Unamlinganisha Soka na Kashoggi??? Tanzania ma Saudi (ambapo Uongozi ni wa ukoo??) Hauko serious na endelea kuamini ujinga... kama watu kina Ndugai walokuwa na threat kubwa kwa mkubwa na wako powerful hawakutekwa wala kufa na wanadunda mtaani bila shida. Huu winmbo wa kuamini Rais anaorder watu watekwe achaneni nao.. hauna tija.. kadri unavyoimbwa utaharibu taasisi ya Uraisi tu. Mind you, unafikiri kichama chama, kesho Rais atkuwa mpinzani wa watawala haya yataendela kutamkwa... tuacheni wazee.
Hivi unafikiri Rais anaweza kutoa order ya mtu powerful kama katibu wa TEC akatekwe/kushambuliwa tena baada y TEC kutoa waraka tu??? Yeye hajui nguvu ya TEC???? Ukweli ni kuwa hawakumpenda toka anaingia, hili vuguvugu lilipangwa kabla, ni kuwa aliwalia timing ya kumaliza mambo mapema kwenye kikao ambacho hawakutarajia. umesikia uzi wa mara kuna jambo litatokea kabla ya July??? Watanzania wanacheza ngoma za watu, hata akitoka aliyepo hawatampa wa upinzani (huo ndio ukweli mchungu) litachukua tu kundi lingine. Na kumbuka baada ya uchaguzi tu haya yote yatakwisha kuna watu hawaamini kama hii imeenda.