwa na Mstaafu hali ilivyo sasa chamani mwetu hatuwezi kuachiana maji mezani
 
Back
Top Bottom