Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Tar 2 so keshoYale maneno 'no reform no election' yanasahaulika taratibu.
Tar 2 so keshoYale maneno 'no reform no election' yanasahaulika taratibu.
HatareeeMisa ya leo ilikuwa imejaa upako sana. Gwajima analiponya taifa.
USHUZI mtupu ,huyo aendelee kuongopea wajinga kuwa anafufua wafu wakati alishindwa kumfufua mamayake mzazi.Sio maneno yangu, msikilize
Kwenye ujasusi kuna wakati wa kufanya tathmini na kuangalia miiko au "Ethics".Kujiamini hivi kwa gwajima Kuna watu Makini kabisa nyuma yake....Gwajiboy ni chawa tu sema uchawa wa maana Kama huu naupenda..🥰
Kwanini usijikite kwenye hoja iliyo mezani kwasasa halafu kipindi kingine ndio tujadili ufufuo?USHUZI mtupu ,huyo aendelee kuongopea wajinga kuwa anafufua wafu wakatinalishindwa kumfufua mamayake mzazi.
Asitutoe kwenye reli baada ya waumini kupungua kwa kiasi kikubwa sana kwenye kanisa lake ameanua kutafuta aina nyingine ya kutoka hata hivyo wapo Nyumbu wengi tu atawapata.Kwanini usijikite kwenye hoja iliyo mezani kwasasa halafu kipindi kingine ndio tujadili ufufuo?
Umeanza kuchanganyikiwa broUSHUZI mtupu ,huyo aendelee kuongopea wajinga kuwa anafufua wafu wakati alishindwa kumfufua mamayake mzazi.
Wale Wendawazimu wa Bibi Uozo bila shaka ndio wataona njia ya kuzuia habari, maana TV na Magazeti tangu ile tuzo ya "Kalamu Ya Chura" hawaandiki au kuripoti chochote kama Asante Kwa Bibi Uozo.Muda sio mrefu tutahitaji VPN kuingia YouTube 🤔
Wanaomshauri Samia na Genge lake wanaamini jambo moja tu; kwamba mitutu ya bunduki ya polisi itawahakikishia usalama wao, na kuendelea kubaki madarakani.waliomzunguka mama kwa karibi naamini hawamshauri vizuri na hawamtakii mema.
Anaehangaika ni mimi au wewe unaendeshwa na mpuuzi na tapeli wa dini.Umeanza kuchanganyikiwa bro
Acha kuhangaika
Unachanganya mambo. Nani anayemsifia Kikwete isipokuwa waliokuwa naye toka mwanzo? Nani anayemsifu Magufuli kwa ule ukichaa aliokuwa akiuonyesha mara kwa mara, isipokuwa wale aliokuwa nao mwanzo?Hata huyu tutamsifu sana akishastaafu, si ndio watanzania tulivyo??? Kwani kikwete alisifiwa??? Si alipigwa mawee enzi za utawala wake?? JPM je waliomkandia kipindi kile saizi ndio chawa wake wakubwa??? Akishaondoka na huyu tutasema bora SSH