Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
No reform no election ⚒️ 💯Mtumishi wa Mungu anazidi kuwachachafya watekaji na wauaji wa Wawatanzia.
Aaapa mbele za Mbingu, ataendelea kuwachachafya Hadi Utekaji Ukome mara Moja.
No reform no election ⚒️ 💯Mtumishi wa Mungu anazidi kuwachachafya watekaji na wauaji wa Wawatanzia.
Aaapa mbele za Mbingu, ataendelea kuwachachafya Hadi Utekaji Ukome mara Moja.
Qmmk hakana marinda
View: https://www.youtube.com/watch?v=NhpB9Zh2_6Y
Askofu Gwajima ameanza kwa kuwaambia waumini wasimame na kuimba wimbo wa 'Tanzania Tanzania', na kuongeza japokuwa tuna makabila tofauti tofauti lakini Tanzania ni yetu sote.
--
Gwajima anawaelezea waumini kuhusu mkutano wa waandishi wa habari aliofanya kuhusu suala la utekaji nchini lakini pamoja na mapendekezo aliyotoa kuhusu uteuzi wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Anasema baada ya kuongea, Sheikh Jabiri huko Zanzibar alitekwa juzi tarehe 28 na mwili wake kupatikana ukiwa umetelekezwa. Watekaji wanateka MwanaCCM na watu wengine.
Chama cha Mapinduzi hakikubali utekaji, na mimi ni mwanachama wa CCM, hivyo naungana na waasisi na waliowahi kutangulia uongozi kuwa hatukubaliani na hili. Anayeteka watu ni kwa malengo yake mwenyewe. Yeyote anayepingana na mimi wenyewe mtajua mtamuitaje.
Gwajima ameongezea mifano ya watoto wa viongozi (Mwinyi, Kikwete, Majiliwa, Magufuli) ikiwa watatekwa na kung'olewa macho wazazi wao watajisikiaje?
Baada ya kukemea mauaji na utekaji, imezaliwa terminology ya Gwajimanization.
Kwenye hili suala sitayumba, nitahakikisha kila aliyetekwa anajulikana yuko wapi na anafanya nini. Vaeni silaha kamili za Bwana ili kushindana na pepo wabaya na tutashinda.
Kwa CCM, Gwajima ni hazina yenu, mnaye mtu ambaye hamjamjua bado. Ni mtu wa Mungu wa watu wote. Natetea waislam waliotekwa, Wakristo waliotekwa bila kujali chama. Kama mtu amekosea si apelekwe mahakamani. Vyombo vya ulinzi na usalama hawateki, bila shaka kunaweza kuwa na kakikundi ka utekaji na ndiko nakatumia ujumbe.
Ponjoro wa Kinondoni anachezesha kamari ambazo hata Mungu hapendi, mimi nilitaja watoto wa watu wengi ila Ponjoro kasikitika kisa mtoto mmoja niliyemtolea mfano. Nampa onyo, nikimuamkia atabaki vipande vipande na atanuka kinyesi maana mimi ni Jasusi la Mbinguni.
Naishia hapo, ila mtu akinichokoa chokoa, nitaitisha press. Na nikiitisha ya pili moshi utafuka hutoweza kufumbua macho.
Tutashusha maombi, ili damu ya mtu anayetekwa imrudie yule anayeteka.
Kwa nini tenaNingekuwa na uwezo aisee huyu Gwajima ningempiga risasi hadharani
😂😂Google inasema ni mdudu anayeviringisha mavi kuwa kama mpira na kusafirisha kwa ajili ya chakula na kutagia mayai.
Direction yako yaani!Ni kama amepoteza direction, lengo lake halikuwa ilivyopokelewa.
Let's see
Wapambe wanapiga shangwe ila naona wasiwasi kwa familia yake gwajima kwa wakati huu wanapitia hali ngumu sana wamshauri mzee wao angetulia kwanza watu wamechafukwa sana kwa sasa na ni makatili sana anything can happen to him.Askofu gwajima asema CCM si chama cha utekaji, na kinapinga kwa nguvu zote kama yeye anavyofanya. Asema utekaji si sera ya CCM, ataendelea kuipenda CCM lakini kwenye utekaji atakataa milele.
Asema ukiona anaongelea utekaji na watu wanampinga basi wapo watu wanajua hiyo itakuwa inamaanisha nini.
Kenge hatuhitaji D2 kuelewa si ndio?🌚
Nenda kalilie kule mbali.Suala la kuchamba huyo Gwajiboy ndio mtaalamu ,mnakumbuka alimchamba Gwajima mwenzie Hadi akaomba poo 😂😂
Huyo bwana alizaliwa mwanaume Kwa bahati mbaya anategemea mdomo umuokoe
Inawezekana wanaopinga wana masilahi binafsi, kikikikiAskofu gwajima asema CCM si chama cha utekaji, na kinapinga kwa nguvu zote kama yeye anavyofanya. Asema utekaji si sera ya CCM, ataendelea kuipenda CCM lakini kwenye utekaji atakataa milele.
Asema ukiona anaongelea utekaji na watu wanampinga basi wapo watu wanajua hiyo itakuwa inamaanisha nini.
Kenge hatuhitaji D2 kuelewa si ndio?🌚
😀😀😀Ehee haya sasa mjibu halafu muone aje na press ya pili amesema moshi utatoka mpaka mtashindwa kuzimaa
View: https://www.youtube.com/watch?v=NhpB9Zh2_6Y
Askofu Gwajima ameanza kwa kuwaambia waumini wasimame na kuimba wimbo wa 'Tanzania Tanzania', na kuongeza japokuwa tuna makabila tofauti tofauti lakini Tanzania ni yetu sote.
--
Gwajima anawaelezea waumini kuhusu mkutano wa waandishi wa habari aliofanya kuhusu suala la utekaji nchini lakini pamoja na mapendekezo aliyotoa kuhusu uteuzi wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Anasema baada ya kuongea, Sheikh Jabiri huko Zanzibar alitekwa juzi tarehe 28 na mwili wake kupatikana ukiwa umetelekezwa. Watekaji wanateka MwanaCCM na watu wengine.
Chama cha Mapinduzi hakikubali utekaji, na mimi ni mwanachama wa CCM, hivyo naungana na waasisi na waliowahi kutangulia uongozi kuwa hatukubaliani na hili. Anayeteka watu ni kwa malengo yake mwenyewe. Yeyote anayepingana na mimi wenyewe mtajua mtamuitaje.
Gwajima ameongezea mifano ya watoto wa viongozi (Mwinyi, Kikwete, Majiliwa, Magufuli) ikiwa watatekwa na kung'olewa macho wazazi wao watajisikiaje?
Baada ya kukemea mauaji na utekaji, imezaliwa terminology ya Gwajimanization. "Sasa nilipoona Gwajimanization nikataka niitafasiri, hii Gwajimanization maana yake nini?" aliuliza Gwajima kabla ya kufafanua.
"Gwajimanization ama Gwajimanizing ni ujasiri usioteteleka wa kusema kweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani, ni dhamiri thabiti ya kutetea maslahi ya taifa kuliko maslahi ya mtu binafsi na kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba, kiasi cha kusababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhulma katika nchi."
Kwenye hili suala la utekaji sitayumba, nitahakikisha kila aliyetekwa anajulikana yuko wapi na anafanya nini. Vaeni silaha kamili za Bwana ili kushindana na pepo wabaya na tutashinda.
Kwa CCM, Gwajima ni hazina yenu, mnaye mtu ambaye hamjamjua bado. Ni mtu wa Mungu wa watu wote. Natetea waislam waliotekwa, Wakristo waliotekwa bila kujali chama. Kama mtu amekosea si apelekwe mahakamani. Vyombo vya ulinzi na usalama hawateki, bila shaka kunaweza kuwa na kakikundi ka utekaji na ndiko nakatumia ujumbe.
Ponjoro wa Kinondoni anachezesha kamari ambazo hata Mungu hapendi, mimi nilitaja watoto wa watu wengi ila Ponjoro kasikitika kisa mtoto mmoja niliyemtolea mfano. Nampa onyo, nikimuamkia atabaki vipande vipande na atanuka kinyesi maana mimi ni Jasusi la Mbinguni.
Naishia hapo, ila mtu akinichokoa chokoa, nitaitisha press. Na nikiitisha ya pili moshi utafuka hutoweza kufumbua macho.
Tutashusha maombi, ili damu ya mtu anayetekwa imrudie yule anayeteka.
Soon ataenda kuungana na lisu huko apapumzike hadi 2030Kisu kimegusa mfupa.
"Tuendelee kupiga makombora mpaka muhusika mwenyewe anaeteka watu atoke hadharani."-: Bishop Gwajima
Ukisikia NRNE tu unapata siku zakoHii michezo ya Gwajima na mwenyekiti wake kuna watani zangu wa NRNE itawatoa kwenye reli!! Ujamaa uliharibu sana akili ya Mtanzania!