stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
Kumbeeee! Mnabishanaga na Zakayo mfupi. Mimi nimekataa katakata.
Kumbeeee! Mnabishanaga na Zakayo mfupi. Mimi nimekataa katakata.
Yeye amesema kwamba anakemea utekaji na mauaji. Amesema mtu yeyote anayempinga sisi wananchi tutajua tumwitaje..Ningekuwa na uwezo aisee huyu Gwajima ningempiga risasi hadharani
Hivi nyumbu mbona siwaoni kwenye kampeni yao ya kishenzi kubusu uchaguzi?Video ya Askofu Gwajima inaonekana kuwa na athari kubwa kwa umma, ikizua mjadala kuhusu usalama wa raia na jukumu la serikali katika kushughulikia utekaji. Kauli zake zinaonyesha msimamo wa wazi dhidi ya vitendo vya utekaji, lakini zinakabiliwa na changamoto za uaminifu kutokana na historia yake ya kauli za utata na ukimya wake wa awali juu ya masuala sawa. Ingawa video yenyewe haipatikani tena kwa sababu ya uondoaji wake, maudhui yake yameathiri wengi, na yanaendelea kutoa changamoto kwa serikali kushughulikia masuala ya haki za binadamu.
Alafu kuna wajinga wanahisi hii ni spinning, hakuna spinning ya namna hiiAsante Gwajima kwa kututajia mtekaji tumeshamjua sasa
Wale chawa (siyo hawa kina mwijaku au tivuu ake) aka elite Vampires watakuwa wanampotosha sana Saa100.Mimi naweza muunga mkono kwa hili. Hata yale majuha yasiyo na akili, dishi likikaa vizuri wajiulize hili. Tuna kiongozi mkuu wa nchi. Raia wako wanatekwa, wanauwawa, wanapotea kwenye mazingira ya kutatanisha. Hujawahi sema popote, wala kukemea hiki kitu. Unataka watu wakueleweje?
Anatokea mtu anasema kuhusu watu kutekwa, anaanza kubezwa, kutukanwa, kutishwa. Je ni sawa mtu kutekwa, kuuwawa kwenye hii nchi? Hamuoni hatari, sababu hamjaguswa, ila kwa hayo yanayoendelea kitatokea kikundi kingine, kitaanza kuuwa kwa njia yoyote. Na nchi itakuwa ya mauaji ya kunuka damu.
Raia anatakiwa kulindwa, anapokosea kuna vyombo vya sheria vifuatwe. Hatutegemei kuwa na Serikali ambayo inafanya mambo ya kigaidi, kihuni yasiyofata sheria. Mwisho wake utakuwa mbaya. Mkumbuke sumu ni bei rahisi sana, msifikishe watu katika hiyo hatua mtapukutika.
Huwezi wajua wewe kimaKwa maneno na matendo Yao utawatambua tu
We binadamu mwenzako wanatekwa anakufa, watu wanakemea, wewe unabeza.
Hivi uko timamu kweli?
Kuwa hata na utu, huo ushetani achana nao
Fikiria wewe ndo ufe halafu sisi tuliobaki tupuuze, familia yako, mke na watoto wawe Yatima kisa madaraka
Mshaurini ahamie chadema Mangi.Yeye amesema kwamba anakemea utekaji na mauaji. Amesema mtu yeyote anayempinga sisi wananchi tutajua tumwitaje..
Ni mwendo wa vitasa tu😀Kazi ipo
NRNE ni justification ya haya matukio tunayoshuhudiaYale maneno 'no reform no election' yanasahaulika taratibu.
Maana yake ndiyo wahusika wa utekaji.Yeye amesema kwamba anakemea utekaji na mauaji. Amesema mtu yeyote anayempinga sisi wananchi tutajua tumwitaje..
Namba moja ni mamake mwashambwa, huyo kumbe ndio staring!!Mwenye List ya waliompinga tafadhali
Hata Gwajima anaihubiri NRNEHii michezo ya Gwajima na mwenyekiti wake kuna watani zangu wa NRNE itawatoa kwenye reli!! Ujamaa uliharibu sana akili ya Mtanzania!
NimeonaStay tuned mkuu, G-Boy ataanza kurusha makombora mda si mrefu😀